Kupinga ya Kiprotestanti
Kupinga ya Kiprotestanti Lakini katika upekee wa gereza lake aliona wazi jambo alilofanya. Aliwaza juu ya uhodari na uaminifu wa Huss na akafikiri kukana kwake mwenyewe kwa ukweli. Akafikiri habari ya Bwana Mungu ambaye kwa ajili yake mwenyewe alivumilia msalaba. Kabla ya kukana kwake alipata usaada ndani ya mateso katika hakikisho la wapenzi wa Mungu, lakini sasa majuto na mashaka yakatesa roho yake. Alijua kwamba mambo ya kujikana kwingine yalipaswa kufanywa kabla ya yeye kuweza kuwa na amani pamoja na Roma. Njia ambayo aliingia ilipaswa kuishia tu katika ukufuru kamili. Jerome Anapata Toba na Uhodari Mpya Upesi akapelekwa tena mbele ya baraza. Waamzi hawakutoshelewa na kujitaa kwake. Ila tu kwa kukataa wazi wazi kwa ukweli ndipo Jerome angaliweza kuokoa maisha yake. Lakini alikusudia kukubali imani yake na kufuata ndugu yake mfia dini kwa miako ya moto. Alikataa kujikania kwake kwa kwanza na, kama mtu mwenye kufa, akadai kwa heshima apewe bahati ajitetee. Maaskofu wakashikilia kwamba angekubali tu ao kukana mashitaka yaliyoletwa juu yake. Jerome akakataa juu ya udanganyifu kama ule. “Mumenishika bila kusema siku mia tatu na makumi ine katika gereza la kutiisha,” akasema; “Munanileta basi mbele yenu, na kutoa sikio lenu kwa adui zangu za kibinadamu, munakataa kunisikia. ... Mujihazari kuto kufanya zambi juu ya haki. Lakini mimi, niko binadamu zaifu; maisha yangu ni ya maana kidogo; na ninapo waonya si kwa kutoa hukumu isiyo kuwa ya haki, nasema machache kwa ajili yangu mwenyewe kuliko kwa ajili yenu.” Maombi yake mwishowe yakakubaliwa. Mbele ya waamzi wake, Jerome akapiga magoti na akaomba kwamba Roho ya Mungu ipate kutawala mawazo yake, ili asiweze kusema kitu cho chote kinacho kuwa kinyume cha ukweli ao kisichofaa kwa Bwana wake. Kwake siku ile ahadi ikatimia “Wakati wanapowapeleka ninyi, musisumbuke namna gani ao neno gani mutakalolisema; kwa sababu mutapewa saa ile neno mutakalosema. Kwa maana si ninyi munaosema, lakini Roho ya Baba yenu anayesema ndani yenu.” Matayo 10:19, 20. Kwa mwaka wote mzima Jerome alikuwa katika gereza, bila kuweza kusoma ao hata kuona. Kwani maneno yake yalitolewa kwa hali ya kuwa na mwangaza sana na uwezo kama kwamba hakusumbuliwa wakati kwa kujifunza. Akaonyesha wasikilizi wake mstari mrefu wa watu watakatifu waliohukumiwa na waamzi wasiohaki. Karibu kila kizazi wale waliokuwa wakitafuta kuinua watu wa wakati wao wakafukuzwa. Kristo mwenyewe alihukumiwa kama mfanya maovu kwa baraza la hukumu lisiyo haki. Jerome sasa akatangaza toba yake na kutoa ushuhuda kwamba Huss hana kosa na kwamba ni mtakatifu. “Nilimjua tokea utoto wake,” akasema. “Alikuwa mtu bora zaidi, mwenye haki na mtakatifu; alihukumiwa, ijapokuwa hakuwa na kosa ... niko tayari kwa kufa. Sitarudia nyuma mbele ya maumivu mabaya yale yanayotayarishwa kwa ajili yangu na adui zangu na mashahidi wa uongo, ambao siku moja watatoa hesabu ya mambo yao ya ujanja mbele ya Mungu Mkuu, ambaye hakuna kitu kinaweza kudanganya.” 42
