12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

wateteaji wa ukweli wakaendelea kuhubiri katika mahali pa siri, kutafuta kimbilio katika

nyumba za maskini, na mara nyingi kujificha mbali ndani ya matundu na mapango.

Ukimia, uvumilivu, wa kutokubali uchafu wa imani ya dini ukaendelea kuenezwa kwa

karne nyingi. Wakristo wa wakati ule wa mwanzo walijifunza kupenda Neno la Mungu na

kwa uvumilivu waliteswa kwa ajili yake. Wengi wakatoa mali yao ya kidunia kwa ajili ya

Kristo. Wale walioruhusiwa kukaa katika makao yao kwa furaha wakakaribisha ndugu zao

waliofukuzwa, na wakati wao pia walipofukuzwa, wakakubali kwa furaha ya waliotupwa.

Hesabu haikuwa ndogo ya waliojitoa bila woga ushuhuda kwa ukweli katika gereza za hatari

na katikati ya mateso na miako ya moto wakifurahi kwamba walihesabiwa kwamba

walistahili kujua “ushirika wa mateso yake”. Machukio ya watu wa Papa hayakuweza

kutoshelewa wakati mwili wa Wycliffe ulidumu katika kaburi. Zaidi ya miaka makumi ine

baada ya kufa kwake, mifupa yake ikafufuliwa na ikaunguzwa mbele ya watu, na majibu yake

ikatupwa kwa kijito kando kando. “Kijito hiki”, asema mwandishi mzee,majifu yake

“yakachukuliwa katika Avon, Avon katika Severn, Severn katika bahari nyembamba, bahari

nyembamba katika bahari kubwa. Na kwa hivyo majifu ya Wycliffe inakuwa mfano wa

mafundisho yake, ambayo sasa yametawanyika ulimwenguni mwote.”

Katika mafundisho ya Wycliffe, Jean Huss wa Bohemia aliongozwa kuachana na makosa

mengi ya kanisa la Roma. Kutoka Bohemia kazi ikapanuka kwa inchi zingine. Mkono wa

Mungu ulikuwa ukitayarisha njia kwa ajili ya Matengenezo makubwa.

35

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!