12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Neema ya Mungu ikamsaidia. Mda wa juma ya kuteseka kabla ya hukumu ya mwisho,

amani ya mbinguni ikajaa rohoni mwake. “Ninaandika barua hii”, akasema kwa rafiki, “katika

gereza langu, na mkono wangu katika minyororo, kutazamia hukumu yangu ya kifo kesho. ...

Wakati, kwa msaada wa Yesu Kristo, tutakutana tena katika amani ya kupendeza sana ya

maisha yajayo, mtajifunza namna gani Mungu wa rehema amejionyesha mwenyewe mbele

yangu, namna gani ya kufaa amenisaidia katikati ya majaribu na mashindano yangu.”

Ushindi Ulioonekana Mbele

Katika gereza hii ya chini ya ngome aliona ushindi wa imani ya kweli. Katika ndoto zake

aliona Papa na maaskofu wakifuta picha za Kristo alizofananisha kwa ukuta za kanisa ndogo

huko Prague. “Njozi hii ilimsumbua: lakini kesho yake akaona wapaka rangi wengi walikuwa

wakitumika katika kurudisha picha hizi katika hesabu kubwa na rangi zenye kung’aa. ...

Wapaga rangi, ... wakazungukwa na makutano mengi, wakasema kwa nguvu, Sasa Papa na

maaskofu waje; hawatayafuta tena kamwe!” Akasema Mtengenezaji, “Sura ya Kristo

haitafutwa kamwe. Walitamani kuuharibu, lakini utapakaliwa tena, upya katika mioyo yote

na wahubiri bora kuliko mimi mwenyewe.”

Kwa wakati wa mwisho, Huss akapelekwa mbele ya baraza, mkutano mkubwa na kungaa-

-mfalme, watoto wa kifalme, makamu (deputes) ya kifalme, wakuu (cardinals) maaskofumapadri,

na makundi makubwa.

Alipoitwa juu ya hukumu yake ya mwisho, Huss akatangaza makatao yake kuwa hata

kana. Kwa kukazia macho mfalme ambaye kwa haya neno lake la ahadi halikutimizwa

kamwe, akatangaza: “Nilikusudia, kwa mapenzi yangu, nionekane mbele ya baraza hili, chini

ya ulinzi wa watu wote na imani ya mfalme anayekuwa hapa.” Sigismuna akageuka uso kwa

haya, namna macho ya wote yaligeuka kumwangalia.

Hukumu ilipokwisha kutangazwa, sherehe ya haya ikaanza. Tena akaombwa kukana.

Huss akajibu, kwa kugeukia watu: “kwa uso gani, basi, napaswa kuangalia mbinguni? Namna

gani naweza kuangalia makutano haya ya watu ambao nimewahubiri injili kamilifu? Sivyo;

ninaheshimu wokovu wao zaidi kuliko mwili huu zaifu, ambayo sasa unaamriwa kufa.”

Mavazi ya ukasisi yakavuliwa moja kwa moja, kila askofu kutamka laana wakati alipokuwa

akitimiliza sehemu yake ya sherehe. Mwishowe, “wakaweka juu ya kichwa chake kofia ao

kofia ya kiaskofu ya umbo la jengo la mawe ya kartasi, ambapo sanamu za kuogofya za pepo

mbaya zilipakwa rangi, na neno “Mzushi mkuu” yenye kuonekana kwa mbali mbele. “Furaha

kubwa kuliko,” akasema Huss, “nitavaa taji la haya kwa ajili ya jina lako, o Yesu. Kwa ajili

yangu ulivaa taji la miiba.”

Huss Alikufa Juu ya Mti (Mti wa kufungia Watu wa Kuchomwa na Moto wanapo kuwa

Wahai). Sasa akachukuliwa. Maandamano makubwa yakafuata. Wakati kila kitu kilikuwa

tayari kwa ajili ya moto kuwashwa, mfia dini akashauriwa mioyo tena kuokoa maisha yake

kwa kukana makosa yake. “Makosa gani”, akasema Huss, “nitakayokanusha? Najua mimi

40

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!