12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

ulishindwa, alitazama kwa Mungu peke yake. Aliweza kuegemea katika usalama juu ya ule

mkono ulio wa guvu zote.

Kwa rafiki Luther akaandika: “Kazi yako ya kwanza ni kuanza na ombi. ... Usitumaini

kitu kwa kazi zako mwenyewe, kwa ufahamu wako mwenyewe: Tumaini tu katika Mungu,

na katika mvuto wa Roho Mtakatifu.” Hapa kuna fundisho la maana kwa wale wanaojisikia

kwamba Mungu amewaita kutoa kwa wengine ibada ya dini ya kweli kwa wakati huu. Katika

vita pamoja na mamlaka ya uovu kunakuwa na mahitaji ya kitu kingine zaidi kuliko akili na

hekima ya kibinadamu.

Luther Alikimbilia Tu kwa Biblia

Wakati adui walikimbilia kwa desturi na desturi ya asili, Luther alikutana nao anapokuwa

na Biblia tu, bishano ambayo hawakuweza kujibu. kutoka mahubiri ya Luther na maandiko

kulitoka nyali za nuru ambazo ziliamsha na kuangazia maelfu. Neno la Mungu lilikuwa kama

upanga unaokata ngambo mbili, unaokata njiayake kwa mioyo ya watu. Macho ya watu, kwa

mda mrefu yaliongozwa kwa kawaida za kibinadamu na waombezi wa kidunia, sasa

walimugeukia Kristo katika imani na Yeye aliyesulubishwa.

Usikizi huu ukaamsha woga kwa mamlaka ya Papa. Luther akapokea mwito kuonekana

huko Roma. Rafiki zake walijua vizuri hatari ile iliyomngoja katika mji mwovu huo,

uliokwisha kunywa damu ya wafia dini wa Yesu. Wakauliza kwamba apokee mashindano

yake katika Ujeremani.

Jambo hili likatendeka, na mjumbe wa Papa akachaguliwa kusikiliza mambo yenyewe.

Katika maagizo kwa mkubwa huyu, alijulishwa kwamba Luther alikwisha kutangazwa kama

mpingaji wa imani ya dini. Mjumbe alikuwa basi ni “kutenda na kulazimisha bila kukawia.”

Mjumbe akapewa uwezo wa “kumufukuza katika kila upande wa Ujeremani; kumfukuzia

mbali, kumlaani, na kutenga wale wote walioambatana naye”, Kuwatenga na cheo cho chote

kikiwa cha kanisa ao cha serkali, ila tu mfalme, hatajali kumkamata Luther na wafuasi wake

na kuwatoa kwa kisasi cha Roma.

Hakuna alama ya kanuni ya kikristo ao hata haki ya kawaida inapaswa kuonekana katika

maandiko haya. Luther hakuwa na nafasi ya kueleza wala kutetea musimamo wake; lakini

alikuwa amekwisha kutangazwa kuwa mpingaji wa imani ya dini na kwa siku ile ile

alishauriwa, kushitakiwa, kuhukumiwa, na kulaumiwa. Wakati Luther alihitaji sana shauri la

rafiki wa kweli, Mungu akamtuma Melanchthon kule Wittenberg. Shida ya hukumu ya

Melanchthon, ikachanganyika na usafi (utakatifu) na unyofu wa tabia, ikashinda sifa ya watu

wote. Kwa upesi akawa rafiki mwaminifu sana wa Luther--upole wake, uangalifu, na usahihi

ikawazidisho la bidii na nguvu za Luther.

Augsburg palitajwa kuwa mahali pa hukumu, na Mtengenezaji (Reformateur) akaenda

huko kwa miguu. Vitisho vilifanywa kwamba angeuawa njiani, na rafiki zake wakamuomba

asijihatarishe. Lakini maneno yake yalikuwa, “Ninakuwa kama Yeremia, mtu wa ushindano,

51

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!