12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Mungu hakunichagua na kuniita na kama hawapashwe kuogopa hiyo, kwa kunizarau,

wanazarau Mungu Mwenyewe? ...

“Mungu hakuchagua kamwe kuhani aokuhani mkuu wala mtu mkubwa yeyote; bali kwa

kawaida huchagua watu wa chini na wenye kuzarauliwa, hata mchungaji kama Amosi. Kwa

kila kizazi, watakatifu walipaswa kukemea wakuu, wafalme, wana wa wafalme, wakuhani,

na wenye hekima, kwa hatari ya maisha yao. ... Sisemi kwamba niko nabii; lakini nasema

kwamba wanapashwa kuogopa kabisa kwa sababu niko peke yangu na wao ni wengi.

Ninakuwa hakika ya jambo hili, kwamba neno la Mungu linakuwa pamoja nami, na kwamba

haliko pamoja nao.”

Kwani haikuwa bila vita ya kutisha kwamba yeye mwenyewe ambaye Luther aliamua juu

ya kutengana kwa mwisho na kanisa: “Ee, uchungu wa namna gani iliniletea, ijapo nilikuwa

na Maandiko kwa upande wangu, kuhakikisha mimi mwenyewe kwamba ningepaswa

kusubutu kusimama pekee yangu kumpinga Papa, na kumutangaza kuwa kama mpinzani wa

Kristo! Mara ngapi sikujiuliza mwenyewe kwa uchungu swali lile ambalo lilikuwa mara

nyingi midomoni mwa watu wa Papa: ‘Ni wewe peke yako mwenye hekima? Je, watu wote

wanadanganyika? Itakuwa namna gani, kama, mwishoni wewe mwenyewe ukionekana kuwa

na kosa na ni wewe anayeshawishi katika makosa yako roho nyingi kama hizo. Ni nani basi

atakayehukumiwa milele? Hivi ndivyo nilipigana na nafsi yangu na Shetani hata Kristo, kwa

neno lake la hakika, akaimarisha moyo wangu juu ya mashaka haya.”

Amri mpya ikaonekana, kutangaza mtengano wa mwisho wa Mtengenezaji kutoka kwa

kanisa la Roma, kumshitaki kama aliyelaaniwa na Mbingu, na kuweka ndani ya hukumu ilete

wale watakaopokea mafundisho yake. Upinzani ni sehemu ya wote wale ambao Mungu

hutumia kwa kuonyesha ukweli zinazofaa hasa kwa wakati wao. Kulikuwa na ukweli wa sasa

katika siku za Luther; kuna ukweli wa sasa kwa ajili ya kanisa leo. Lakini ukweli hautakiwe

na watu wengi leo kuliko ilivyokuwa na watu wa Papa waliompinga Luther. Wale

wanaoonyesha ukweli kwa wakati huu hawapaswi kutazamia kupokewa na upendeleo mwingi

zaidi kuliko watengenezaji wa zamani. Vita kuu kati ya kweli na uwongo, kati ya Kristo na

Shetani, itaongezeka kwa mwisho wa historia ya ulimwengu huu. Tazama Yoane 15:19, 20;

Luka 6:26.

55

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!