Kupinga ya Kiprotestanti

newcovenantpublicationsintl
from newcovenantpublicationsintl More from this publisher
12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti (Waldenses) waliokana mamlaka ya Roma, wakakataa ibada ya sanamu kama kuabudu miungu, na wakashika Sabato ya kweli. (Tazama Nyongezo). Nyuma ya ngome za juu sana za milima Wavaudois wakapata mahali pa kujificha. Hawa wakimbizi waaminifu wakaonyesha watoto wao urefu wa munara juu yao katika ukuu na wakasema juu ya yule ambaye Neno lake linakuwa la kudumu kama milima ya milele. Mungu aliimarisha milima; si mkono lakini ule unaokuwa na uwezo usio na mwisho ungaliweza kuihamisha. Kwa namna ile ile akaimarisha sheria yake. Mkono wa mtu haungeweza kuongoa milima na kuitupa kwa nguvu baharini, kama vile hauwezi kubadili sheria moja ya Mungu. Wasafiri hawa hawakunungunika kwa sababu ya taabu ya mateso yao; hawakuwa peke yao katika ukiwa wa milima. Walijifurahisha katika uhuru wao kwa ibada. Kutoka ngome ya juu waliimba sifa za Mungu, na majeshi ya Roma hawakuweza kunyamazisha nyimbo zao za shukrani. Damani (Bei) ya Mafundisho ya Ukweli Mafundisho ya ukweli yalikuwa na bei kuliko nyumba na inchi, rafiki, jamaa, hata maisha yenyewe. Kutokea mwanzo wa utoto, vijana walifundishwa kuheshimu maagizo matakatifu ya sheria ya Mungu. Kurasa za Biblia zilikuwa chache; kwa hiyo maneno yake ya damani yaliwekwa kwa uwezo wa kukumbuka. Wengi waliweza kukariri sehemu nyingi za Agano la Kale na Agano Jipya. Walifundishwa toka utoto kuvumilia ugumu na kufikiri na kutenda kwa ajili ya wao wenyewe. Walifundishwa kuchukua madaraka, kujilinda kwa usemi, na kufahamu hekima ya utulivu. Neno moja la ujinga linaposikiwa kwa maadui wao lingeweza kuleta hasara ya maisha ya mamia ya wandugu, kwani kama vile mbwa mwitu katika kuwinda mawindo, maadui wa kweli wanawinda wale waliosubutu kutangaza uhuru wa imani ya dini. Wavaudois kwa uvumilivu walitaabika kwa ajili ya chakula chao. Kila mahali padogo pa udongo wa kulimiwa katikati ya milima palitumiwa vizuri. Kiasi katika utumizi wa feza na kujikana yakafanya sehemu ya elimu yao ambayo watoto walijifunza. Kazi ilikuwa ya taabu lakini yakufaa kwa afya, basi ndicho mtu anachohitaji katika hali yake ya kuanguka. Vijana walifundishwa kwamba nguvu zao zote ni za Mungu, zipate kusitawishwa kwa ajili ya kazi yake. Makanisa ya Wavaudois yalifanana na kanisa la nyakati za mitume. Kukataa mamlaka ya Papa na askofu, walishika Biblia kuwa na mamlaka yasiyoweza kukosa. Wachungaji wao, hawakufanana na mapadri wa kiburi wa Roma, wakalisha kundi la Mungu, kuwaongoza katika malisho ya majani mabichi na chemchemi ya Neno takatifu lake. Watu walikusanyika si ndani ya makanisa ya maridadi ao makanisa makuu ya majimbo, bali katika mabonde ya Milima mirefu, ao, katika wakati wa hatari, ndani ya ngome ya miamba, kwa kusikiliza maneno ya ukweli kutoka kwa watumishi wa Kristo. Wachungaji hawakuhubiri injili tu, walizuru wagonjwa na wakatumika kwa kuamusha umoja na upendo wa ndugu. Kama Paulo 24

