12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Lakini kwa gafula kazi zake zikasimamishwa. Ingawa alikuwa hajaeneza miaka makumi

sita, taabu isiyokoma, kujifunza, na mashambulio ya maadui yalilegeza nguvu zake

nakumfanya aonekane mzee upesi. Akashambuliwa na ugonjwa wa hatari. Watawa walifikiri

kwamba atatubu kwa uovu alioufanya kwa kanisa, na wakaenda haraka kwa chumba chake

ili wasikilize maungamo yake. “Unakuwa na kifo kwa midomo yako”, wakasema; “uguswe

basi kwa makosa yako, na ukane mbele yetu mambo yote uliyosema kwa hasara yetu”.

Mtengenezaji akasikiliza kwa utulivu. Ndipo akamwambia mlinzi wake kumuinua katika

kitanda chake. Katika kuwakazia macho kwa imara, akasema katika sauti hodari ya nguvu

ambayo ilikuwa ikiwaletea kutetemeka mara kwa mara, “Sitakufa, bali nitaishi; na tena

nitatangaza matendo maovu ya watawa”. Waliposhangazwa na kupata haya, watawa

wakatoka chumbani kwa haraka.

Wycliffe aliishi kwa kuweka katika mikono wana inchi wake silaha za nguvu sana kwa

kupinganisha Roma-Biblia, mjumbe wa mbinguni waliyewekwa kwa kutoa utumwani,

kuangazia na kuhubiri watu. Wycliffe alijua kwamba ni miaka michache tu ya kazi iliyobaki

kwake; aliona upinzani aliopashwa kukutana nao; lakini kwa kutiwa moyo na ahadi za Neno

la Mungu, akaendelea. Katika nguvu zote zake za akili, na tajiri kwa matendo, alitayarishwa

na maongozi ya Mungu kwa jambo hili, kazi yake kubwa kuliko zote. Mtengenezaji katika

nyumba yake ya ukasisi huko Lutterworth, alizarau wimbi lililosirika, akajitia mwenyewe

kwa kazi yake aliyoichagua.

Mwishowe kazi ikatimilika-tafsiri ya kwanza ya Biblia kwa kingereza. Mtengenezaji

akaweka katika mikono ya watu wa Kiingereza nuru ambayo haipashwi kuzimishwa kamwe.

Alifanya mengi zaidi kuvunja vifungo vya ujinga na kufungua na kuinua inchi yake kuliko

ilivyo kwisha kufanyiwa na washindi kwa shamba za vita.

Ni kwa kazi ya taabu tu nakala za Biblia ziliweza kuzidishwa. Mapezi yalikuwa makubwa

sana kupata kitabu kile, kwa sababu ilikuwa vigumu kwa wenye kufanya nakala kuweza

kumaliza maombi ya watu. Wanunuzi watajiri walitamani Biblia nzima. Wengine wakanunua

tu kipande. Katika hali nyingi, jamaa zilijiunga kununua nakala moja. Biblia ya Wycliffe kwa

upesi ikapata njia yake nyumbani mwa watu.

Wycliffe sasa akafundisha mafundisho ya kipekee ya Kiprotestanti-wokovu kwa njia ya

imani katika Kristo na haki moja tu ya Maandiko. Imani mpya ikakubaliwa karibu nusu ya

Wangereza. Tokeo la Maandiko likaleta hofu kwa watawala wa kanisa. Wakati ule hapakuwa

na sheria katika inchi ya Uingereza ya kukataza Biblia, kwa sababu ilikuwa haijaandikwa

bado katika lughanyingine. Sheria za namna ile zilifanyika baadaye na zikakazwa kwa nguvu.

Tena waongozi wa papa wakafanya shauri mbaya kwa kunyamazisha sauti ya

Mtengenezaji. Kwanza, mkutano wa waaskofu ukatangaza maandiko yake kuwa ya kupinga

mafundisho ya dini. Walipovuta mfalme kijana, Richard II, upande wao, wakapata agizo la

kifalme kufunga wote wanaohukumu mafundisho yaliyokatazwa na Roma.

32

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!