12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

yakamushangaza --uovu miongoni mwa waongozi, ubishi usiofaa kwa maaskofu.

Akachukizwa na (unajisi) wao hata wakati wa misa. Akakutana upotevu, usharati. “Hakuna

mtu anaweza kuwazia,” akaandika, “zambi gani na matendo maovu sana yako yakitendeka

katika Roma. ... Watu huzoea kusema, ` Kama kunakuwa na jehanumu, Roma inajengwa juu

yake.’”

Ukweli juu ya ngazi ya Pilato

Kuachiwa kuliahidiwa na Papa kwa wote watakaopanda juu ya magoti yao “Ngazi ya

Pilato,” waliozania kuwa ilichukuliwa kwa mwujiza toka Yerusalema hata Roma. Luther siku

moja alikuwa akipanda ngazi hizi wakati sauti kama radi ilionekana kusema, “Mwenye haki

ataishi kwa imani.” Waroma 1:17. Akaruka kwa upesi kwa magoti yake kwa haya na hofu

kuu. Tangu wakati ule akaona kwa wazi kuliko mbele neno la uongo la kutumaini kazi za

binadamu kwa ajili ya wokovu. Akageuza uso wake kwa Roma. Tangu wakati ule mutengano

ukakomaa kuwa hata akakata uhusiano wote na kanisa la Roma.

Baada ya kurudi kwake kutoka Roma, Luther akapokea cheo cha mwalimu (docteur) wa

mambo ya Mungu. Sasa alikuwa na uhuru wa kujitoa wakfu mwenyewe kwa Maandiko

ambayo aliyapenda. Akaweka naziri (ya ibada ya Mungu) kuhubiri kwa uaminifu Neno la

Mungu, si mafundisho ya waPapa. Hakuwa tena mtawa tu, bali mjumbe aliyeruhusiwa wa

Biblia, aliyeitwa kama mchungaji (pasteur) kwa kulisha kundi la Mungu lillokuwa na njaa na

kiu ya ukweli. Akatangaza kwa bidii kwamba Wakristo hawapaswe kupokea mafundisho

mengine isipokuwa yale ambayo yanayojengwa juu ya mamlaka ya Maandiko matakatifu.

Makundi yenye bidii yakapenda sana maneno yake. Habari ya furaha ya upendo wa

Mwokozi, hakikisho la msamaha na amani katika damu ya kafara yake ikafurahisha mioyo

yao. Huko Wittenberg nuru iliwashwa, ambayo nyali yake iongezeke kungaa zaidi kwa

mwisho wa wakati.

Lakini kati ya ukweli na uongo kunakuwa vita. Mwokozi wetu Mwenyewe alitangaza:

“Musifikiri ya kama nimekuja kuleta salama duniani, sikuja kuleta salama lakini upanga.”

Matayo 10:34. Akasema Luther, miaka michache baada ya kufunguliwa kwa Matengenezo:

“Mungu ... ananisukuma mbele ... nataka kuishi katika utulivu; lakini nimetupwa katikati ya

makelele na mapinduzi makuu.”

Huruma za kuuzisha

Kanisa la Roma lilifanya Biashara ya Neema ya Mungu. Chini ya maombi ya kuongeza

mali kwa ajili ya kujenga jengo la Petro mtakatifu kule Roma, huruma kwa ajili ya zambi

zilizotolewa kwa kuuzishwa kwa ruhusa ya Papa. Kwa bei ya uovu hekalu lilipaswa kujengwa

kwa ajili ya ibada ya Mungu. Ilikuwa ni jambo hili ambalo liliamusha adui mkubwa sana wa

kanisa la Roma na kufikia kwa vita ambayo ilitetemesha kiti cha Papa na mataji matatu juu

ya kichwa cha askofu huyu.

48

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!