12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Shetani anashauriana pamoja na watu kuwa wakubwa. Wanatangaza ya kwamba jeshi

ndani ya mji ni ndogo kwa kulinganisha na la kwao na linaweza kushindwa. Wafundi wa ujuzi

wanafanya vyombo vya vita. Waongozi wa askari wanapanga watu wa vita katika makundi

na sehemu.

Mwishoni agizo la kuendelea mbele linatolewa, na jeshi lisilohesabika likaendelea, jeshi

ambalo nguvu zenye kuunganika za vizazi vyote hazikuweza kamwe kuwa sawa. Shetani

anakuwa mbele, wafalme na waaskari nao wanafuata. Kwa utaratibu wa kiaskari makundi

katika mistari yakaendelea mbele ya uso wa dunia iliyovunjika hata kwa Mji wa Mungu. Kwa

agizo la Yesu, milango ya Yerusalema Mpya ikafungwa, na majeshi ya Shetani

yanajitayarisha kwa kushambulia.

Sasa Kristo anatokea kutazama adui zake. Mbali juu ya mji, juu ya msingi wa zahabu

yenye kungaa, ni kiti cha enzi. Juu ya kiti hiki cha enzi Mwana wa Mungu anakaa, na pembeni

yake ni raia ya ufalme wake. Utukufu wa Baba wa Milele unamuzunguka Mwana wake.

Kungaa kwa kuwako kwake kunatoka juu ya milango, kujaza dunia na mwangaza.

Karibu sana na kiti cha enzi kunakuwa wale waliokuwa zamani na bidii katika kazi ya

Shetani, lakini walipo ondoshwa kama vinga kutoka motoni, wakafuata Mwokozi wao kwa

bidii sana. Wanaofuata ni wale waliokamilisha tabia katikati ya uwongo na uasi,

walioheshimu sheria ya Mungu wakati walimwengu walipoitangaza kuwa iliondolewa, na

mamilioni, wa vizazi vyote, waliouawa kama wafia dini kwa ajili ya imani yao. Mbali zaidi

kunakuwa “makutano makubwa sana yasiyoweza mtu kuyahesabu, watu wa kila taifa, na

kabila, na jamaa, na lugha, ... wamevikwa mavazi myeupe, na matawi ya mitende katika

mikono yao”. Ufunuo 7:9 . Vita yao imemalizika, ushindi wao umepatikana. Tawi la ngazi

linafananisha shangwe, nguo yeupe ni alama ya haki ya Kristo ambayo saa imekuwa yao.

Katika msongano wote ule pale hakuna watu wa kuhesabia wokovu kwao wenyewe kwa

wema wao wenyewe. Hakuna kitu kinachosemwa cha kile walichoteseka nacho; sauti ya

msingi ya kila wimbo wa sifa ni, Wokovu kwa Mungu wetu na kwa Mwana-Kondoo.

Hukumu Inatangazwa Juu ya Waasi

Mbele ya wakaaji waliokusanyika wa dunia na wa mbinguni kwa mkutano na kuviikwa

taji kwa Mwana wa Mungu. Na sasa, kuvikwa mamlaka makubwa na uwezo, Mfalme wa

wafalme anatangaza hukumu juu ya waasi waliovunja sheria yake na kutesa watu wake.

“Nikaona kiti cha enzi, kikubwa, cheupe, naye anayeketi juu yake, dunia na mbingu

zikakimbia uso wake; na pahali pao hapakuonekana. Nikaona wafu, wakubwa na wadogo,

wamesimama mbele ya Mungu, na vitabu vikafunuliwa; na kitabu kingine kikafunguliwa,

kilicho cha uzima; na wafu wakahukumiwa katika mambo haya yaliyoandikwa katika vile

vitabu, sawasawa na matendo yao”. Ufunuo 20:11, 12.

Wakati jicho la Yesu linapoangalia juu ya waovu, wanakuwa na ufahamu wa kila zambi

waliyoitenda. Wanaona pahali miguu yao ilipoacha njia ya utakatifu. Majaribu ya kuvuta

272

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!