Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Kupinga ya Kiprotestanti

Jerome akaendelea: “Kwa zambi zote nilizozifanya tangu ujana wangu, hakuna moja

inayokuwa na uzito sana katika akili yangu, na kuniletea majuto makali, kama ile niliyofanya

katika mahali hapa pa kufisha, wakati nilipokubali hukumu mbaya sana iliyofanywa juu ya

Wycliffe, na juu ya mfia dini mtakatifu, John Huss, bwana wangu na rafiki yangu. Ndiyo!

Ninatubu kutoka moyoni mwangu, na natangaza kwa hofu kuu kwamba nilitetemeka kwa

haya sababu ya hofu ya mauti, nililaumu mafundisho yao. Kwa hiyo ni naomba ... Mwenyezi

Mungu tafazali unirehemu zambi zangu, na hii kwa upekee, mbaya kuliko zote.”

Kuelekeza kwa waamuzi wake, akasema kwa uhodari, “Muliwahukumu Wycliffe na John

Huss ... mambo ambayo walihakikisha, na yasiyo ya udanganyifu, nafikiri, pia vile vile na

kutangaza, kama wao.” Maneno yake yakakatwa. Maaskofu wakitetemeka na hasira,

wakapaza sauti: “Haja gani iko pale ya ushuhuda zaidi? Tunaona kwa macho yetu wenyewe

wingi wa ukaidi wa wapinga dini!”

Bila kutikiswa na tufani, Jerome akakaza sauti: “Nini basi! munafikiri kwamba naogopa

kufa? Mulinishika mwaka mzima katika gereza la kutisha, la kuchukiza kuliko mauti

yenyewe. ... Siwezi bali naeleza mshangao wangu kwa ushenzi mkubwa wa namna hii juu ya

Mkristo.” Akahesabiwa Kifungo na Mauti. Tena zoruba ya hasira ikatokea kwa nguvu, na

Jerome akapelekwa gerezani kwa haraka. Kwani kulikuwa wengine ambao maneno yake

yaliwagusa na kuwapa mawazo mioyoni na walitamani kuokoa maisha yake. Alizuriwa na

wakuu wenye cheo na kumuomba sana kutii baraza. Matumaini mazuri yalitolewa kama

zawadi.

“Shuhudieni kwangu kwa Maandiko matakatifu kwamba niko katika makosa,” akasema,

“na nitaikana kwa kiapo.”

“Maandiko matakatifu”! akapaza sauti mmoja wao wa wajaribu wake, “je, kila kitu basi

ni kuhukumiwa kwa yale Maandiko? Nani anaweza kuyafahamu mpaka kanisa ameyatafsiri?”

“Je, maagizo ya watu yanakuwa na bei kuliko injili ya Mwokozi wetu?” akajibu Jerome.

“Mpunga dini!” lilikuwa jibu. “Natubu kwa kutetea wakati mrefu pamoja nanyi. Naona

kwamba unashurutishwa na Shetani”.

Kwa gafula akapelekwa mahali pale pale ambapo Huss alitoa maisha yake. Alikwenda

akiimba njiani mwake, uso wake ukang’aa kwa furaha na amani. Kwake mauti ilipoteza

kutisha kwake. Wakati mwuaji, alipotaka kuwasha kundi, akasimama nyuma yake, mfia dini

akapaza sauti, “tieni moto mbele ya uso wangu, Kama nilikuwa nikiogopa, singekuwa hapa.”

Maneno yake ya mwisho yalikuwa ni maombi: “Bwana Baba Mwenyezi, unihurumie, na

unirehemu zambi zangu; kwa maana unajua kwamba nilikuwa nikipenda sikuzote Ukweli.”

Majifu ya mfia dini yakakusanyiwa na, kama yale ya Huss, yakatupwa katika Rhine. Basi

kwa namna hii wachukuzi wa nuru waaminifu wa Mungu waliangamizwa.

43