Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Kupinga ya Kiprotestanti

Kuuawa kwa Huss kuliwasha moto wa hasira na hofu kuu katika Bohemia. Taifa lote

likamtangaza kuwa mwalimu mwaminifu wa ukweli. Baraza likawekewa mzigo wa uuaji wa

mtu kwa makusudi. Mafundisho yake yakaleta mvuto mkubwa kuliko mbele, na wengi

wakaongozwa kukubali imani ya Matengenezo. Papa na mfalme wakaungana kuangamiza

tendo hili la dini, na majeshi ya Sigismund yakatupwa juu ya Bohemia. Kwa kushambulia

wenye imani ya matengenezo.

Lakini Mwokozi akainuliwa juu. Ziska, mmojawapo wa wakuu wa waskari wa wakati

wake, alikuwa mwongozi wa watu wa Bohemia. Tumaini katika usaada wa Mungu, watu wale

wakashindana na majeshi ya nguvu yale yangaliweza kuletwa juu yao. Mara nyingi mfalme

alikashambulia Bohemia, ila tu kwa kufukuzwa. Wafuasi wa Huss wakainuliwa juu ya hofu

ya mauti, na hakukuwa kitu cha. Mshujaa Ziska akafa, lakini pahali pake pakakombolewa na

Procopius, kwa heshima fulani alikuwa mwongozi wa uwezo zaidi.

Papa akatangaza pigano juu ya maovu (crusade) juu ya wafuasi wa Huss. Majeshi mengi

akatumbukia juu ya Bohemia, kwa kuteswa tu na maangamizi. Pigano lingine la maovu

likatangazwa. Katika inchi zote za dini ya Roma katika Ulaya, mali na vyombo vya vita

vikakusanywa. Watu wengi wakaja kwa bendera ya kanisa la Roma. Majeshi makubwa

yakaingia Bohemia. Watu wakakusanyika tena kuwafukuza. Majeshi mawili wakakribiana

hata mto tu ndio uliokuwa katikati yao. “Wapiga vita juu ya maovu (crusade) walikuwa katika

jeshi bora kubwa na la nguvu, lakini badala ya kuharakisha ngambo ya kijito, na kumaliza

vita na wafuasi wa Huss, ambao walikuja toka mbali kukutana nao, wakasimama kutazama

kwa kimya wale wapingaji.”

Kwa gafula hofu kuu ya ajabu ikaangukia jeshi. Bila kupiga kishindo jeshi kubwa lile

likatiishwa na likatawanyika kama kwamba lilifukuzwa na nguvu isiyoonekana. Wafuasi wa

Huss wakawafuata wakimbizi, na mateka makubwa yakaanguka mikononi mwa washindi.

Vita badala ya kuleta umaskini, ikawaletea wa Bohemia utajiri. Miaka michache baadaye,

chini ya Papa mpya, pigano juu ya maovu lingine likawekwa. Jeshi kubwa likaingia Bohemia.

Wafuasi wa Huss wakarudi nyuma mbele yao, kuvuta maadui ndani zaidi ya inchi,

kuwaongoza kuwaza ushindi ulikwisha kupatikana.

Mwishowe jeshi la askari la Procopius likasogea kuwapiganisha vita. Namna sauti ya jeshi

lililo karibia iliposikiwa, hata kabla wafuasi wa Huss kuonekana mbele ya macho, hofu kubwa

tena ikaanguka iuu ya wapigani wa crusade. Wafalme, wakuu, na waaskari wa kawaida,

wakatupa silaha zao, wakakimbia pande zote. Maangamizo yalikuwa kamili, na tena mateka

makubwa yakaanguka mikononi mwa washindi. Kwa hiyo mara ya pili jeshi la watu hodari

kwa vita, waliozoea vita, wakakimbia bila shindo mbele ya watetezi wa taifa ndogo na zaifu.

Adui waliuawa na hofu kubwa isiyo ya kibinadamu. Yule aliyekimbiza majeshi ya Wamidiani

mbele ya Gideoni na watu miatatu wake, alinyosha tena mkono wake. Tazama Waamuzi

7:1925; Zaburi 53:5.

Kusalitiwa kwa Njia ya Upatanishi

44