12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Ni ajabu ya namna gani tofauti kati ya askofu mwenye kiburi na upole na utulivu wa Kristo

anayejionyesha mwenyewe kama mwenye kuomba ruhusa kwa mlango wa moyo.

Alifundisha wanafunzi wake: “Naye anayetaka kuwa wa kwanza katikati yenu atakuwa

mtumwa wenu” Matayo 20:27.

Namna Mafundisho ya Uongo Yaliingia

Hata mbele ya kuanzishwa kwa cheo cha Papa mafundisho ya watu wapagani wenye

maarifa wakapata usikizi na kutumia muvuto wao katika kanisa. Wengi waliendelea

kujifungia kwa mafundisho ya maarifa zote ya kipagani na wakalazimisha wengine kujifunza

elimu ile kama njia ya kueneza mvuto wao katikati ya wapagani. Ndipo makosa makubwa

yakaingizwa katika imani ya Kikristo.

Mojawapo miongoni mwa makosa haya makubwa ya wazi ni imani ya kutokufa kwa roho

ya mtu na ufahamu wa nafsi katika mauti. Mafundisho haya yaliweka msingi ambao Roma

ikaanzisha sala kwa watakatifu na ibada ya Bikira Maria. Kutokana na hiyo, uzushi juu ya

mateso ya milele kwa ajili ya mtu asiyetubu, ambayo yaliingizwa mwanzoni katika imani ya

Papa.

Ndipo njia ikatengenezwa kwa kuingiza uvumbuzi mwingine wa kipagani, ambao Roma

iliita “toharani”, na iliotumiwa kwa kuogopesha makundi ya wajinga na ya kuamini mambo

ya uchawi. Usishi huu uliamini kuwako kwa pahali pa mateso ambapo roho zisizostahili

hukumu ya milele, zinapaswa kuteseka juu ya malipizi ya zambi zao, na kutoka pale, zikiisha

takaswa, zinakubaliwa mbinguni (Tazama Nyongezo).

Uvumbuzi mwingine ukahitajiwa, kuwezesha Roma kupata faida kwa njia ya woga na

makosa ya wafuasi wake. Huu ulitolewa na mafundishojuu ya ununuzi wa huruma

(indulgences). Ondoleo nzima la zambi za sasa, zilizopita na za wakati ujao liliahidiwa kwa

wale waliojitoa kwa vita vilivyofanywa na Papa kwa ajili ya kupanua mamlaka yake, kwa

kulipiza adui zake ao kuangamiza wale waliosubutu kukataa mamlaka yake ya kiroho. Kwa

njia ya kulipa mali katika kanisa wanaweza kujiokoa katika zambi zao, na pia kuokoa roho za

rafiki zao zinazoteseka katika miako ya moto. Kwa njia hiyo Roma ikajaza masanduku

makubwa yake na kusaidia fahari yake, anasa na uovu wa kujidai kuwa wajumbe wa Yule

asiyekuwa na pahali pa kuweka kichwa chake (Tazama Nyongezo).

Meza ya Bwana likapigwa na kafara ya ibada ya sanamu ya misa. Mapadri wa Papa

wakajidai kufanya mkate na divai vya Meza ya Bwana kuwa mwili wa kweli na damu ya

kweli ya Bwana Yesu Kristo”. Kwa majivuno ya kutukana Mungu, kwa wazi wakadai uwezo

wa kuumba Mungu, Muumba wa vitu vyote. Wakristo wakalazimishwa maumivu ya kifo,

kuungama imani yao katika uzushi wa machukizo ya kutukana mbingu.

Katika karne ya kumi na tatu kile chombo kikali sana kati ya vyombo vya Papa

kikaanzishwa-Baraza kuu la kuhukumia wazushi wa dini (Inquisition). Katika mabaraza yao

ya siri Shetani na malaika zake walitawala roho za watu waovu. Bila kuonekana katikati

20

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!