12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Kwa wakati huu, wageni wawili kutoka Uingereza, watu wa elimu, walipokea nuru na

wakaja kuieneza katika Prague. Kwa upesi wakanyamazishwa, lakini kwa sababu hawakutaka

kuacha kusudi lao, wakatafuta mashauri mengine. Walipokuwa wafundi pia wahubiri, katika

mahali wazi mbele ya watu wakachora picha mbili. Moja ikaonyesha kuingia kwa Kristo

katika Yerusalema, “Mpole, naye amepanda mwana punda” (Matayo 21:5) na akafuatwa na

wanafunzi wake katika mavazi ya kuzeeka juu ya safari na miguu wazi. Picha ingine ilieleza

mwandamano wa askofu-papa katika kanzu zake za utajiri na taji tatu, mwenye akapanda

farasi ambaye amepambwa vizuri sana, ametanguliwa na wapiga tarumbeta na kufuatwa na

wakuu wa baraza ya papa (cardinals) na maaskofu katika mavazi ya kifalme.

Makutano yakaja kutazama mapicha. Hapana mtu aliweza kushindwa kusoma maana.

Kukawa makelele mengi katika Prague, na wageni wakaona kwamba inafaa kuondoka. Lakini

picha ikaleta wazo kubwa kwa Huss na ikamwongoza karibu sana na uchunguzi wa Biblia na

wa maandiko ya Wycliffe. Ingawa alikuwa hakujitayarisha bado kukubali matengenezo yote

yaliyotetewa na Wycliffe, aliona tabia ya kweli ya kanisa la Roma, na akalaumu kiburi, tamaa

ya nguvu, na makosa ya mamlaka ya dini.

Prague Ikawekwa Chini ya Makatazo

Habari zikapelekwa Roma, na Huss akaitwa kwa kuonekana mbele ya Papa. Kutii

kungalileta kifo cha kweli. Mfalme na malkia wa Bohemia, chuo kikuu, washiriki wa chuo

kikuu, na wakuu wa serkali, wakajiunga katika mwito kwa askofu kwamba Huss aruhusiwe

kubaki huko Prague na kujibu kwa njia ya ujumbe. Baadaye, Papa akaendelea kuhukumu

nakulaumu Huss, na akatangaza mji wa Prague kuwa chini ya makatazo.

Katika mwaka ule hukumu hii ikatia kofu. Watu walimuzania Papa kama mjumbe wa

Mungu, wa kushika funguo za mbingu na jehanamu na kuwa na uwezo kuita hukumu.

Iliaminiwa kwamba mpaka ilipaswa kupendeza Papa kutosha laana, wafu wangefungiwa

kutoka kwa makao ya heri. Kazi zote za dini zikakatazwa. Makanisa yakafungwa. Ndoa

zikaazumishwa katika uwanja wa kanisa. Wafu wakazikwa bila kanuni ndani ya mifereji ao

mashambani.

Prague ikajaa na msukosuko. Kundi kubwa ya watu wakalaumu Huss na wakadai kwamba

alazimiswe kwenda Roma. Kwa kutuliza makelele, Mtengenezaji akapelekwa kwa mda katika

kijiji chake cha kuzaliwa. Hakuacha kazi zake, bali alisafiri katika inchi na kuhubiri makutano

ya hamu kubwa. Wakati mwamsho katika Prague ulipotulia, Huss akarudi kuendelea kuhubiri

Neno la Mungu. Adui zake walikuwa hodari, lakini malkia na wenye cheo kikuu wengi

walikuwa rafiki zake, na watu katika hesabu kubwa wakamfuata.

Huss alisimama peke yake katika kazi yake. Sasa Jerome akajiunga katika matengenezo.

Wawili hawa baadaye wakajiunga katika maisha yao, na katika mauti hawakuweza kuachana.

Katika watu bora hawa ambao huleta nguvu ya kweli ya tabia, Huss alikuwa mkubwa zaidi.

37

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!