You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Kupinga ya Kiprotestanti

Sasa roho ya kweli ya kanisa la Roma ikafunuliwa. Akasema mwongozi wa Roma: “Kama

hamutapokea wandugu wanaowaletea amani, mutapokea maadui watakaowaletea vita”. Vita

na udanganyifu vikatumiwa juu ya washahidi hawa kwa ajili ya imani ya Biblia, hata wakati

makanisa ya Waingereza ya kaharibiwa au kulazimishwa kutii Papa.

Katika inchi iliyokuwa mbali na mamlaka ya Roma, kwa karne nyingi miili ya Wakristo

iliishi na usalama kidogo bila uovu wa kipapa. Waliendelea kutumia Biblia kuwa kiongozi

pekee cha imani. Wakristo hawa waliamini umilele wa sheria ya Mungu na walishika Sabato

ya amri ya ine. Makanisa walioshika imani hii na kuitumia waliishi katika Afrika ya Kati na

miongoni mwa Waarmenia wa Asia.

Kwa wale waliosimama imara mamlaka ya Papa, Wavaudois (Waldenses) walisimama wa

kwanza. Katika inchi kanisa za Kiroma ziliimarisha kiti chake, makanisa ya Piedmont

yakadumisha uhuru wao. Lakini wakati ukakuja ambapo Roma ilishurutisha juu ya utii wao.

Lakini wengine, walikataa kujitoa kwa Papa ao maaskofu, wakakusudia kulinda usafi na

unyenyekevu wa imani yao. Utengano ukatokea. Wale walioambatana na imani ya zamani

sasa wakajitenga. Wengine, kwa kuacha inchi yao ya Alpes za milima mirefu (Alps),

wakainua mwenge ya ukweli katika inchi za kigeni. Wengine wakakimbilia katika ngome za

miamba ya milima na huko wakalinda uhuru wao wa kuabudu Mungu.

Imani yao ya dini iliimarishwa juu ya Neno la Mungu lenye kuandikwa. Wakulima hao

wanyenyekevu, waliofungiwa inje ya ulimwengu, hawakufikia wao wenyewe kwa ukweli

katika upinzani wa mafundisho ya kanisa la uasi. Imani ya dini yao ilikuwa uriti wao kutoka

kwa mababa zao. Walitoshelewa kwa ajili ya imani ya kanisa la mitume. “Kanisa jangwani”,

sio serekali ya kanisa la kiburi iliyotawazwa katika mji mkubwa wa ulimwengu, lililokuwa

kanisa la kweli la Kristo, mlinzi wa hazina za ukweli ambazo Mungu alizoweka kwa watu

wake kwa kutolewa kwa ulimwengu.

Miongoni mwa sababu muhimu zilizoongoza kwa utengano wa kanisa la kweli kutoka

kwa kanisa la KiRoma ilikuwa ni uchuki wa kanisa hili juu ya Sabato ya Biblia. Kama

ilivyotabiriwa na unabii, mamlaka ya kanisa la KiRoma likagandamiza sheria ya Mungu

katika mavumbi. Makanisa chini ya kanisa la Roma yakalazimishwa kuheshimu siku ya

kwanza (Dimanche). Kwa kosa la kupita kawaida wengi miongoni mwa watu wa kweli wa

Mungu wakafazaika sana hata ingawa walishika Sabato, wakaacha kutumika pia siku ya

kwanza ya juma (Dimanche). Lakini jambo hilo halikuwafurahisha waongozi wa Papa.

Walilazimishwa kwamba Sabato ichafuliwe, na wakashitaki wale waliosubutu kuonyesha

heshima yake.

Mamia ya miaka kabla ya Matengenezo (Reformation) Wavaudois (Waldenses) walikuwa

na Biblia katika lugha yao yenyewe. Jambo hili likawatelea kuteswa kulikowengine.

Wakatangaza Roma kuwa Babeli mkufuru wa Ufunuo. Katika hatari ya maisha yao

wakasimama imara kushindana na maovu yake. Katika miaka ya uasi kulikuwa Wavaudois

23