Kupinga ya Kiprotestanti

newcovenantpublicationsintl
from newcovenantpublicationsintl More from this publisher
12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti Jerome, kwa kujinyenyekea kwa kweli, akapata thamani yake na kunyenyekea kwa mashauri yake. Chini ya kazi zao za muungano matengenezo yakazambaa kwa upesi. Mungu akaruhusu nuru kuangaza juu ya akili za watu hawa wateule, kuwafunulia makosa mengi ya Roma, lakini hawakupokea nuru yote ya kutolewa ulimwenguni. Mungu alikuwa akiongoza watu kutoka katika giza ya Kanisa la Roma, na akazidi kuwaongoza, hatua kwa hatua, namna waliweza kuichukua. Kama utukufu wote wa jua la azuhuri kwa wale waliodumu gizani mda mrefu, nuru kamili ingewaletea kurudi nyuma. Kwa hiyo aliifunua kidogo kidogo, jinsi ilivyowezekana kupokelewa na watu. Matengano katika kanisa likaendelea. Mapapa watatu sasa walikuwa wakishindania mamlaka. Ushindano wao ukajaza jamii ya mataifa ya Wakristo wote machafuko. Hakutoshelewa na kuvurumisha laana, kila mmoja ni kununua silaha na kupata waaskari. Kwa kweli feza ziweko; kwa kupata hizi, zawadi, fazili, na mibaraka ya kanisa yalitolewa kwa ajili ya biashara. (Tazama Nyongezo) Pamoja na uhodari ulioongezeka Huss akapiga ngurumo juu ya machukizo yaliyo vumiliwa katika jina la dini. Watu wakashitaki Roma wazi wazi kuwa chanzo cha shida iliyoharibu miliki ya kikristo. Tena Prague ilionekana kukaribia ugomvi wa damu. Kama katika miaka ya zamani, mtumishi wa Mungu walishitakiwa kuwa “yeye mtaabishaji wa Israeli”. 1 Wafalme 18:17. Mji ukawekwa tena chini ya mkatazo, na Huss akarudishwa tena katika kijiji chake cha kuzaliwa. Akasema kuanzia mahali pa kubwa sana pa wazi, kwa jamii ya Wakristo wote, kabla ya kukata roho yake kama mshuhuda kwa ajili ya ukweli. Baraza kubwa likaitwa kukutana kule Constance (Udachi wa kusini na magharibi), likaitwa kwa mapenzi ya mfalme Sigismund na mmoja wapo wa mapapa wapinzani watatu, Yohana XXIII. Papa Yohana, ambaye tabia yake na maongozi yaliweza kufanya uchunguzi mbaya, hakusubutu kupinga mapenzi ya Sigismund. (Tazama Nyongezo). Makusudi makuu yaliyopashwa kutimizwa yalikuwa kuponya msukosuko katika kanisa kungoa mafundisho ya imani yasiyopatana na yale yaliyotangazwa na kanisa kuwa kweli. Wapinzani wawili hawa wa Papa wakaitwa kwenda mbele pamoja na John Huss. Wa kwanza walituma wajumbe wao. Papa John akaja na mashaka mengi, kuogopa kuhesabiwa kwa makosa ambayo yalileta haya kwa taji pia kwa ajili ya zambi zilizo ilinda. Huku alifanya kuingia kwake katika mji wa Constance na baridi kubwa, lililofanyiwa na mapadri na maandamano ya wafuasi wa mfalme. Juu ya kichwa chake chandarua cha zahabu, kuchukuliwa na waamuzi wane wakubwa. Mwenyeji (host) aliletwa mbele yake, na kupambwa kwa utajiri wa wakuu (cardinals) na watu wa cheo kikubwa vika urembo wakushangaza. Wakati ule ule msafiri mwengine alikuwa akikaribia Constance. Huss aliachana na rafiki zake kama kwamba hawataonana tena, kufikiri vile safari yake ilikuwa ikimwongoza kwa kingingi (mti wa kufungia watu wa kuchomwa moto). Alipata hati (ruhusa ya kupita) kwa mfalme wa Bohemia na hati ingine vile vile kwa mfalme Sigismund. Lakini alifanya matengenezo yake yote katika maoni yanayoweza kuelekea kifo chake. 38

