12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Malaika wa Mungu alisimama, alipoandika kwa uaminifu ukumbusho wa maagizo yao maovu

ya kutisha na kuandika historia ya matendo yao mabaya sana kuonekana machoni pa watu.

“Babeli Mkuu” “analewa kwa damu ya watakatifu”. Tazama Ufunuo 17:5,6. Miili iliyoteseka

ya mamilioni ya wafia dini (martyrs) ikalalamika mbele ya Mungu kwa ajili ya kisasi juu ya

ule uwezo wa mkufuru.

Papa akawa mtawala mkali peke yake wa dunia yote. Wafalme na wafalme wakubwa

(empereurs) walitii maagizo ya askofu wa Roma. Kwa muda wa mamia ya miaka mafundisho

ya Roma yakakubaliwa na wengi. Waongozi wake wakaheshimiwa na kusaidiwa sana.

Kamwe tangu wakati ule, kanisa la Roma lilikuwa halijafikia kadiri ya cheo kikubwa, cha

fahari, ao uwezo wa namna ile. Lakini “azuhuri ya cheo cha Papa ilikuwa usiku wa manane

wa wanadamu”.

Maandiko matakatifu yalikuwa karibu bila kujulikana. Waongozi wa kanisa la Roma

walichukia nuru iliyofunua zambi zao. Sheria ya Mungu, kipimo cha haki, ilipoondolewa,

wakatumia uwezo bila kizuio. Majumba makubwa ya Papa na maaskofu yalikuwa monyesho

ya upotovu wa machukizo. Maaskofu wengine walikuwa na makosa ya maovu sana hata

wakajaribu kuwaondosha kama wanyama wa kutisha wasioweza kuvumiliwa. Kwa muda wa

karne nyingi Ulaya haikufanya maendeleo kamwe katika maarifa ya kweli, mambo ya ufundi

na maendeleo ya jamii. Ukristo ukapatwa na kupooza kwa tabia na maarifa... Ndiyo yalikuwa

matokeo ya kufukuza Neno la Mungu!

21

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!