12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

yeye mwenyewe, ao mtume wake, zaidi ya yote kristo ameelezwa vibaya kabisa na

kusulubiwa ndani yao.”

Roma ikazidi kukasirishwa na mashambulio ya Luther. Wapinzani washupavu, hata

waalimu (docteurs) katika vyuo vikuu vya Kikatoliki, wakatangaza kwamba yule angeweza

kumua mtawa yule angekuwa bila zambi. Lakini Mungu alikuwa mlinzi wake. Mafundisho

yake yakasikiwa po pote--“katika nyumba ndogo na nyumba za watawa (couvents), ... katika

ngome za wenye cheo, katika vyuo vikubwa, katika majumba ya wafalme.”

Kwa wakati huu Luther akaona ya kwamba ukweli mhimu juu ya kuhesabiwa haki kwa

imani ilikuwa ikishikwa na Mtengenezaji, Huss, wa Bohemia. “Tumekuwa na vyote”

akasema Luther, “Paul, Augustine, na mimi mwenyewe, Wafuasi wa Huss bila kujua!”

“ukweli huu ulihubiriwa ... karne iliyopita na ikachomwa!”

Luther akaandika basi mambo juu ya vyuo vikuu: “Ninaogopa sana kwamba vyuo vikuu

vitaonekana kuwa milango mikubwa ya jehanumu, isipokuwa vikitumika kwa bidii kwa

kueleza Maandiko matakatifu, na kuyakaza ndani ya mioyo ya vijana. ... Kila chuo ambamo

watu hawashunguliki daima na Neno la Mungu kinapaswa kuharibika.”

Mwito huu ukaenea po pote katika Ujermani. Taifa lote likashituka. Wapinzani wa Luther

wakamwomba Papa kuchukua mipango ya nguvu juu yake. Iliamriwa kwamba mafundisho

yake yahukumiwe mara moja. Mtengenezaji na wafuasi wake, kama hawakutubu,

wangepaswa wote kutengwa kwa Ushirika Mtakatifu.

Shida ya Kutisha

Hiyo ilikuwa shida ya kutisha sana kwa Matengenezo. Luther hakuwa kipofu kwa zoruba

karibu kupasuka, lakini alitumaini Kristo kuwa egemeo lake na ngabo yake. “Kitu kinacho

karibia kutokea sikijui, na sijali kujua. ... Hakuna hata sivile jani linawezakuanguka, bila

mapenzi ya Baba yetu. Kiasi gani zaidi atatuchunga! Ni vyepesi kufa kwa ajili ya Neno, kwani

Neno ambalo lilifanyika mwili lilikufa lenyewe.” Wakati barua ya Papa ilimufikia Luther,

akasema: Ninaizarau, tena naishambulia, kwamba niya uovu, ya uongo.... Ni Kristo yeye

mwenyewe anayelaumiwa ndani yake. Tayari ninasikia uhuru kubwa moyoni mwangu; kwani

mwishowe ninajua ya kwamba Papa ni mpinga kristo na kiti chake cha ufalme ni kile cha

Shetani mwenyewe.”

Lakini mjumbe wa Roma halikukosa kuwa na matokeo. Wazaifu na waabuduo ibada ya

sanamu wakatetemeka mbele ya amri ya Papa, na wengi wakaona kwamba maisha yalikuwa

ya damani sana kuhatarisha. Je, kazi ya Mtengenezaji ilikuwa karibu kwisha? Luther angali

bila woga. Kwa uwezo wa kutisha akarudisha juu ya Roma yenyewe maneno ya hukumu.

Mbele ya makutano ya wanainchi wa vyeo vyote Luther akachoma barua ya Papa. Akasema,

“Mapigano makali yameanza sasa. Hata sasa nilikuwa nikicheza tu na Papa. Nilianza kazi hii

kwa jina la Mungu; si mimi atakaye imaliza, na kwa uwezo wangu.... Nani anayejua kama

54

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!