12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Tetzel, mjumbe aliyechaguliwa kuongoza uujishaji wa huruma katika Ujeremani, alikuwa

amehakikishwa makosa mabaya juu ya watu na sheria ya Mungu, lakini alitumiwa kwa

kuendesha mipango ya faida ya Papa katika Ujeremani. Akasema bila haya mambo ya uongo

na hadizi za ajabu kwa kudanganya watu wajinga wanaoamini yasiyo na msingi. Kama

wangekuwa na neno la Mungu hawangedanganywa, lakini Biblia ilikatazwa kwao.

Wakati Tetzel alipoingia mjini, mjumbe alimutangulia mbele, kutangaza: “Neema ya

Mungu na ya baba mtakatifu inakuwa milangoni mwenu”. Watu wakamkaribisha mtu wa

uwongo anayetukana Mungu kama kwamba angekuwa Mungu mwenyewe. Tetzel, kupanda

mimbarani ndani ya kanisa, akatukuza uujisaji wa huruma kama zawadi za damani sana za

Mungu. Akatangaza kwamba kwa uwezo wa sheti cha msamaha, zambi zote ambazo mnunuzi

angetamani kuzitenda baadaye zitasamehewa na “hata toba si ya lazima.” Akahakikishia

wasikilizi wake kwamba vyeti vyake vya huruma vilikuwa na uwezo wa kuokoa wafu; kwa

wakati ule kabisa pesa inapogonga kwa sehemu ya chini ya sanduku lake, roho inayolipiwa

pesa ile itatoroka kutoka toharani (purgatoire) na kufanya safari yake kwenda mbinguni.

Zahabu na feza zikajaa katika nyumba ya hazina ya Tetzel. Wokovu ulionunuliwa na mali

ulipatikana kwa upesi kuliko ule unaohitaji toba, imani, na kufanya bidii kwa kushindana na

kushinda zambi. (Tazama Nyongezo). Luther akajazwa na hofu kuu. Wengi katika shirika

lake wakanunua vyeti vya msamaha. Kwa upesi wakaanza kuja kwa mchungaji (pasteur) wao,

kwa kutubu zambi na kutumainia maondoleo ya zambi, si kwa sababu walitubu na walitamani

matengenezo, bali kwa msingi wa sheti cha huruma. Luther akakataa, na akawaonya kwamba

isipokuwa walipaswa kutubu na kugeuka, walipaswa kuangamia katika zambi zao. Wakaenda

kwa Tetzel na malalamiko kwamba muunganishaji wao alikataa vyeti vyake, na wengine

wakauliza kwa ujasiri kwamba mali yao irudishwe. Alipojazwa na hasira, mtawa (religieux)

akatoa laana za kutisha, akataka mioto iwake mbele ya watu wote, na akatangaza kwamba

“alipata agizo kwa Papa kuunguza wapinga dini wote wanaosubutu kupinga, vyeti vyake vya

huruma takatifu zaidi.”

Kazi ya Luther Inaanza

Sauti ya Luther ikasikiwa mimbarani katika onyo la kutisha. Akaweka mbele ya watu tabia

mbaya sana ya zambi na kufundisha kwamba haiwezekani kwa mtu kwa kazi zake mwenyewe

kupunguza zambi zake ao kuepuka malipizi yake. Hakuna kitu bali toba kwa Mungu na imani

katika Kristo inaoweza kuokoa mwenye zambi. Neema ya Kristo haiwezi kununuliwa; ni

zawadi ya bure. Akashauri watu kutokununua vyeti vya huruma, bali kutazama kwa imani

kwa Mkombozi aliyesulubiwa. Akasimulia juu ya habari mambo ya maisha yake ya uchungu

na akahakikisha wasikilizaji wake kwamba kwa kuamini Kristo ndipo mtu atapata amani na

furaha.

Wakati Tetzel alipoendelea na kiburi chake cha kukufuru, Luther akajitahidi kusema

kutokukubali kwake. Nyumba ya kanisa la Wittenberg ilikuwa na picha (reliques) ambayo

kwa sikukuu fulani yalionyeshwa kwa watu. Maondoleo kamili ya zambi yalitolewa kwa wote

49

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!