12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

ambayo waliimarisha kwa anasa katika zambi, wajumbe wa Mungu waliozarauliwa, maonyo

yaliyokataliwa, mawimbi ya rehema yaliyorudishwa kwa ukaidi, moyo usiotubu--yote

inaonekana kama yameandikwa kwa maandiko ya moto.

Juu ya kiti cha enzi kunafunuliwa msalaba. Kwa maoni kamili kukatokea mambo ya

kuanguka kwa Adamu na hatua za kufuatana katika shauri la wokovu. Kuzaliwa kwa

unyenyekevu kwa Mwokozi; maisha yake ya kawaida; ubatizo wake katika Yorodani;

kufunga na majaribu katika jangwa; huduma yake kufunua kwa watu mibaraka ya mbinguni;

siku zilizojaa na matendo ya rehema, usiku wa kukesha katika maombi kule milimani;

mashauri ya hila ya tamaa na uovu ambayo yalilipa faida zake; maumivu makali ya siri katika

Getesemane chini ya uzito wa zambi za ulimwengu; usaliti wake kwa kundi la wauaji,

matukio ya usiku ule wa kitisho kikuu-mfungwa asiyeshindana aliyeachwa na wanafunzi

wake, aliyeshitakiwa katika jumba la kuhani mkuu, katika chumba kikubwa cha hukumu cha

Pilato, mbele ya Herode mwenye hofu, aliyechekelewa, kutukanwa, kuteswa, na kuhukumiwa

kufa--yote yanaelezwa kwa wazi.

Na sasa mbele ya makutano yaliyowayawaya maoni ya mwisho yanafunuliwa; Mteswaji

mvumulivu akakanyanga njia ya Kalvari; Mfalme wa mbinguni kutundikwa msalabani;

makuhani na walimu wakachekelea maumivu makali ya kukata roho yake; giza kubwa sana

kuonyesha wakati wakati Mkombozi wa ulimwengu alipotoa maisha yake.

Ajabu ya kutisha inaonekana kama tu ilivyokuwa. Shetani na watu wake hawana uwezo

wa kugeuza na kutoka kwa picha. Yeyote aliyehusika kwa kufanya tendo anakumbuka

sehemu aliyoifanya. Herode, aliyewaua watoto wasiokuwa na kosa wa Betelehemu; chanzo

Herodias, ambaye juu ya nafsi yake kunadumu damu ya Yoane Mtabizaji; mzaifu, Pilato

mwenye kulinda wakati; askari wenye kuchekelea; msongano wa watu wenye wazimu

waliopaaza sauti, “damu yake na iwe juu yetu, na juu ya watoto wetu”! --kutafuta namna yote

bila kuweza kujificha kutoka kwa utukufu wa uso wake Mungu, wakati waliokombolewa

wanapotupa taji zao kwa miguu ya Mwokozi, kuapaaza sauti, “Alikufa kwa ajili yangu”!

Hapo kuna Neno, mkatili mkali na muovu, kutazama utukufu wa wale aliowatesa na kwa

maumuvu yao akapata furaha ya kishetani. Mama yake anashuhudia kazi yake mwenyewe,

namna gani tamaa alizoendelesha na mvuto wake na mfano zimezaa matunda katika mauaji

yaliyoletea dunia kutetemeka.

Hapo kunakuwa mapadri wa Papa na maaskofu waliojidai kuwa mabalozi wa Kristo, huku

walipokuwa wakitumia mbao zenye vyango vya kutundikia watu, gereza, na kigingi kwa

kutawala watu Wake. Hapo panakuwa maaskofu wenye kiburi waliojiinua wenyewe juu ya

Mungu na wakasubutu kugeuza sheria ya Mungu Aliye juu. Wale waliojidai kuwa wababa

wanakuwa na hesabu ya kutoa kwa Mungu. Kwa mda kitambo unapopita wamefanywa kuona

ya kwamba Mwenye Kujua yote anakuwa na wivu wa sheria yake. Wanajifunza sasa ya

kwamba Kristo anatambua faida zake pamoja na watu wake wanaoteseka.

273

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!