Kupinga ya Kiprotestanti Jerome akaendelea: “Kwa zambi zote nilizozifanya tangu ujana wangu, hakuna moja inayokuwa na uzito sana katika akili yangu, na kuniletea majuto makali, kama ile niliyofanya katika mahali hapa pa kufisha, wakati nilipokubali hukumu mbaya sana iliyofanywa juu ya Wycliffe, na juu ya mfia dini mtakatifu, John Huss, bwana wangu na rafiki yangu. Ndiyo! Ninatubu kutoka moyoni mwangu, na natangaza kwa hofu kuu kwamba nilitetemeka kwa haya sababu ya hofu ya mauti, nililaumu mafundisho yao. Kwa hiyo ni naomba ... Mwenyezi Mungu tafazali unirehemu zambi zangu, na hii kwa upekee, mbaya kuliko zote.” Kuelekeza kwa waamuzi wake, akasema kwa uhodari, “Muliwahukumu Wycliffe na John Huss ... mambo ambayo walihakikisha, na yasiyo ya udanganyifu, nafikiri, pia vile vile na kutangaza, kama wao.” Maneno yake yakakatwa. Maaskofu wakitetemeka na hasira, wakapaza sauti: “Haja gani iko pale ya ushuhuda zaidi? Tunaona kwa macho yetu wenyewe wingi wa ukaidi wa wapinga dini!” Bila kutikiswa na tufani, Jerome akakaza sauti: “Nini basi! munafikiri kwamba naogopa kufa? Mulinishika mwaka mzima katika gereza la kutisha, la kuchukiza kuliko mauti yenyewe. ... Siwezi bali naeleza mshangao wangu kwa ushenzi mkubwa wa namna hii juu ya Mkristo.” Akahesabiwa Kifungo na Mauti. Tena zoruba ya hasira ikatokea kwa nguvu, na Jerome akapelekwa gerezani kwa haraka. Kwani kulikuwa wengine ambao maneno yake yaliwagusa na kuwapa mawazo mioyoni na walitamani kuokoa maisha yake. Alizuriwa na wakuu wenye cheo na kumuomba sana kutii baraza. Matumaini mazuri yalitolewa kama zawadi. “Shuhudieni kwangu kwa Maandiko matakatifu kwamba niko katika makosa,” akasema, “na nitaikana kwa kiapo.” “Maandiko matakatifu”! akapaza sauti mmoja wao wa wajaribu wake, “je, kila kitu basi ni kuhukumiwa kwa yale Maandiko? Nani anaweza kuyafahamu mpaka kanisa ameyatafsiri?” “Je, maagizo ya watu yanakuwa na bei kuliko injili ya Mwokozi wetu?” akajibu Jerome. “Mpunga dini!” lilikuwa jibu. “Natubu kwa kutetea wakati mrefu pamoja nanyi. Naona kwamba unashurutishwa na Shetani”. Kwa gafula akapelekwa mahali pale pale ambapo Huss alitoa maisha yake. Alikwenda akiimba njiani mwake, uso wake ukang’aa kwa furaha na amani. Kwake mauti ilipoteza kutisha kwake. Wakati mwuaji, alipotaka kuwasha kundi, akasimama nyuma yake, mfia dini akapaza sauti, “tieni moto mbele ya uso wangu, Kama nilikuwa nikiogopa, singekuwa hapa.” Maneno yake ya mwisho yalikuwa ni maombi: “Bwana Baba Mwenyezi, unihurumie, na unirehemu zambi zangu; kwa maana unajua kwamba nilikuwa nikipenda sikuzote Ukweli.” Majifu ya mfia dini yakakusanyiwa na, kama yale ya Huss, yakatupwa katika Rhine. Basi kwa namna hii wachukuzi wa nuru waaminifu wa Mungu waliangamizwa. 43
