Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Kupinga ya Kiprotestanti

Mwenendo wa Salama Kutoka kwa Mfalme

Katika barua kwa rafiki zake akasema: “Ndugu zangu, ... nimefanya safari pamoja na

mwenendo wa usalama kutokuwa ya mfalme kwakukutana na maadui wangu wengi wa

kibinadamu. ... Yesu Kristo aliteswa kwa ajili ya wapenzi wake; na kwa hiyo hatupaswe

kushangazwa kwamba alituachia mfano wake? ... Kwa hiyo, wapenzi, kama kifo changu

kinapaswa kutoa sehemu kwa utukufu wake, naomba kwamba kipate kunifikia upesi, na

kwamba aweze kuniwezesha kuvumilia mateso kubwa yangu yote kwa uaminifu. ... Hebu

tuombe kwa Mungu ... kwamba nisipate kuvunja haki hata ndogo ya ukweli ya injili, ili nipate

kuacha mfano bora utakao fuatwa na ndugu zangu.”

Katika barua ingine, Huss alisema kwa unyenyekevu wa makosa yake mwenyewe,

kujishitaki mwenyewe “kwa kupendezwa kwa kuvaa mavazi ya utajiri na kuweza kupoteza

wakati katika shuguli zisizo na maana.” Ndipo akaongeza, “hebu utukufu wa Mungu na

wokovu wa mioyo utawale akili yako, na si upato wa faida na mashamba. Epuka kuipamba

nyumba yako zaidi ya roho yako; na, juu ya yote, toa uangalifu wako kwa kiroho. Uwe mtawa

na mpole na maskini, na usimalize chakula chako katika kufanya karamu.”

Huko Constance, Huss alipewa uhuru kamili. Kwa mwenendo wa salama wa mfalme

kuliongezwa uhakikisho wa ulinzi wa Papa. Lakini, katika mvunjo wa metangazo haya

yaliyokuwa yakikaririwa, kwa mda mfupi Mtengenezaji akufungwa kufuatana na agizo la

Papa na wakuu (cardinals) na kusukumwa ndani ya gereza mbaya la chini ya ngome. Baadaye

akahamishwa kwa ngome ya nguvu ngambo ya mto Rhine na huko mfungwa alikuwa

akilindwa. Papa kwa upesi baadaye akawekwa kwa gereza ile ile. Alishuhudiwa kuwa

mwenye hatia ya makosa mabaya, kuua mtu kwa kusudi zaidi, kufanya biashara ya mambo

matakatifu ya dini, na uzinzi, “zambi zisizofaa kutajwa.” Baadaye akanyanganywa taji lake.

Mapapa wapinzani pia wakaondolewa, na askofu mpya akachaguliwa.

Ingawa pape mwenyewe alikuwa mwenye hatia ya makosa makubwa kuliko Huss

aliyoyaweka juu ya mapadri, bali ni baraza lile lile lililoondoa cheo cha askofu likadai

kuangamiza Mtengenezaji. Kifungo cha Huss kikaamsha hasira nyingi katika Bohemia.

Mfalme, alipokataa kuvunja mwenendo wa usalama, akapinga mambo juu yake. Lakini

maadui wa Mtengenezaji wakaendelea kuleta mabishano kushuhudia kwamba “imani

haipaswi kushikwa pamoja na asiyefundisha makwa ya kanisa ao mtu anayezaniwa na

upinzani wamafundisho ya kanisa, hata wakiwa watu wanoakuwa na mwenendo wa usalama

kutoka kwa mfalme na wafalme.”

Kuwa mzaifu sababu ya ugonjwa-gereza lenye baridi na maji maji likaleta homa ambayo

karibu kumaliza maisha yake-mwishowe Huss akaletwa mbele ya baraza. Mwenye kufungwa

minyororo akasimama mbele ya mfalme, ambaye juu ya imani nzuri aliyokuwa nayo aliaahidi

kumlinda. Akashikilia ukweli kwa nguvu na kutoa ushuhuda wa kutokubali maovu ya

waongozi wa dini. Akashurutishwa kuchagua au kukana mafundisho yake ao kuuwawa,

akakubali kifo cha wafia dini.

39