12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

enzi, nao wakakaa juu yao vilevile, nao wakapewa hukumu... Watakuwa makuhani wa Mungu

na wa Kristo, nao watatawala pamoja naye miaka elfu”. Ufunuo 20:4-6.

Kwa wakati huu “watakatifu watahukumu dunia”. 1 Wakorinto 6:2. Kwa umoja na Kristo

wanahukumu waovu, kukata kila jambo kufuatana na matendo yaliyotendwa katika mwili.

Ndipo sehemu ambayo waovu wanapaswa kuteswa nayo imetolewa, kufuatana na matendo

yao, na imeandikwa juu ya majina yao katika kitabu cha mauti.

Shetani na malaika waovu wamehukumiwa na Kristo na watu wake. Paulo anasema:

“Hamujui ya kwamba tutawahukumu malaika”? 1 Wakorinto 6:3. Yuda anatangaza: “Hata

malaika wasiolinda enzi yao giza kwa hukumu ya siku ile kubwa”. Yuda 6.

Kwa mwisho wa miaka 1000, ufufuo wa pili utafanyika. Halafu waovu watafufuliwa

kutoka katika wafu na kuonekana mbele ya Mungu kwa ajili ya utimilizo wa “hukumu

iliyoandikwa”. Zaburi 149:9. Ndivyo Mfunuaji anasema: “Na wafu waliobaki hawakuwa hai

hata itimie ile miaka elfu”. Ufunuo 20:5. Na Isaya anatangaza juu ya wenye zambi: “Nao

watakusanywa pamoja, kama vile kukusanya kwa wafungwa katika shimo, na watafungwa

katika kifungo, na nyuma ya siku nyingi wataangaliwa”. Isaya 24:22.

270

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!