Kupinga ya Kiprotestanti Mwenendo wa Salama Kutoka kwa Mfalme Katika barua kwa rafiki zake akasema: “Ndugu zangu, ... nimefanya safari pamoja na mwenendo wa usalama kutokuwa ya mfalme kwakukutana na maadui wangu wengi wa kibinadamu. ... Yesu Kristo aliteswa kwa ajili ya wapenzi wake; na kwa hiyo hatupaswe kushangazwa kwamba alituachia mfano wake? ... Kwa hiyo, wapenzi, kama kifo changu kinapaswa kutoa sehemu kwa utukufu wake, naomba kwamba kipate kunifikia upesi, na kwamba aweze kuniwezesha kuvumilia mateso kubwa yangu yote kwa uaminifu. ... Hebu tuombe kwa Mungu ... kwamba nisipate kuvunja haki hata ndogo ya ukweli ya injili, ili nipate kuacha mfano bora utakao fuatwa na ndugu zangu.” Katika barua ingine, Huss alisema kwa unyenyekevu wa makosa yake mwenyewe, kujishitaki mwenyewe “kwa kupendezwa kwa kuvaa mavazi ya utajiri na kuweza kupoteza wakati katika shuguli zisizo na maana.” Ndipo akaongeza, “hebu utukufu wa Mungu na wokovu wa mioyo utawale akili yako, na si upato wa faida na mashamba. Epuka kuipamba nyumba yako zaidi ya roho yako; na, juu ya yote, toa uangalifu wako kwa kiroho. Uwe mtawa na mpole na maskini, na usimalize chakula chako katika kufanya karamu.” Huko Constance, Huss alipewa uhuru kamili. Kwa mwenendo wa salama wa mfalme kuliongezwa uhakikisho wa ulinzi wa Papa. Lakini, katika mvunjo wa metangazo haya yaliyokuwa yakikaririwa, kwa mda mfupi Mtengenezaji akufungwa kufuatana na agizo la Papa na wakuu (cardinals) na kusukumwa ndani ya gereza mbaya la chini ya ngome. Baadaye akahamishwa kwa ngome ya nguvu ngambo ya mto Rhine na huko mfungwa alikuwa akilindwa. Papa kwa upesi baadaye akawekwa kwa gereza ile ile. Alishuhudiwa kuwa mwenye hatia ya makosa mabaya, kuua mtu kwa kusudi zaidi, kufanya biashara ya mambo matakatifu ya dini, na uzinzi, “zambi zisizofaa kutajwa.” Baadaye akanyanganywa taji lake. Mapapa wapinzani pia wakaondolewa, na askofu mpya akachaguliwa. Ingawa pape mwenyewe alikuwa mwenye hatia ya makosa makubwa kuliko Huss aliyoyaweka juu ya mapadri, bali ni baraza lile lile lililoondoa cheo cha askofu likadai kuangamiza Mtengenezaji. Kifungo cha Huss kikaamsha hasira nyingi katika Bohemia. Mfalme, alipokataa kuvunja mwenendo wa usalama, akapinga mambo juu yake. Lakini maadui wa Mtengenezaji wakaendelea kuleta mabishano kushuhudia kwamba “imani haipaswi kushikwa pamoja na asiyefundisha makwa ya kanisa ao mtu anayezaniwa na upinzani wamafundisho ya kanisa, hata wakiwa watu wanoakuwa na mwenendo wa usalama kutoka kwa mfalme na wafalme.” Kuwa mzaifu sababu ya ugonjwa-gereza lenye baridi na maji maji likaleta homa ambayo karibu kumaliza maisha yake-mwishowe Huss akaletwa mbele ya baraza. Mwenye kufungwa minyororo akasimama mbele ya mfalme, ambaye juu ya imani nzuri aliyokuwa nayo aliaahidi kumlinda. Akashikilia ukweli kwa nguvu na kutoa ushuhuda wa kutokubali maovu ya waongozi wa dini. Akashurutishwa kuchagua au kukana mafundisho yake ao kuuwawa, akakubali kifo cha wafia dini. 39

Kupinga ya Kiprotestanti

Jerome, kwa kujinyenyekea kwa kweli, akapata thamani yake na kunyenyekea kwa mashauri

yake. Chini ya kazi zao za muungano matengenezo yakazambaa kwa upesi.

