12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

mamlaka juu ya watawala wa ulimwengu yalikuwa kinyume kwa vyote viwili kweli na

ufunuo. Matakwa ya Papa yalichochea hasira, na mafundisho ya Wycliffe yalivuta akili za

uongozi wa taifa. Mfalme na wakuu walikusanyika kwa kukataa malipo ya kodi.

Watu waliojitenga na mambo ya dunia, maskini wakajaa katika Uingereza, kumwanga

sumu juu ya ukubwa na kufanikiwa kwa taifa. Maisha ya watawa (moines) ya uvivu na

uombaji wa vitu ao mali haikuwa tu gharama kubwa juu ya mali ya watu, wageuza kazi nzuri

kuwa ya kuzarauliwa. Vijana walipotoka na kuharibika. Wengi walishawishwi kujitoa wao

wenyewe kwa maisha ya watawa si kwa kukosa ukubali wa wazazi tu, bali bila ufahamu wao

na kinyume cha mwito wao. Kwa “chukizo hili lisilo la kibinadamu” kama vile Luther

baadaye alilitia “kuonyesha dalili ya mbwa mwitu zaidi na mjeuri kuliko ya Mkristo na mtu,

“ilivyokuwa” mioyo ya watoto ikiwa migumujuu ya wazazi wao.

Hata wanafunzi katika vyuo vikubwa (universites) walidanganywa na watawa na kuvutwa

kwa kuungana namaagizo yao. Mara waliponaswa katika mtego ilikuwa haiwezekani kupata

uhuru. Wazazi wengi walikataa kutuma vijana wao katika vyuo vikubwa. Vyuo vikazoofika,

na ukosefu wa elimu ukaenea pote.

Papa akatoa kwa watawa hawa uwezo kwa kusikia maungamo na kutoa rehema-shina la

uovu mkubwa. Wakageuka kwa kuzidisha faida zao, watu waliojitenga kwa mambo ya

kidunia walikuwa tayari kabisa kutoa masamaha hata wavunja sheria walikuwa wakienda

mara kwa mara kwao, na makosa mabaya zaidi yakaongezeka kwa haraka. Zawadi zilizopasa

kusaidia wagonjwa na maskini zikaenda kwa watawa. Utajiri wa watu waliojitenga kwa

mambo ya kidunia ukaongezeka daima, na majumba yao makubwa na meza za anasa

vikaonyesha zaidi kuongezeka kwa umaskini kwa taifa. Huku watawa wakaendelea kukaza

uwezo wao juu yawengi waliokuwa katika imani ya uchawi na wakawaongoza kuamini kuwa

kazi yote ya dini iliyoonyesha ukubali wa mamlaka ya Papa, kusujudu watakatifu, kufanya

zawadi kwa watawa, hili lilikuwa la kutosha kwa kujipatia nafasi mbinguni!

Wycliffe kwa maarifa safi, akashambulia mizizi ya uovu, kutangaza kwamba utaratibu

wenyewe ni wa uongo na ulipaswa kuondolewa kabisa. Mabishano na maswali yalikuwa

yakiamshwa. Wengi walikuwa wakiongozwa kujiuliza kwamba hawakupaswa kutafuta

rehema zao kwa Mungu zaidi kuliko kwa askofu wa Roma. (Tazama Nyongezo). “Watawa

na mapadri wa Roma,” wakasema, “wako wanatula kama ugonjwa unaoitwa (cancer), Mungu

anapashwa kutuokoa, kama sivyo watu wataangamia”. Watawa waombezi waliojidai kwamba

walikuwa wakifuata mfano wa Mwokozi, kutangaza kwamba Yesu na wanafunzi wake

walikuwa wakisaidiwa kwa ajili wema wa watu. Madai haya yakaongoza watu wengi kwa

Biblia kujifunza ukweli wao wenyewe.

Wycliffe akaanza kuandika na kuchapa vimakaratasi na tuvitabu juu ya watawa, kuita

watu kwa mafundisho ya Biblia na Muumba wake. Si kwa njia ingine bora kuliko angeweza

kutumia kwa kumuangusha yule mnyama mkubwa ambaye Papa alimufanyiza, na ndani yake

mamilioni waliokamatwa watumwa.

30

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!