12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

“Na kila kiumbe kilicho mbinguni na juu ya dunia na chini ya dunia na vile ndani ya

bahari, na vyote vilivyo ndani yake, nilivisikia, vikisema: Baraka na heshima na utukufu na

uwezo kwa yeye anayeketi juu ya kiti cha enzi, na kwa Mwana-Kondoo hata milele na

milele”. Ufunuo 5:13.

Vita kuu imekoma. Zambi na wenye zambi hawako tena. Ulimwengu wote mzima ni safi.

Kwa Yeye aliyeumba vyote, kunajaa uzima na nuru na furaha po pote katika ufalme za anga

pasipo mpaka. Kutoka kwa chembe ndogo hata kwa ulimwengu mkubwa sana, vitu vyote,

vyenye uhai na vitu visivyokuwa na uhai, katika uzuri wao pasipo kivuli na furaha kamili,

vitatangaza ya kwamba Mungu ni upendo.

278

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!