12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 7. Mapinduzi Yanaanza

Wakwanza miongoni mwa wale walioitwa kuongoza kanisa kutoka gizani mwa

mafundisho ya Kanisa la Roma kwa nuru ya imani safi zaidi kukasimama Martin Luther.

Hakuogopa kitu chochote bali Mungu, na kukubali msingi wowote kwa ajili ya imani bali

Maandiko matakatifu. Luther alikuwa mtu anayefaa kwa wakati wake.

Miaka ya kwanza ya Luther ilitumiwa katika nyumba masikini ya mlimaji wa Ujeremani.

Baba yake alimukusudia kuwa mwana sheria (mwombezi), lakini Mungu akakusudia

kumufanya kuwa mwenye mjengaji katika hekalu kubwa ambalo lilikuwa likiinuka pole pole

katika karne nyingi. Taabu, kukatazwa, na maongozi magumu yalikuwa ni masomo ambamo

Hekima lsiyo na mwisho ilimtayarisha Luther kwa ajili ya kazi ya maisha yake.

Baba wa Luther alikuwa mtu wa akili ya kutenda. Akili yake safi ikamwongoza kutazama

utaratibu wa utawa na mashaka. Hakupendezwa wakati Luther, bila ukubali wake, akuingia

katika nyumba ya watawa (monastere). Ilichunkua miaka miwili ili baba apatane na mtoto

wake, na hata hivyo maoni yake yakibaki yale yale. Wazazi wa Luther wakajitahidi kulea

watoto wao katika kumjua Mungu. Bidii zao zilikuwa za haki na kuvumilia kutayarisha

watoto wao kwa maisha ya mafaa. Nyakati zingine walitumia ukali sana, lakini Mtengenezaji

mwenyewe aliona katika maongozi yao mengi ya kukubali kuliko ya kuhukumu.

Katika masomo Luther alitendewa kwa ukali na hata mapigano. Akiteswa na njaa mara

kwa mara. Mawazo ya giza, na juu ya mambo ya ibada ya sanamu ya dini iliodumu wakati

ule ikamuogopesha. Akilala usiku na moyo wa huzuni, katika hofu ya daima kwa kufikiria

Mungu kama sultani mkali, zaidi kuliko Baba mwema wa mbinguni.

Wakati alipoingia kwa chuo kikubwa (universite) cha Erfurt, matazamio yake yalikuwa

mazuri sana kuliko katika miaka yake ya kwanza. Wazazi wake, kwa akili walioipata kwa

njia ya matumizi mazuri ya pesa na bidii, waliweza kumusaidia kwa mahitaji yote. Na rafiki

zake wenye akili sana wakapunguza matokeo ya giza ya mafundisho yake ya kwanza. Kwa

mivuto ya kufaa, akili yake ikaendelea upesi. Matumizi ya bidii upesi ikamutia katika cheo

kikuu miongoni mwa wenzake.

Luther hakukosa kuanza kila siku na maombi, moyo wake kila mara ukipumuamaombi ya

uongozi. “Kuomba vizuri, “akisema kila mara, “ni nusu bora ya kujifunza.” Siku moja katika

chumba cha vitabu (librairie) cha chuo kikubwa akavumbua Biblia ya Kilatini (Latin), kitabu

ambacho hakukiona kamwe. Alikuwa akisikia sehemu za Injili na Nyaraka (Barua), ambazo

alizania kuwa Biblia kamili. Sasa, kwa mara ya kwanza, akatazama, juu ya Neno la Mungu

kamili. Kwa hofu na kushangaa akageuza kurasa takatifu na akasoma yeye mwenyewe

maneno ya uzima, kusimama kidogo kwa mshangao, “O”, kama Mungu angenipa kitabu cha

namna hii kwangu mwenyewe!” Malaika walikuwa kando yake. Mishale ya nuru kutoka kwa

Mungu yakafunua hazina za kweli kwa ufahamu wake. Hakikisho kubwa la hali yake kuwa

mwenye zambi likamushika kuliko zamani.

46

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!