12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Ujumbe wa Wavaudois kwa uangalifu ukatoa sehemu zilizoandikwa kwa uangalifu za

Maandiko matakatifu. Nuru ya ukweli ikaingia kwa akili nyingi za giza, hata Jua la Haki

likaangaza katika moyo nyali zake za kupenya. Kila mara msikilizaji alihitaji sehemu ya

Maandiko ipate kukaririwa, kana kwamba apate kuhakikisha kwamba alisikia vizuri.

Wengi waliona ni bure namna gani uombezi wa watu kwa ajili ya wenye zambi hauna

faida. Wakapiga kelele kwa furaha, “Kristo ni kuhani wangu; damu yake ni kafara yangu;

mazabahu yake ni mahali pangu pa kuungamia”. Ilikuwa mufuriko mkubwa wa nuru uliyo

kuwa juu yao, hata walionekana kwao kwamba walichukuliwa mbinguni. Hofu yote ya kifo

ikafutika. Sasa waliweza kutamani gereza kama wangeweza kwa hiyo kutukuza Mkombozi

wao.

Katika mahali pa siri Neno la Mungu lililetwa na kusomwa, mara zingine kwa roho moja,

wakati mwingine kwa kundi ndogo la watu lililotamani sana nuru. Mara nyingi usiku mzima

ulitumiwa kwa namna hii. Mara kwa mara maneno kama haya yakasemwa: “Je, Mungu

atakubali sadaka yangu? Atanifurahia? Atanisamehe”? Jibu lilikuwa, soma, “Kujeni kwangu,

ninyi wote munaosumbuka na wenye mizigo mizito, nami nitawapumzisha ninyi”. Matayo

11:28.

Roho zile zenye furaha zikarudia nyumbani mwao kutawanya nuru, kukariri kwa wengine,

kwa namna walivyoweza, maarifa mapya yao. Walipata ukweli na njia ya uhai! Maandiko

yalisemwa kwa mioyo ya wale wanaotamani ukweli.

Mjumbe wa ukweli alikwenda kwa njia yake. Kwa namna ninyi wasikilizaji wake

hawakuuliza alitoka wapi ao alikwenda wapi. Walikuwa wamekwisha kupatwa na ushindi

kwa hiyo hawakuwa na wazo kwa kumuuliza. Aliweza kuwa malaika kutoka mbinguni!

Walitaka maelezo zaidi juu ya jambo hilo.

Katika mambo mengi mjumbe wa ukweli alifanya njia yake kwa inchi nyingine ao alikuwa

akipunguza maisha yake katika gereza ao labda mifupa yake iligeuka nyeupe mahali

aliposhuhudia ukweli. Lakini maneno aliyoacha nyuma yalikuwa yakitenda kazi yao.

Waongozi wa Papa waliona hatari kutoka kwa kazi za hawa watu wanyenyekevu wa

kuzunguka zunguka. Nuru ya ukweli ingefutia mbali mawingu mazito ya kosa lililofunika

watu; ingeongoza akili kwa Mungu peke yake na mwisho kuharibu mamlaka ya Roma.

Watu hawa, katika kushika imani ya kanisa la zamani, ilikuwa ni ushuhuda imara kwa

uasi wa Roma na kwa hivyo ikaamsha chuki na mateso. Kukataa kwao kwa kuacha Maandiko

ilikuwa ni kosa ambalo Roma haikuweza kuvumilia. Roma Inakusudia Kuangamiza

Wavaudois (Waldenses)

Sasa mapigano makali kuliko yote juu ya watu wa Mungu yakaanza katika makao yao

milimani. Wapelelezi (quisiteurs) waliwekwa kwa nyayo yao. Tena na tena mashamba yao

yaliyokuwa na baraka yakaharibiwa, makao yao na makanisa madogo yao yakaondolewa.

Hakuna mashitaka iliyoweza kuletwa juu ya tabia njema ya namna hii ya watu waliokatazwa.

27

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!