12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Waongozi wa Papa mwishowe wakatumia njia ya upatanisho. Mapatano likafanya ambalo

kwalo likasaliti wa Bohemia katika utawala wa Roma. Watu wa Bohemia wakataja sharti inne

kwa ajili ya amani kati yao na Roma: (1) uhuru wa kuhubiri Biblia; (2) haki ya kanisa lote

katika mambo mawili hayo ya mkate na divai katika ushirika na matumizi ya lugha ya kienyeji

katika ibada ya Mungu; (3) Kutenga waongozi wa dini la kikristo kwa kazi zote za kidunia na

mamlaka; na, (4) wakati wa kosa, hukumu ya baraza za serkali juu ya mapadri na wasiokuwa

mapadri iwe sawa sawa. Hukumu za Papa zikakubali kwamba mambo mane yale yakubaliwe,

“lakini haki ya kuyaeleza ... inapaswa kuwa kwa baraza--katika maneno mengine, kwa Papa

na kwa mfalme.” Roma ikashinda kwa unafiki na madanganyo mambo ambayo kwa njia ya

vita alishindwa. Kukubalia Roma uwezo wa kutafsiri maandishi ya wafuasi wa Huss, kama

juu ya Biblia, iliweza kupotosha maana kwa kupendeza makusudi yake.

Hesabu kubwa ya watu katika Bohemia, kuona kwamba jambo lile lilisaliti uhuru wao,

hawakuweza kukubali mapatano. Kutopatana kukaumka, na kuletaugomvi kati yao wenyewe.

Procopius mwenye cheo akashindwa, na uhuru wa watu wa Bohemia ukakoma.

Tena majeshi ya waaskari ya kigeni yakashambulia Bohemia, na wale waliodumu kuwa

waaminifu kwa injili wakawa katika hatari kwa mateso ya damu. Kwani walisimama imara.

Wakakazwa kutafuta kimbilio katika mapango, wakaendelea kukusanyika kusoma Neno la

Mungu na kujiunga katika ibada yake. Kwa njia ya wajumbe kwa siri wakatuma kwa inchi

mbali mbali wakajifunza “kwamba katikati ya milima ya Alps (safu ya milima mirefu)

kulikuwa kanisa la zamani, la kudumu juu ya misingi ya Maandiko, na kukataa maovu ya

ibada ya sanamu ya Roma.” Kwa furaha kubwa, uhusiano wa kuandikiana ukawa kati yao na

Wakristo wa Waendense furaha kubwa, (Vaudois). Msimamo imara wa injili, watu wa

Bohemia wakangoja usiku kucha wa mateso yao, katika saa ya giza kuu hata wakageuza

macho yao kwa upeo kama watu wanaokesha hata asubui.

45

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!