You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Kupinga ya Kiprotestanti

Huko ni Yerusalema Mpya, muji mkubwa wa inchi mpya yenye utukufu. “Mwangaza

wake ulikuwa mfano wa jiwe la bei kubwa, kama jiwe la yaspi, safi kama bilauri”. “Na

mataifa ya waliookolewa watatembea katika nuru yake. Na wafalme wa dunia wataleta

utukufu na heshima yao ndani yake”. “Tazama hema ya Mungu ni pamoja na watu, naye

atakaa pamoja nao, nao watakuwa watu wake, na Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao,

na atakuwa Mungu wao”. Ufunuo 21:11,24,3.

Ndani ya Muji wa Mungu “wala hautakuwa usiku tena”. Ufunuo 22:5. Hautakuwa

kuchoka tena. Tutaona ubaridi daima wa asubui bila mwisho wake. Nuru ya jua itatanguliwa

na mwangaza wa ajabu ambao si wa kuumiza, lakini ambao unapita mbali sana mwangaza

wa wakati wa saa sita yetu. Waliookolewa watatembea katika utukufu wa siku zote.

“Nami sikuona hekalu ndani yake, kwa maana Bwana Mungu Mwenyezi na Mwana-

Kondoo ndio hekalu lake”. Ufunuo 21:22. Watu wa Mungu wanakuwa na ruhusa ya

kuendelea kuwa na umoja wazi na Baba na Mwana. Sasa tunaangalia mufano wa Mungu

kama katika kioo, lakini ndipo tutamwona uso kwa uso, pasipo pazia ya giza katikati.

Ushindi wa Upendo wa Mungu

Huko upendo na huruma ambavyo Mungu mwenyewe alivyopanda katika roho yatapata

mazoezi ya kweli na mazuri kabisa. Umoja ulio safi pamoja na viumbe vitakatifu na

waaminifu wa vizazi vyote, vifungo takatifu vinavyofunga pamoja “jamaa lote mbinguni na

duniani”--hivi vinasaidia kuanzisha furaha ya waliokombolewa. Waefeso 3:15.

Huko, akili ya kuishi milele zitatazama sana na furaha ya milele maajabu ya uwezo wa

uumbaji, siri za upendo wa ukombozi. Kila akili itakuzwa, kila uwezo wa kufahamu

utaongezwa. Upataji wa maarifa hautaondoa utendaji. Mambo makubwa sana yataendeshwa

mbele, tamaa za juu sana zitafikiwa, tamaa za nguvu zitatimilika. Na tena hapo kutatokea

vimo vipya vya kushinda, maajabu mapya ya kushangaa, kweli mpya ya kufahamu, makusudi

mapya ya kuita nguvu za akili na roho na mwili.

Mali yote ya ulimwengu itafunguliwa kwa waliokombolewa wa Mungu.

Wanapofunguliwa kwa mauti, wataruka bila kuchoka kwa dunia za mbali. Watoto wa dunia

wataingia katika furaha na hekima ya viumbe vile havikuanguka na kugawanya hazina za

maarifa yaliyopatikana kupitia vizazi kwa vizazi. Pamoja na ndoto isiyo na giza watatazama

kwa utukufu wa uumbaji--jua na nyota na mambo yote, yote katika utaratibu wao ulioagizwa

kuzunguka kiti cha enzi cha Mungu.

Na miaka ya milele, kama inavyopita upesi, italeta daima na zaidi mambo ya funuo tukufu

ya Mungu na ya Kristo. Watu watakavyojifunza zaidi habari ya Mungu, ndivyo zaidi

watakayoshangaa juu ya tabia yake. Kwa namna Yesu atakavyofunua mbele yao utajiri wa

ukombozi na kazi bora za kushangaza katika mashindano makubwa na Shetani, mioyo ya

waliokombolewa wanafurahi sana na kufanya ibada, na sauti elfu kumi mara elfu kumi

zinaungana kuongeza nguvu la itikio la wimbo wa sifa.

277