Kupinga ya Kiprotestanti

newcovenantpublicationsintl
from newcovenantpublicationsintl More from this publisher
12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti waliozuru kanisa na waliofanya maungamo. Jambo moja la mhimu sana la nyakati hizi, sikukuu ya Watakatifu Wote, ilikuwa ikikaribia. Luther, alipoungana na makundi yaliyo jitayarisha kwenda kanisani, akabandika kwa mlango wa kanisa mashauri makumi tisa na tano juu ya kupinga ya uuzishaji wa vyeti (musamaha). Makusudi yake yakavuta uangalifu wa watu wote. Yakasomwa na kuyakariri po pote, yakasitusha sana watu katika mji wote. Kwa maelezo haya yalionyeshwa kwamba uwezo kwa kutoa masamaha ya zambi na kuachiliwa malipizi yake haukutolewa kwa Papa ao kwa mtu ye yote. Ilionyeshwa wazi wazi kwamba neema ya Mungu ilitolewa bure kwa wote wanaoitafuta kwa toba na imani. Mambo yaliyoandikwa na Luther yakatawanyika pote katika Ujeremani na baada ya majuma machache yakasikilika pote katika Ulaya. Wengi waliojifanya kuwa watu wa kanisa la Roma wakasoma mashauri haya (mambo yalioandikwa na Luther) kwa furaha, kutambua ndani yao sauti ya Mungu. Walijisikia kwamba Bwana aliweka mkono wake kufunga maji yaliyotomboka ya uovu ulioletwa kutoka kwa Roma. Waana wa wafalme na waamuzi kwa siri wakafurahi kwamba kizuio kilipashwa kuwekwa juu ya mamlaka ya kiburi ambayo ilikataa kuacha maamuzi yake. Wapadri wa hila, kuona faida zao kuwa hatarini, wakakasirika. Mtengenezaji (Reformateur) alikuwa na washitaki wakali wakushindana naye. “Nani asiyejua, ” akajibu, “kwamba si mara nyingi mtu kuleta mawazo mpya bila. kushitakiwa kukaamsha mabishano? ... Sababu gani Kristo na wafia dini wote waliuawa? Kwa sababu ... walileta mambo mapya bila kupata kwanza shauri la unyenyekevu la mtu wa hekima na maoni ya zamani.” Makaripio ya adui za Luther, masingizio yao juu ya makusudi yake, mawazo yao ya uovu juu ya tabia yake yakawajuu yake kama garika. Alikuwa ameamini kwamba waongozi watajiunga naye kwa furaha katika matengenezo. Mbele ya wakati aliona siku bora zikipambazuka kwa kanisa. Lakini kutiia moyo kukageuka kuwa karipio. Wakuu wengi wa kanisa na jamii ya watu wa serkali kwa upesi wakaona kwamba ukubali wa mambo haya ya kweli karibu ungaliharibu mamlaka ya Roma, kuzuia maelfu ya vijito vinavyotiririka sasa katika nyumba ya hazina yake, na vivi hivi kupunguza anasa ya waongozi wa Papa. Kufundisha watu kumutazama Kristo peke yake kwa ajili ya wokovu kungeangusha kiti cha askofu na baadaye kuharibu mamlaka yao wenyewe. Kwa hiyo wakajiunga wao wenyewe kupinga Kristo na kweli kuwa wapinzani kwa mtu aliyetumwa kwa kuwaangazia. Luther akatetemeka wakati alipojiangalia mwenyewe--mtu mmoja akapinga watu wa nguvu nyingi wa dunia. “Mimi nilikuwa nani?” akaandika, “kupinga enzi ya Papa, mbeie yake ... wafalme wa dunia na ulimwengu wote ulitetemeka? ... Hakuna mtu anaweza kujua namna gani moyo wangu uliteseka mda wa miaka hii miwili ya kwanza na katika kukata tamaa, naweza kusema katika kufa moyo, nilizama.” Lakini wakati usaada wa kibinadamu 50