Kupinga ya Kiprotestanti fundi wa kufanya hema, kila mmoja wao alijifunza kazi fulani ambayo kwayo, kama ni lazima, kingemusaidia kwa kujitegemea mwenyewe. Vijana walipata mafundisho yao kwa wachungaji wao. Biblia ilifanywa kuwa masomo ya mhimu. Injili za Matayo na Yoane ziliwekwa katika ukumbusho, pamoja na barua nyingine. Mara zingine katika mapango ya giza udongoni, kwa nuru ya mienge (torches), Maandiko matakatifu yaliandikwa, mstari kwa mstari. Malaika kutoka mbinguni wakazunguuka watumishi hawa waaminifu. Shetani alilazimisha mapadri wa Papa na maaskofu kuzika Neno la Ukweli chini ya machafu ya makosa na ibada ya uchawi. Lakini kwa namna ya ajabu likalindwa bila kuchafuliwa wakati wa miaka yote ya giza. Kama safina juu ya mawimbi mazito, Neno la Mungu linashinda zoruba zinazolitisha kuliharibu. Kama vile dini yamefikia bamba la jiwe lenye zahabu na feza iliyofichwa chini upande wa juu, ni vivyo hivyo Maandiko matakatifu yanakuwa na hazina ya ukweli iliyofunuliwa tu kwa wanyenyekevu, wanaopenda kuomba Mungu alichagua Biblia kuwa kitabu cha mafundisho ya wanadamu wote kuwa ufunuo wake mwenyewe. Kila ukweli uliotambuliwa ni uvumbuzi mupya wa tabia ya Mwandishi wake. Kutoka kwa vyuo vyao katika milima vijana wengine walitumwa kujifunza katika Ufaransa ao Italia, ambapo palikuwa na nafasi kubwa zaidi kwa mafundisho na uchunguzi kuliko katika inchi yao ya milima mirefu. Vijana waliotumwa walijihatarisha kwa majaribu. Walipambana na wajumbe wa Shetani waliowalazimisha mambo ya kipinga ukweli wa dini na madanganyo ya hatari. Lakini elimu yao tokea utoto ikawatayarisha kwa jambo hili. Katika vyuo po pote walipokwenda hawakuweka tumaini lao kwa kitu cho chote. Mavazi yao yalitayarishwa kama kuficha hazina zao kubwa-Maandiko. Mara kwa mara walivyoweza waliweka kwa uangalifu sehemu za maandiko njiani mwa wale ambao mioyo yao ilionekana kufunguliwa kwa kupokea ukweli. Waiiotubu na kukubali imani ya kweli walipatikana katika vyuo hii vya elimu, mara kwa mara mafundisho ya imani ya kweli ikaenea kwa chuo chote kizima. Huku waongozi wa Papa hawakuweza kupata mwanzo wa kile walichoitwa “Upinzani wa mafundisho ya dini”. Vijana Walifundishwa Kuwa Wajumbe (wa injili) Wakristo Wavaudois walijisikia kuwa na madaraka makuu ya kutoa nuru yao iangaze. Kwa uwezo wa Neno la Mungu walitafuta kuvunja utumwa ambao Roma ililazimisha. Wahudumu wa Wavaudois walipaswa kutumika kwa miaka tatu katika shamba la misioni kabla ya kuongoza kanisa nyumbani--chanzo cha kufaa kwa maisha ya mchungaji katika nyakati ambazo roho za watu zinajaribiwa. Vijana waliona mbele yao, si utajiri wa kidunia na sifa, bali taabu na hatari na labda mateso ya wafia dini. Wajumbe walitembea wawili wawili, kama vile Yesu alivyowatuma wanafunzi wake. Kama wangejulisha ujumbe wao wangeuletea kushindwa. Kila mhuburi alikuwa na ujuzi wa kazi fulani ao ufundi, na wajumbe waliendesha kazi yao chini ya kifuniko cha mwito wa 25

Kupinga ya Kiprotestanti

(Waldenses) waliokana mamlaka ya Roma, wakakataa ibada ya sanamu kama kuabudu

miungu, na wakashika Sabato ya kweli. (Tazama Nyongezo).