- Page 1 and 2: KUPINGA YA E KIPROTESTANTI Ellen Wh
- Page 3 and 4: KUPINGA YA KIPROTESTANTI ELLEN G. W
- Page 5 and 6: Ukurasa huu umeachwa tupu kwa makus
- Page 7 and 8: Shukrani Kitabu hiki ni kujitolea k
- Page 9 and 10: Kupinga ya Kiprotestanti
- Page 11 and 12: Kupinga ya Kiprotestanti Yaliyomo S
- Page 13 and 14: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 1. Un
- Page 15 and 16: Kupinga ya Kiprotestanti lilitukuzw
- Page 17 and 18: Kupinga ya Kiprotestanti Majeshi ya
- Page 19 and 20: Kupinga ya Kiprotestanti mkubwa. Na
- Page 21 and 22: Kupinga ya Kiprotestanti Shetani ba
- Page 23 and 24: Kupinga ya Kiprotestanti Wenye haki
- Page 25 and 26: Kupinga ya Kiprotestanti wakakatazw
- Page 27 and 28: Kupinga ya Kiprotestanti Injili ili
- Page 29 and 30: Kupinga ya Kiprotestanti Malaika wa
- Page 31 and 32: Kupinga ya Kiprotestanti Sasa roho
- Page 33 and 34: Kupinga ya Kiprotestanti fundi wa k
- Page 35 and 36: Kupinga ya Kiprotestanti Ujumbe wa
- Page 37 and 38: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 5. Nu
- Page 39 and 40: Kupinga ya Kiprotestanti Wycliffe a
- Page 41 and 42: Kupinga ya Kiprotestanti Wycliffe a
- Page 43 and 44: Kupinga ya Kiprotestanti wateteaji
- Page 45 and 46: Kupinga ya Kiprotestanti Kwa wakati
- Page 47 and 48: Kupinga ya Kiprotestanti Mwenendo w
- Page 49: Kupinga ya Kiprotestanti mwenyewe k
- Page 53 and 54: Kupinga ya Kiprotestanti Waongozi w
- Page 55 and 56: Kupinga ya Kiprotestanti Kutafuta A
- Page 57 and 58: Kupinga ya Kiprotestanti Tetzel, mj
- Page 59 and 60: Kupinga ya Kiprotestanti ulishindwa
- Page 61 and 62: Kupinga ya Kiprotestanti Kutoka kwa
- Page 63 and 64: Kupinga ya Kiprotestanti Mungu haku
- Page 65 and 66: Kupinga ya Kiprotestanti “Ni wana
- Page 67 and 68: Kupinga ya Kiprotestanti Kukaribia
- Page 69 and 70: Kupinga ya Kiprotestanti Luther aka
- Page 71 and 72: Kupinga ya Kiprotestanti furaha na
- Page 73 and 74: Kupinga ya Kiprotestanti ulipashwa
- Page 75 and 76: Kupinga ya Kiprotestanti utukufu wa
- Page 77 and 78: Kupinga ya Kiprotestanti kuu wakimu
- Page 79 and 80: Kupinga ya Kiprotestanti aliyempele
- Page 81 and 82: Kupinga ya Kiprotestanti Alikuwa ch
- Page 83 and 84: Kupinga ya Kiprotestanti Wapadri wa
- Page 85 and 86: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 11. U
- Page 87 and 88: Kupinga ya Kiprotestanti nafasi ya
- Page 89 and 90: Kupinga ya Kiprotestanti watawala w
- Page 91 and 92: Kupinga ya Kiprotestanti kukaimaris
- Page 93 and 94: Kupinga ya Kiprotestanti Katika mti
- Page 95 and 96: Kupinga ya Kiprotestanti Calvin hak
- Page 97 and 98: Kupinga ya Kiprotestanti Tena mkuta
- Page 99 and 100: Kupinga ya Kiprotestanti Ngurumo ya
Kupinga ya Kiprotestanti

