12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

kazi ya dunia , kwa kawaida kama mfanya biashara ao ya mchuuzi. “Walichukua mavazi ya

hariri, vitu vilivyofanyizwa kwa zahabu, na vitu vingine, ... na walikaribishwa vizuri kama

wafanya biashara mahali wangezarauliwa kama wajumbe (missionnaires)” Walichukua kwa

siri nakala za Biblia, nzima ao kipande. Mara kwa mara shauku ya kusoma Neno la Mungu

ilipoamushwa, sehemu fulani za Biblia ziliachwa kwa wale waliozihitaji.

Kwa miguu wazi na mavazi machafu na safari ya udongo mzito, wajumbe hawa walipita

katika miji mikubwa na kuingia kwa inchi za mbali. Makanisa yakasimamishwa kwa haraka

njiani walimopita, na damu ya wafia dini ikashuhudia ukweli. Kwa uficho na ukimya, Neno

la Mungu likitukana na kupokelewa kwa furaha ndani ya nyumba na mioyoni mwa watu.

Wavaudois waliamini kwamba mwisho wa vitu vyote haukuwa mbali sana. Walipokuwa

wakijifunza Biblia walikuwa wanatia moyo kwa kazi yao ya kujulusha wengine juu ya ukweli

Walipata faraja, tumaini, na amani kwa kumwamini Yesu. Namna nuru ilifurahisha mioyo

yao, walitamani sana kutawanya nyali zake kwa wale waliokuwa katika giza la makosa la

kipapa.

Chini ya uongozi wa Papa na mapadri, wengi walifundishwa kutumainia kazi ao matendo

yao mazuri kwa kuokolewa. Walikuwa wakijiangalia wao wenyewe, akili zao zilikuwa

zikiishi katika hali yao ya zambi, kutesa moyo na mwili, lakini bila kurijika. Maelfu

walipoteza maisha yao katika viumba vya watawa (moines). Kwa mafungo ya mara kwa mara

na kutesa mwili, kukesha usiku wa manane, kwa kusujudia mahali pa baridi, mawe ya maji

maji, kwa safari ndefu--za kwenda kuzuru Pahali patakatifu--kwa kuogopa ya hasira ya kisasi

cha Mungu--wengi waliendelea kuteseka hata kuchoka kukadumisha. Bila nyali moja ya

tumaini wakazama ndani ya kaburi.

Wenye Zambi Walimushota Kristo

Wavaudois walitamani sana kufungulia mioyo hizi zilizoumia na njaa ya habari za amani

katika ahadi za Mungu na kuwaonyesha kwa Kristo kama tumaini lao la pekee la wokovu.

Mafundisho kwamba matendo mema yanaweza kuwa pahali pa zambi yaliyotambuliwa kwa

kuwa msingi wake niwa uongo. Tabia nzuri za Mwokozi aliyesulibiwa na kufufuka zinakuwa,

ndiyo msingi wa imani ya kikristo. Hali ya matumaini ya moyo kwa Kristo inapaswa kuwa

karibu sana kama vile kiungo kwa mwili ao cha tawi kwa mzabibu.

Mafundisho ya wapapa na wapadri yaliongoza watu kutazama Mungu na hata Kristo kama

wakali na wa kugombeza, kwa hiyo bila huruma kwa mtu kwamba uombezi wa wapadri na

watakatifu ulipaswa kuombwa. Wale ambao akili zao zimeangaziwa walitamani sana

kuondoa vizuizi ambavyo Shetani amevijaza, ili watu waweze kuja mara moja kwa Mungu,

kuungama zambi zao, na kupokea msamaha na amani.

Kushambulia Ufalme wa Shetani

26

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!