Kupinga ya Kiprotestanti ulishindwa, alitazama kwa Mungu peke yake. Aliweza kuegemea katika usalama juu ya ule mkono ulio wa guvu zote. Kwa rafiki Luther akaandika: “Kazi yako ya kwanza ni kuanza na ombi. ... Usitumaini kitu kwa kazi zako mwenyewe, kwa ufahamu wako mwenyewe: Tumaini tu katika Mungu, na katika mvuto wa Roho Mtakatifu.” Hapa kuna fundisho la maana kwa wale wanaojisikia kwamba Mungu amewaita kutoa kwa wengine ibada ya dini ya kweli kwa wakati huu. Katika vita pamoja na mamlaka ya uovu kunakuwa na mahitaji ya kitu kingine zaidi kuliko akili na hekima ya kibinadamu. Luther Alikimbilia Tu kwa Biblia Wakati adui walikimbilia kwa desturi na desturi ya asili, Luther alikutana nao anapokuwa na Biblia tu, bishano ambayo hawakuweza kujibu. kutoka mahubiri ya Luther na maandiko kulitoka nyali za nuru ambazo ziliamsha na kuangazia maelfu. Neno la Mungu lilikuwa kama upanga unaokata ngambo mbili, unaokata njiayake kwa mioyo ya watu. Macho ya watu, kwa mda mrefu yaliongozwa kwa kawaida za kibinadamu na waombezi wa kidunia, sasa walimugeukia Kristo katika imani na Yeye aliyesulubishwa. Usikizi huu ukaamsha woga kwa mamlaka ya Papa. Luther akapokea mwito kuonekana huko Roma. Rafiki zake walijua vizuri hatari ile iliyomngoja katika mji mwovu huo, uliokwisha kunywa damu ya wafia dini wa Yesu. Wakauliza kwamba apokee mashindano yake katika Ujeremani. Jambo hili likatendeka, na mjumbe wa Papa akachaguliwa kusikiliza mambo yenyewe. Katika maagizo kwa mkubwa huyu, alijulishwa kwamba Luther alikwisha kutangazwa kama mpingaji wa imani ya dini. Mjumbe alikuwa basi ni “kutenda na kulazimisha bila kukawia.” Mjumbe akapewa uwezo wa “kumufukuza katika kila upande wa Ujeremani; kumfukuzia mbali, kumlaani, na kutenga wale wote walioambatana naye”, Kuwatenga na cheo cho chote kikiwa cha kanisa ao cha serkali, ila tu mfalme, hatajali kumkamata Luther na wafuasi wake na kuwatoa kwa kisasi cha Roma. Hakuna alama ya kanuni ya kikristo ao hata haki ya kawaida inapaswa kuonekana katika maandiko haya. Luther hakuwa na nafasi ya kueleza wala kutetea musimamo wake; lakini alikuwa amekwisha kutangazwa kuwa mpingaji wa imani ya dini na kwa siku ile ile alishauriwa, kushitakiwa, kuhukumiwa, na kulaumiwa. Wakati Luther alihitaji sana shauri la rafiki wa kweli, Mungu akamtuma Melanchthon kule Wittenberg. Shida ya hukumu ya Melanchthon, ikachanganyika na usafi (utakatifu) na unyofu wa tabia, ikashinda sifa ya watu wote. Kwa upesi akawa rafiki mwaminifu sana wa Luther--upole wake, uangalifu, na usahihi ikawazidisho la bidii na nguvu za Luther. Augsburg palitajwa kuwa mahali pa hukumu, na Mtengenezaji (Reformateur) akaenda huko kwa miguu. Vitisho vilifanywa kwamba angeuawa njiani, na rafiki zake wakamuomba asijihatarishe. Lakini maneno yake yalikuwa, “Ninakuwa kama Yeremia, mtu wa ushindano, 51

Kupinga ya Kiprotestanti

waliozuru kanisa na waliofanya maungamo. Jambo moja la mhimu sana la nyakati hizi,

sikukuu ya Watakatifu Wote, ilikuwa ikikaribia. Luther, alipoungana na makundi yaliyo

jitayarisha kwenda kanisani, akabandika kwa mlango wa kanisa mashauri makumi tisa na tano

juu ya kupinga ya uuzishaji wa vyeti (musamaha).