Mungu akaruhusu nuru kuangaza juu ya akili za watu hawa wateule, kuwafunulia makosa

mengi ya Roma, lakini hawakupokea nuru yote ya kutolewa ulimwenguni. Mungu alikuwa

akiongoza watu kutoka katika giza ya Kanisa la Roma, na akazidi kuwaongoza, hatua kwa

hatua, namna waliweza kuichukua. Kama utukufu wote wa jua la azuhuri kwa wale

waliodumu gizani mda mrefu, nuru kamili ingewaletea kurudi nyuma. Kwa hiyo aliifunua

kidogo kidogo, jinsi ilivyowezekana kupokelewa na watu.

Matengano katika kanisa likaendelea. Mapapa watatu sasa walikuwa wakishindania

mamlaka. Ushindano wao ukajaza jamii ya mataifa ya Wakristo wote machafuko.

Hakutoshelewa na kuvurumisha laana, kila mmoja ni kununua silaha na kupata waaskari. Kwa

kweli feza ziweko; kwa kupata hizi, zawadi, fazili, na mibaraka ya kanisa yalitolewa kwa ajili

ya biashara. (Tazama Nyongezo)

Pamoja na uhodari ulioongezeka Huss akapiga ngurumo juu ya machukizo yaliyo

vumiliwa katika jina la dini. Watu wakashitaki Roma wazi wazi kuwa chanzo cha shida

iliyoharibu miliki ya kikristo. Tena Prague ilionekana kukaribia ugomvi wa damu. Kama

katika miaka ya zamani, mtumishi wa Mungu walishitakiwa kuwa “yeye mtaabishaji wa

Israeli”. 1 Wafalme 18:17. Mji ukawekwa tena chini ya mkatazo, na Huss akarudishwa tena

katika kijiji chake cha kuzaliwa. Akasema kuanzia mahali pa kubwa sana pa wazi, kwa jamii

ya Wakristo wote, kabla ya kukata roho yake kama mshuhuda kwa ajili ya ukweli.

Baraza kubwa likaitwa kukutana kule Constance (Udachi wa kusini na magharibi),

likaitwa kwa mapenzi ya mfalme Sigismund na mmoja wapo wa mapapa wapinzani watatu,

Yohana XXIII. Papa Yohana, ambaye tabia yake na maongozi yaliweza kufanya uchunguzi

mbaya, hakusubutu kupinga mapenzi ya Sigismund. (Tazama Nyongezo). Makusudi makuu

yaliyopashwa kutimizwa yalikuwa kuponya msukosuko katika kanisa kungoa mafundisho ya

imani yasiyopatana na yale yaliyotangazwa na kanisa kuwa kweli. Wapinzani wawili hawa

wa Papa wakaitwa kwenda mbele pamoja na John Huss. Wa kwanza walituma wajumbe wao.

Papa John akaja na mashaka mengi, kuogopa kuhesabiwa kwa makosa ambayo yalileta haya

kwa taji pia kwa ajili ya zambi zilizo ilinda. Huku alifanya kuingia kwake katika mji wa

Constance na baridi kubwa, lililofanyiwa na mapadri na maandamano ya wafuasi wa mfalme.

Juu ya kichwa chake chandarua cha zahabu, kuchukuliwa na waamuzi wane wakubwa.

Mwenyeji (host) aliletwa mbele yake, na kupambwa kwa utajiri wa wakuu (cardinals) na watu

wa cheo kikubwa vika urembo wakushangaza.

Wakati ule ule msafiri mwengine alikuwa akikaribia Constance. Huss aliachana na rafiki

zake kama kwamba hawataonana tena, kufikiri vile safari yake ilikuwa ikimwongoza kwa

kingingi (mti wa kufungia watu wa kuchomwa moto). Alipata hati (ruhusa ya kupita) kwa

mfalme wa Bohemia na hati ingine vile vile kwa mfalme Sigismund. Lakini alifanya

matengenezo yake yote katika maoni yanayoweza kuelekea kifo chake.

38

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!