12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Kosa lao kubwa lilikuwa kwamba hawakuabudu Mungu kufuatana na mapenzi ya Papa. Kwa

ajili ya “kosa hili” kila tukano na mateso ambayo watu ao Shetani waliweza kufanya

yaliwekwa juu yao.

Wakati Roma ilikusudia kukomesha dini hii (secte) iliyochukiwa, tangazo likatolewa na

Papa kuwahukumu kama wapingaji wa dini na kuwatoa kwa mauaji. (Tazama Nyongezo).

Hawakusitakiwa kama wavivu, wasio waaminifu, ao wasio na utaratibu; lakini ilitangazwa

kwamba walikuwa wenye mfano wa wenye utawa na utakatifu uliovuta “kondoo la zizi la

kweli”. Tangazo hili likaita washiriki wote wa kanisa kuungana kwa mapigano yawapingaji

wa dini

Kama vile kuchochea tangazo hili liliachia viapo vyovyote wote waliokubali kwenda kwa

vita; tangazo hili likawatolea haki kwa kila mali waliweza kupata kwa wizi, nalika ahidi

ondoleo la zambi zote kwa yule angeweza kuua mpinga dini yeyote. Jambo hilo likavunja

mapatano yote yaliyofanywa kwa upendeleo wa Wavaudois, wakakataza watu wote kuwapa

msaada wowote, na kuwapa uwezo watu wote kukamata mali yao”. Andiko hii linafunua wazi

wazi mungurumo wa joka, na si sauti ya Kristo. Roho ya namna moja iliyosulibisha Kristo na

kuua mitume, ile ilisukuma Nero mwenye hamu ya kumwaga damu juu ya waaminifu katika

siku zake, ilikuwa kazini kwa kuondoa juu ya dunia ya wale waliokuwa wapendwa wa

Mungu.

Bila kutazama vita ya Papa juu yao na mauaji makali sana waliyoyapata, watu hawa

wanaogopa Mungu waliendelea kutuma wajumbe (Missionnaires) kutawanya ukweli wa

damani. Waliwindwa hata kuuwawa, lakini damu yao ilinywesha mbegu iliyopandwa na

kuzaa matunda.

Kwa hivyo Wavaudois walishuhudia Mungu kwa karne nyingi kabla ya Luther.

Walipanda mbegu ya Matengenezo (Reformation) yale yaliyoanza wakati wa Wycliffe,

yakaota na kukomaa katika siku za Luther, na yanapaswa kuendelea hata mwisho wa wakati.

28

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!