12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Wycliffe akaitwa toka kwa mkutano kwenda kwa baraza kuu la taifa (parlement). Kwa

uhodari akashitaki serkali ya Kanisa la Rome mbele ya baraza la taifa na akaomba

matengenezo ya desturi mbaya zilizotolewa na kanisa. Adui zake wakakosa lakufanya.

Ilikuwa ikitazamiwa kwamba Mtengenezaji, katika miaka yake ya uzee, peke yake bila rafiki,

angeinama kwa mamlaka ya mfalme. Lakini baadala yake, Baraza likaamsha na mwito wa

kugusa moyo uliofanywa na ghasia (makelele) za Wycliffe, ukavunja amri ya kuteso, na

Mtengenezaji alikuwa huru tena.

Mara ya tatu aliletwa hukumunu, na mbele ya mahakama makuu ya Kanisa ya kifalme.

Hapa sasa kazi ya Mtengenezaji itasimamishwa. Hii ilikuwa mawazo ya wafuasi wa Papa.

Kama walitimiza kusudi zao, Wycliffe atatoka katika nyumba ya hukumu na na kuelekea

kwenye nyali za moto.

Wycliffe Anakataa Kukana

Lakini Wycliffe hakukana. Pasipo hofu akashikilia mafundisho yake na sukumia mbali

mashitaka ya watesi wake. Akaalika wasikilizi wake mbele ya hukumu la Mungu na akupima

uzito wa madanganyo na wongo wao katika mizani ya ukweli ya milele. Uwezo wa Roho

Mtakatifu ulikuwa juu ya wasikilizaji. Kama mishale kutoka kwa mfuko wa mishale ya

Bwana, maneno ya Mtengenezaji yakatoboa mioyo yao. Mashitaka ya upinga dini,

waliyoyaleta juu yake, akayarudisha kwao.

“Pamoja na nani, munavyo fikiri,” akasema, “munayeshindana naye? na mzee anaye kuwa

kwa ukingo wa kaburi? la! pamoja na ukweli-Ambayo unakuwa na nguvu kuliko wewe, na

utakushinda”. Aliposema vile, akatoka na hata mtu moja wa maadui zake hakujaribu kumzuia.

Kazi ya Wycliffe ilikuwa karibu kutimizwa, lakini mara nyingine tena alipashwa kutoa

ushuhuda wa injili. Aliitwa kwa kusikilizwa mbele ya baraza la kuhukumu la kipapa kule

Roma, ambalo kila mara lilikuwa likimwanga damu ya watakatifu. Msiba wa kupooza ulizuia

safari ile. Lakini ingawa sauti yake haikuweza kusikiwa pale Roma, aliweza kusema kwa njia

ya barua. Mtengenezaji akamwandikia Papa barua, ambayo, ingawa ya heshima na kikristo

moyoni, ilikuwa kemeo kali kwa ukuu na kiburi kya jimbo la Papa.

Wycliffe akaonyesha kwa Papa na maaskofu wake upole na unyenyekevu wa Kristo,

muonyesha wazi si kwao tu bali kwa miliki ya Wakristo wote tofauti kati yao na Bwana

ambaye wanajidai kuwa wajumbe wake.

Wycliffe alitumainia kabisa kwamba maisha yake yangekuwa bei ya uaminifu wake.

Mfalme, Papa na maaskofu wakajiunga kwa kutimiza maangamizi yake, na ilionekana kweli

kwamba kwa mda wa miezi michache ikiwezekana wangemletea kifo kwa ajili ya imani ya

dini. Lakini uhodari wake ulikuwa imara.

Mtu ambaye kwa wakati wote wa maisha yake alisimama imara katika kutetea ukweli

hakuna mtu wakusumbuliwa kwa ajili ya adui zake. Bwana alikuwa mlinzi wake; na sasa,

33

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!