12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

mwenyewe kwamba sina kosa. Namuita Mungu kushuhudia kwamba yote niliyoandika na

kuhubiri ilikuwa na nia ya kuokoa myoyo kutoka zambini na kupotea milele; na, kwa hiyo,

`furaha kubwa zaidi nitahakikisha kwa damu yangu ukweli ule ambayo nimeuandika na ku

uhubiri.”

Wakati nyali za moto zilipowashwa kwa ajili yake, akaanza kuimba, “Yesu wewe Mwana

wa Daudi, unihurumie”, na hivyo akaendelea hata sauti yake ikanyamazishwa milele. Mfuasi

wa kanisa la Roma mwenye bidii, alipoelekeza mauti ao mateso ya wafia dini Huss, na

Jerome, aliyekufa baadaye, akasema: “Walijitayarisha kwa moto kama kwamba walikuwa

wakienda kwa karamu ya ndoa. Hawakutoa kilio cha maumivu. Wakati miako ilipopanda,

wakaanza kuimba nyimbo; na mara haba ukali wa moto iliweza kukomesha kuimba kwao.”

Mwili wa Huss ilipoteketea, majifu yake yalikusanywa na kutupwa katika jito la Rhine na

kupelekwa baharini ikiwa kama mbegu iliyotawanyika katika inchi zote za ulimwengu.

Katika inchi zisizo julikana bado mbegu ile itazaa matunda mengi y kushuhudia ukweli. Sauti

katika nyumba ya baraza la Constance likaamsha minongono ya kusikika miaka yote

iliyofuata. Mfano wake utasaidia makundi ya watu wengi kusimama imara mbele ya mateso

makali na kifo. Kifo chake kilionyesha wazi ubaya wa Roma. Maadui wa ukweli walikuwa

wakisaidia shauri ambalo walikusudia kuangamiza!

Lakini damu ya mushuhuda mwengine ilipaswa kushuhudia ukweli. Jerome alikuwa

akimshauria Huss kwa uhodari na nguvu, kutangaza kwamba kama ni lazima kwake kuanguka

kwa hatari, angeruka kwa kumsaidia. Aliposikia habari ya kufungwa kwa Mtengenezaji,

mwanafunzi mwaminifu akajitayarisha kutimiza ahadi yake. Bila ruhusa mwenendo wa

usalama akashika njia kwenda Constance. Alipofika, akasadiki kwamba alijiingiza yeye

mwenyewe hatarini ya kupotea bila kuwa na namna ya kufanya lolote kwa ajili ya Huss.

Akakimbia lakini akafungwa na akarudishwa anapofungwa na minyororo. Kwa kutokea

kwake kwa kwanza mbele ya baraza majaribio yake kwa kujibu yalikutana na makelele, “Kwa

myako ya moto pamoja naye!” Akatupwa gerezani chini ya ngome na akalishwa mkate na

maji. Mateso ya kufungwa kwake yakaleta ugonjwa na kutiisha maisha yake; na adui zake

kuogopa kwamba angeweza kuwakimbia, wakamtendea si kwa ukali sana, japo akidumu

katika gereza mda wa mwaka moja.

Jerome Anatii Baraza

Mvunjo wa hati ya Huss ukaamsha zoruba ya hasira. Baraza ikakusudia kwamba, badala

ya kuchoma Jerome, yafaa kumshurutisha kukana. Akapewa kuchagua kati ya mambo mawili

kukana mambo ya kwanza au kufa juu ya mti. Alipo zoofishwa na ugonjwa, kwa ajali ya

mitetemo ya gereza na mateso ya mashaka na wasi wasi, kutengana na marafiki, na

kuhofishwa kwa ajili ya kifo cha Huss, nguvu za Jerome zikafifia. Akakubali imani ya

kikatolika na uamuzi wa baraza uliohukumu wycliffe na Huss, lakini akasimamia “kweli

takatifu” walizofundisha.

41

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!