Makusudi yake yakavuta uangalifu wa watu wote. Yakasomwa na kuyakariri po pote,

yakasitusha sana watu katika mji wote. Kwa maelezo haya yalionyeshwa kwamba uwezo kwa

kutoa masamaha ya zambi na kuachiliwa malipizi yake haukutolewa kwa Papa ao kwa mtu

ye yote. Ilionyeshwa wazi wazi kwamba neema ya Mungu ilitolewa bure kwa wote

wanaoitafuta kwa toba na imani.

Mambo yaliyoandikwa na Luther yakatawanyika pote katika Ujeremani na baada ya

majuma machache yakasikilika pote katika Ulaya. Wengi waliojifanya kuwa watu wa kanisa

la Roma wakasoma mashauri haya (mambo yalioandikwa na Luther) kwa furaha, kutambua

ndani yao sauti ya Mungu. Walijisikia kwamba Bwana aliweka mkono wake kufunga maji

yaliyotomboka ya uovu ulioletwa kutoka kwa Roma. Waana wa wafalme na waamuzi kwa

siri wakafurahi kwamba kizuio kilipashwa kuwekwa juu ya mamlaka ya kiburi ambayo

ilikataa kuacha maamuzi yake.

Wapadri wa hila, kuona faida zao kuwa hatarini, wakakasirika. Mtengenezaji

(Reformateur) alikuwa na washitaki wakali wakushindana naye. “Nani asiyejua, ” akajibu,

“kwamba si mara nyingi mtu kuleta mawazo mpya bila. kushitakiwa kukaamsha mabishano?

... Sababu gani Kristo na wafia dini wote waliuawa? Kwa sababu ... walileta mambo mapya

bila kupata kwanza shauri la unyenyekevu la mtu wa hekima na maoni ya zamani.”

Makaripio ya adui za Luther, masingizio yao juu ya makusudi yake, mawazo yao ya uovu

juu ya tabia yake yakawajuu yake kama garika. Alikuwa ameamini kwamba waongozi

watajiunga naye kwa furaha katika matengenezo. Mbele ya wakati aliona siku bora

zikipambazuka kwa kanisa.

Lakini kutiia moyo kukageuka kuwa karipio. Wakuu wengi wa kanisa na jamii ya watu

wa serkali kwa upesi wakaona kwamba ukubali wa mambo haya ya kweli karibu ungaliharibu

mamlaka ya Roma, kuzuia maelfu ya vijito vinavyotiririka sasa katika nyumba ya hazina

yake, na vivi hivi kupunguza anasa ya waongozi wa Papa. Kufundisha watu kumutazama

Kristo peke yake kwa ajili ya wokovu kungeangusha kiti cha askofu na baadaye kuharibu

mamlaka yao wenyewe. Kwa hiyo wakajiunga wao wenyewe kupinga Kristo na kweli kuwa

wapinzani kwa mtu aliyetumwa kwa kuwaangazia.

Luther akatetemeka wakati alipojiangalia mwenyewe--mtu mmoja akapinga watu wa

nguvu nyingi wa dunia. “Mimi nilikuwa nani?” akaandika, “kupinga enzi ya Papa, mbeie yake

... wafalme wa dunia na ulimwengu wote ulitetemeka? ... Hakuna mtu anaweza kujua namna

gani moyo wangu uliteseka mda wa miaka hii miwili ya kwanza na katika kukata tamaa,

naweza kusema katika kufa moyo, nilizama.” Lakini wakati usaada wa kibinadamu

50

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!