12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 42. Vita Imemalizika

Kwa mwisho wa miaka 1000, Kristo anarudi duniani akisindikizwa na waliokombolewa

na jamii ya malaika. Anaagiza wafu waovu watoke kupokea maangamizi yao. Wanatoka,

wengi sana kama mchanga wa bahari, wanapokuwa na alama za ugonjwa na mauti. Tofauti

namna gani kwa wale waliofufuka katika ufufuko wa kwanza!

Macho yote inageuka kutazama utukufu wa Mwana wa Mungu. Kwa sauti moja majeshi

ya waovu wanapaza sauti: “Amebarikiwa anayekuja kwa jina la Bwana”! Matayo 23:39. Si

mapendo yanayoongoza maneno haya. Nguvu ya kweli inalazimisha maneno kutoka kwa

midomo isiyotaka. Kama vile waovu walivyokwenda katika makaburi, ndivyo hivyo

wanafufuka pamoja na uadui wa namna moja kwa Kristo na roho ya namna ileile ya uasi.

Hawatapewa wakati wa rehema mpya kwa kuponyesha maisha yao ya wakati uliopita.

Nabii anasema: “Na miguu yake itasimama siku ile juu ya mlima wa Mzeituni, ... na

Mlima wa Mzeituni utapasuka katikati yake”. Zakaria 14:4. Wakati Yerusalema mpya

unaposhuka toka mbinguni, utapumzika kwa pahali palipotayarishwa, na Kristo, pamoja na

watu wake na malaika, wanaingia kwa mji mtakatifu.

Wakati alipokatwa kazi yake ya kudanganya, mtawala wa uovu alikuwa maskini na

mwenye huzuni, lakini kwa namna wafu waovu wanapofufuka na anapoona makutano

makubwa kwa upande wake, matumaini yake yanarudi. Anakusudia si kutokuacha vita

kubwa. Atapanga wapotevu chini ya bendera yake. Kwa kukana Kristo wamekubali amri ya

mwongozi mwasi, tayari kufanya mapenzi yake. Lakini, kweli kwa werevu wake wa kwanza,

hakubali yeye mwenyewe kuwa Shetani. Anadai kuwa mwenyewe wadunia wa haki ambaye

alinyanganywa uriti bila sheria.

Anajionyesha mwenyewe kama mkombozi, kuhakikisha watu wake waliodanganyiwa ya

kwamba uwezo wake umewaleta kutoka kwa makaburi yao. Shetani anawafanya wazaifu

kuwa wenye nguvu, na kuwasukuma wote kwa nguvu zake mwenyewe kuwaongoza

kukamata makao ya mji wa Mungu. Akatazama kwa mamilioni yasiyohesabika ya

waliofufuliwa kutoka kwa wafu, na akatangaza ya kwamba kama muongozi wao anaweza

kupata tena kiti chake chaenzi na ufalme.

Katika makutano makubwa haya kunakuwa na taifa lenye maisha marefu lile lililoishi

mbele ya garika, watu wa kimo kirefu sana na wa akili nyingi; watu ambao kazi zao za ajabu

zikaongoza ulimwengu kuabudu akili zao, lakini mambo ya uvumbuzi wa ukali na uovu wao

ikafanya Mungu kuwaharibu kutoka kwa viumbe vyake. Pale kunakuwa wafalme na

wajemadari wasioshindwa kamwe kwa vita. Katika mauti hawa hawakupata badiliko.

Wanapotoka kwa kaburi, wanaendeshwa kwa tamaa ya namna ileile ya kushinda wale

waliowatawala wakati walishindwa.

Shambulio la Mwisho la Kumpinga Mungu

271

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!