Lakini katika upekee wa gereza lake aliona wazi jambo alilofanya. Aliwaza juu ya uhodari

na uaminifu wa Huss na akafikiri kukana kwake mwenyewe kwa ukweli. Akafikiri habari ya

Bwana Mungu ambaye kwa ajili yake mwenyewe alivumilia msalaba. Kabla ya kukana kwake

alipata usaada ndani ya mateso katika hakikisho la wapenzi wa Mungu, lakini sasa majuto na

mashaka yakatesa roho yake. Alijua kwamba mambo ya kujikana kwingine yalipaswa

kufanywa kabla ya yeye kuweza kuwa na amani pamoja na Roma. Njia ambayo aliingia

ilipaswa kuishia tu katika ukufuru kamili.

Jerome Anapata Toba na Uhodari Mpya

Upesi akapelekwa tena mbele ya baraza. Waamzi hawakutoshelewa na kujitaa kwake. Ila

tu kwa kukataa wazi wazi kwa ukweli ndipo Jerome angaliweza kuokoa maisha yake. Lakini

alikusudia kukubali imani yake na kufuata ndugu yake mfia dini kwa miako ya moto.

Alikataa kujikania kwake kwa kwanza na, kama mtu mwenye kufa, akadai kwa heshima

apewe bahati ajitetee. Maaskofu wakashikilia kwamba angekubali tu ao kukana mashitaka

yaliyoletwa juu yake. Jerome akakataa juu ya udanganyifu kama ule. “Mumenishika bila

kusema siku mia tatu na makumi ine katika gereza la kutiisha,” akasema; “Munanileta basi

mbele yenu, na kutoa sikio lenu kwa adui zangu za kibinadamu, munakataa kunisikia. ...

Mujihazari kuto kufanya zambi juu ya haki. Lakini mimi, niko binadamu zaifu; maisha yangu

ni ya maana kidogo; na ninapo waonya si kwa kutoa hukumu isiyo kuwa ya haki, nasema

machache kwa ajili yangu mwenyewe kuliko kwa ajili yenu.”

Maombi yake mwishowe yakakubaliwa. Mbele ya waamzi wake, Jerome akapiga magoti

na akaomba kwamba Roho ya Mungu ipate kutawala mawazo yake, ili asiweze kusema kitu

cho chote kinacho kuwa kinyume cha ukweli ao kisichofaa kwa Bwana wake. Kwake siku ile

ahadi ikatimia “Wakati wanapowapeleka ninyi, musisumbuke namna gani ao neno gani

mutakalolisema; kwa sababu mutapewa saa ile neno mutakalosema. Kwa maana si ninyi

munaosema, lakini Roho ya Baba yenu anayesema ndani yenu.” Matayo 10:19, 20.

Kwa mwaka wote mzima Jerome alikuwa katika gereza, bila kuweza kusoma ao hata

kuona. Kwani maneno yake yalitolewa kwa hali ya kuwa na mwangaza sana na uwezo kama

kwamba hakusumbuliwa wakati kwa kujifunza. Akaonyesha wasikilizi wake mstari mrefu wa

watu watakatifu waliohukumiwa na waamzi wasiohaki. Karibu kila kizazi wale waliokuwa

wakitafuta kuinua watu wa wakati wao wakafukuzwa. Kristo mwenyewe alihukumiwa kama

mfanya maovu kwa baraza la hukumu lisiyo haki.

Jerome sasa akatangaza toba yake na kutoa ushuhuda kwamba Huss hana kosa na kwamba

ni mtakatifu. “Nilimjua tokea utoto wake,” akasema. “Alikuwa mtu bora zaidi, mwenye haki

na mtakatifu; alihukumiwa, ijapokuwa hakuwa na kosa ... niko tayari kwa kufa. Sitarudia

nyuma mbele ya maumivu mabaya yale yanayotayarishwa kwa ajili yangu na adui zangu na

mashahidi wa uongo, ambao siku moja watatoa hesabu ya mambo yao ya ujanja mbele ya

Mungu Mkuu, ambaye hakuna kitu kinaweza kudanganya.”

42