12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Ulimwengu mzima wenye uovu unasimama kwakushitaki kwa ajili ya maasi makubwa

juu ya kupinga serkali ya mbinguni. Hawana yeyote kwa kutetea maneno yao; hawana sababu

yo yote; na hukumu ya mauti ya milele inatangazwa juu yao.

Waovu wanaona kile walichopotewa kwa sababu ya uasi wao. “Yote hii”, nafsi iliyopotea

inalia, “ningaliweza kuwa nayo, Ee, upumbafu wa namna gani! nimebadili amani, furaha, na

heshima kwa ajili ya ubaya, sifa mbaya, na kukata tamaa”. Wote wanaona ya kwamba

kufukuzwa kwao mbinguni ni kwa haki. Katika maisha yao wametangaza: “Hatuwezi kuwa

na mtu huyu (Yesu) kutawala juu yetu”.

Shetani Ameshindwa

Kama vile katika bumbuanzi waovu wanatazama ibada ya kuvikwa kwa taji kwa Mwana

wa Mungu. Wanaona mikononi mwake mbao za sheria ya Mungu walizozizarau.

Wanashuhudia nguvu ya ibada kutoka kwa waliookolewa; na kama wimbi la sauti za nyimbo

zinapoenea kwa makutano inje ya mji, wote wanapaaza sauti, “Haki na kweli ndizo njia zako,

wewe Mfalme wa watakatifu”. Ufunuo 15:3. Kwa kuanguka na kumusujudu, wakamuabudu

mfalme wa uzima.

Shetani anaonekana kama anahangaika. Mara kerubi wa kufunika, anakumbuka mahali

gani ameanguka. Kutoka kwa baraza pahali alipoheshimiwa zamani ameondolewa milele.

Anaona sasa mwingine anayesimama karibu ya Baba, malaika wa umbo lenye utukufu.

Anajua ya kwamba cheo cha malaika huyu kingeweza kuwa chake.

Ufahamu unakumbuka makao ya hali yake ya usafi, amani na kutoshelewa ilivyokuwa

yake mpaka wakati wa uasi wake. Anakumbuka kazi yake miongoni mwa watu na matokeo

yake--uadui wa mtu kwa watu wenzake, maangamizi ya kutisha ya maisha, kupinduka kwa

viti vya enzi, makelele, vita, na mapinduzi. Anakumbuka bidii zake za daima kwa kupinga

kazi ya Kristo. Anapoangalia matunda ya kazi yake anaona tu kushindwa. Mara kwa mara

katika maedeleo ya vita kuu amekuwa akishindwa na kulazimishwa kuacha.

Kusudi la muasi mkuu lilikuwa daima kuhakikisha kuwa serkali ya Mungu ndiyo

msimamizi wa uasi. Ameongoza makundi mengi kukubali maelezo yake. Kwa maelfu ya

miaka mkuu huyu wa mapatano ya kufanya mabaya ameficha uwongo kuwa haki. Lakini

wakati umefika sasa wakati historia na tabia ya Shetani zitakapofunuliwa. Katika juhudi yake

ya mwisho kwa kuondoa Kristo kwa kiti cha enzi, kuharibu watu Wake, na kukamata makao

ya Mji wa Mungu, mshawishi mkubwa amekwisha kufunuliwa kabisa. Wale waliojiunga naye

wanaona kushindwa kabisa kwa kazi yake.

Shetani anaona ya kwamba uasi wake wa mapenzi haukumstahilisha kuingia mbinguni.

Amezoeza nguvu zake kwa vita kumpinga Mungu; usafi na umoja wa mbinguni ungekuwa

kwake mateso makubwa. Anainama chini na kukubali haki ya hukumu yake.

274

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!