12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 4. Wanakinga Imani

Katika mda mrefu wa mamlaka ya Papa, kulikuwa washahidi wa Mungu waliolinda

imani katika Kristo kama mpatanishi wa pekee kati ya Mungu na mtu. Walishika Biblia kama

kiongozi pekee kwa maisha, na kuheshimu Sabato ya kweli. Wakahesabiwa kama wapinga

dini, maandiko yao yakakomeshwa, kuelezwa vibaya, ao kuondolewa. Lakini wakasimama

imara.

Wanakuwa na nafasi ndogo katika maandiko ya wanadamu, ila tu katika mashitaki ya

watesi wao. Kila kitu “cha kupinga dini”, ikiwa ni watu ao maandiko, Roma alitafuta

kuharibu. Roma ilijitahidi vile vile kuharibu kila kumbukumbu la maovu wake mbele ya

wasiokubali mafundisho yake. Kabla ya uvumbuzi wa ufundi wa kupiga chapa, vitabu

vilikuwa vichache kwa hesabu; kwa hiyo juu ya uchache wa vitabu hii haikuzuia Waroma

kutimiza kusudi lao. Kanisa la Roma lilipopata uwezo likanyoosha mikono yake kwa

kuangamiza wote wale waliokataa kukubali utawala wake.

Katika Uingereza dini ya Kikristo zamani za kale ilikuwa imekwisha kupata mizizi,

haikuharibiwa na ukufuru wa Waroma. Mateso ya wafalme wa kipagani yalikuwa tu zawadi

ambayo makanisa ya kwanza ya Uingereza yalipata kwa Roma. Wakristo wengi waliokimbia

mateso katika Uingereza wakipata kimbilio katika Scotland. Kwa hiyo ukweli ukachukuliwa

katika nchi ya Irlande, na katika inchi hizi ukweli ulikubaliwa kwa furaha.

Wakati Wasaxons waliposhambulia Uingereza, upagani ukapata mamlaka, na Wakristo

walilazimishwa kukimbilia milimani. Katika Scotland, karne moja baadaye, nuru ikaangazia

inchi za mbali sana. Kutoka Irlande Columba akakuja na waidizi wake, waliofanya kisiwa cha

pekee cha Iona kuwa makao ya kazi zao za kueneza injili. Miongoni mwa wainjilisti hawa

kulikuwa mchunguzi wa Sabato ya Biblia, na kwa hivyo ukweli huu ukaingizwa miongoni

mwa watu. Masomo yakaanzishwa pale Iona, ambamo wajumbe (missionnaires) walitoka na

kwenda Scotland, Uingereza, Ujeremani, Uswisi, na hata Italia.

Roma Inakutana na Dini ya Biblia

Lakini Roma ilikusudia kuweka Uingereza chini ya mamlaka yake. Katika karne ya sita

wajumbe (missionnaires) wake wakajaribu kutubisha Wasaxons wapagani. Jinsi kazi

ilivyoendelea, waongozi wa kiPapa wakakutana na Wakristo wa zamani za kale -wapole,

wanyenyekevu, wenye kupatana na maneno ya Maandiko katika tabia, mafundisho, na wa

mwenendo mwema. Wale wakiroma walionyesha imani ya mambo ya uchawi, ukuu, na kiburi

cha kipapa. Roma alilazimisha kwamba makanisa haya ya Kikristo yapate kukubali mamlaka

ya askofu mkuu. Waingereza wakajibu kwamba Papa hakutajwa kuwa mkuu katika kanisa na

wangeweza kumtolea tu utii ule unaofaa kwa kila mfuasi wa Kristo. Hawakujua bwana

mwingine isipokuwa Kristo.

22

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!