12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 5. Nuru Inangaa Katika Uingereza

Mungu hakukubali Neno lake liharibiwe kabisa. Katika inchi mbalimbali za Ulaya watu

waliosukumwa na Roho ya Mungu kwa kutafuta ukweli kama vile hazina zilizofichwa. Kwa

bahati njema waliongozwa na Maandiko matakatifu, wakipendezwa kukubali nuru kwa bei

yo yote itakayohitajiwa kwao wenyewe. Ingawa hawakuona vitu vyote wazi, walikuwa

wakiwezeshwa kutambua mambo mengi ya ukweli yaliyozikwa ao fichwa tangu zamani.

Wakati ulifika kwa Maandiko kupewa kwa watu katika lugha yao wenyewe. Dunia

ilikwisha kupitisha usiku wake wa manane. Katika inchi nyingi kukaonekana dalili za

mapambazuko.

Katika karne ya kumi na ine “nyota ya asubuhi ya Matengenezo (Reformation)” ikatokea

katika Uingereza. John Wycliffe alijulikana huko college kuwa mtu wa utawa wa elimu sana.

Alielemishwa na hekima ya elimu, kanuni za kanisa, na sheria ya serkali, alitayarishwa

kuingia katika kazi ngumu kubwa kwa ajili ya raia na uhuru wa dini. Alipata malezi ya elimu

ya vyuo, na akafahamu maarifa ya watu wa mashule. Cheo na ukamilifu wa ufahamu wake

viliamuru heshima za rafiki na maadui. Adui zake walizuiwa kutupa zarau juu ya chazo cha

Matengenezo kwa kuonyesha ujinga ao uzaifu wa wale walioikubali.

Wakati Wycliffe alipokuwa akingaliki huko college, akaingia majifunzo ya Maandiko

matakatifu. Hata sasa Wicliffe alijifahamu kuwa mwenye hitaji kubwa, ambao hata

mafundisho ya elimu yake wala mafundisho ya kanisa hayataweza kumtoshelea. Katika Neno

la Mungu aliona kile ambacho alikuwa anatafuta bila mafanikio. Hapa akamuona Kristo

akitangazwa kama mteteaji pekee wa mtu. Akakusudia kutangaza ukweli aliyovumbua.

Kwa mwanzo wa kazi yake, Wycliffe hakujitia mwenyewe katika upinzani na Roma.

Lakini kwa namna alivyotambua wazi zaidi, makosa ya kanisa la Roma, akazidi kwa bidii

kufundisha mafundisho ya Biblia. Aliona kwamba Roma iliacha Neno la Mungu kwa ajili ya

desturi za asili za watu. Akashitaki bila oga upadri kwa kuweza kuondoshea mbali Maandiko,

na akataka kwa lazima kwamba Biblia irudishwe kwa watu na kwamba uwezo yake uwekwe

tena ndani ya kanisa. Alikuwa mhubiri hodari na mwenye maneno ya kuamsha moyo, na

maisha yake ya kila siku yalionyesha ukweli aliyohubiri. Ufahamu wake wa Maandiko, usafi

wa maisha yake, na bidii yake na ukamilifu aliouhubiri yakampa heshima kwa wote. Wengi

wakaona uovu katika Kanisa la Roma. Wakapokea kwa shangwe isiyofichwa kweli ambazo

zililetwa waziwazi na Wycliffe. Lakini waongozi wa kiPapa wakajazwa na hasira:

Mtengenezaji huyu alikuwa akipata mvuto mkubwa kuliko wao.

Mvumbuzi Hodari wa Kosa

Wycliffe alikuwa mvumbuzi hodari wa kosa na akapambana bila woga juu ya matumizi

mabaya yaliyoruhusiwa na Roma. Alipokuwa padri wa mfalme, akawa shujaa kwa kukataa

malipo ya kodi yaliyodaiwa na Papa kutoka kwa mfalme wa Uingereza. Majivuno ya Papa ya

29

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!