12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

zamani, anayeitwa Diabolo na Shetani, akamufunga miaka elfu, na akamutupa katika shimo

lisilo na mwisho, na kumufunga, na kutia muhuri juu yake, asipate kudanganya mataifa tena,

hata ile miaka elfu itimie; na nyuma ya hayo inapashwa afunguliwe wakati kidogo”. Ufunuo

20:1-3.

“Shimo lisilo na mwisho” ni mfano wa dunia katika machafuko na giza. Kutazamia siku

kubwa ya Mungu, Yeremia anatangaza; “Niliangalia inchi, na tazama, ilikuwa ukiwa, haina

watu; niliangalia mbingu, nazo hazikuwa na nuru. Niliangalia milima, na tazama,

zilitetemeka, na vilima vyote vilitikisika polepole. Nikaangalia, na tazama, hakuna mtu hata

mmoja, na ndege zote za mbingu wamekimbia. Nikaangalia, na tazama, shamba lililozaa sana

limekuwa jangwa, na miji yake yote ilikuwa imebomoka”. Yeremia 4:23-26.

Hapa ndipo makao ya Shetani pamoja na malaika wake waovu kwa miaka 1000.

Amefungiwa kwa dunia hii, hatakuwa na ruhusa ya kuingia kwa dunia zingine kwakujaribu

na kusumbua wale ambao hawajaanguka kamwe. Kwa nia hii “amefungwa”. Hakuna

anayebakia ambaye anaweza kutumia uwezo wake juu yake. Amekata kwa kazi ya

mudanganyifu na uharibifu ambayo ilikuwa anasa yake ya pekee.

Isaya alipokuwa akitazamia maangamizi ya Shetani, anapaza sauti: “Umeanguka toka

mbinguni, namna gani, Ee, Lusifero, mwana wa asubui! Umekatwa hata kufika udongo,

Wewe uliyeangusha mataifa! Nawe ulisema moyoni mwako: Nitapanda mbinguni,

nitanyanyua kiti changu cha enzi juu kuliko nyota za Mungu: ... Nitafanana na Mkuu Sana.

Kwani hivi utashushwa mpaka Hadeze, Kwa pande za mwisho za shimo. Wao wanaokuona

watakutazama kwa kubanua sana; watakufikiria, wakisema: Huyu ndiye mtu aliyetetemesha

dunia, aliyetikisa wafalme; aliyefanya dunia kama jangwa, na aliyeharibu miji yake; yule

asiyefungua nyumba ya wafungwa wake? Isaya 14:12-17.

Kwa mda wa miaka 6000, nyumba ya gereza ya Shetani imepokea watu wa Mungu, lakini

Kristo amevunja vifungo vyake na kufungua wafungwa. Peke yake pamoja na malaika wake

waovu anafahamu moyoni tokeo la zambi: “Wafalme wote wa mataifa, wao wote wanalala

katika utukufu, Kila mmoja ndani ya nyumba yake mwenyewe (kaburi);

Lakini wewe umetupwa inje kutoka kaburi lako, Kama tawi linalochukiza... Hutaungwa

pamoja nao katika maziko: Kwa sababu umeiharibu inchi yako, na kuua watu wako.” Isaya

14:18-20. Kwa mda wa miaka 1000, Shetani ataona matokeo ya uasi wake juu ya sheria ya

Mungu. Maumivu yake ni mingi sana. Sasa ameachwa kwa kufikiri sana sehemu aliyofanya

tangu alipoasi na kutazamia mbele kwa hofu kubwa kwa wakati ujao wa kutisha wakati

atakapopashwa kuazibiwa.

Kwa mda wa miaka 1000 katikati ya ufufuo wa kwanza na wa pili, hukumu ya waovu

itafanyika. Paulo anaonyesha kwa hii kama tukio linalofuata kurudi kwa Yesu. 1 Wakorinto

4:5. Wenye haki wanatawala kama wafalme na makuhani. Yoane anasema: “Nikaona viti vya

269

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!