Nyuma ya ngome za juu sana za milima Wavaudois wakapata mahali pa kujificha. Hawa

wakimbizi waaminifu wakaonyesha watoto wao urefu wa munara juu yao katika ukuu na

wakasema juu ya yule ambaye Neno lake linakuwa la kudumu kama milima ya milele. Mungu

aliimarisha milima; si mkono lakini ule unaokuwa na uwezo usio na mwisho ungaliweza

kuihamisha. Kwa namna ile ile akaimarisha sheria yake. Mkono wa mtu haungeweza kuongoa

milima na kuitupa kwa nguvu baharini, kama vile hauwezi kubadili sheria moja ya Mungu.

Wasafiri hawa hawakunungunika kwa sababu ya taabu ya mateso yao; hawakuwa peke yao

katika ukiwa wa milima. Walijifurahisha katika uhuru wao kwa ibada. Kutoka ngome ya juu

waliimba sifa za Mungu, na majeshi ya Roma hawakuweza kunyamazisha nyimbo zao za

shukrani.

Damani (Bei) ya Mafundisho ya Ukweli

Mafundisho ya ukweli yalikuwa na bei kuliko nyumba na inchi, rafiki, jamaa, hata maisha

yenyewe. Kutokea mwanzo wa utoto, vijana walifundishwa kuheshimu maagizo matakatifu

ya sheria ya Mungu. Kurasa za Biblia zilikuwa chache; kwa hiyo maneno yake ya damani

yaliwekwa kwa uwezo wa kukumbuka. Wengi waliweza kukariri sehemu nyingi za Agano la

Kale na Agano Jipya.

Walifundishwa toka utoto kuvumilia ugumu na kufikiri na kutenda kwa ajili ya wao

wenyewe. Walifundishwa kuchukua madaraka, kujilinda kwa usemi, na kufahamu hekima ya

utulivu. Neno moja la ujinga linaposikiwa kwa maadui wao lingeweza kuleta hasara ya

maisha ya mamia ya wandugu, kwani kama vile mbwa mwitu katika kuwinda mawindo,

maadui wa kweli wanawinda wale waliosubutu kutangaza uhuru wa imani ya dini.

Wavaudois kwa uvumilivu walitaabika kwa ajili ya chakula chao. Kila mahali padogo pa

udongo wa kulimiwa katikati ya milima palitumiwa vizuri. Kiasi katika utumizi wa feza na

kujikana yakafanya sehemu ya elimu yao ambayo watoto walijifunza. Kazi ilikuwa ya taabu

lakini yakufaa kwa afya, basi ndicho mtu anachohitaji katika hali yake ya kuanguka. Vijana

walifundishwa kwamba nguvu zao zote ni za Mungu, zipate kusitawishwa kwa ajili ya kazi

yake.

Makanisa ya Wavaudois yalifanana na kanisa la nyakati za mitume. Kukataa mamlaka ya

Papa na askofu, walishika Biblia kuwa na mamlaka yasiyoweza kukosa. Wachungaji wao,

hawakufanana na mapadri wa kiburi wa Roma, wakalisha kundi la Mungu, kuwaongoza

katika malisho ya majani mabichi na chemchemi ya Neno takatifu lake. Watu walikusanyika

si ndani ya makanisa ya maridadi ao makanisa makuu ya majimbo, bali katika mabonde ya

Milima mirefu, ao, katika wakati wa hatari, ndani ya ngome ya miamba, kwa kusikiliza

maneno ya ukweli kutoka kwa watumishi wa Kristo. Wachungaji hawakuhubiri injili tu,

walizuru wagonjwa na wakatumika kwa kuamusha umoja na upendo wa ndugu. Kama Paulo

24

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!