Kupinga ya Kiprotestanti
Kupinga ya Kiprotestanti Sasa malaika wa mauti anaenda mbele, anaonyeshwa katika ndoto ya Ezekieli kwa watu wanaokuwa na silaha za kuchinja, kwao agizo limetolewa: “Ueni kabisa mzee na kijana, na wote wawili wasichana, na watoto wadogo, na wanawake, lakini musikaribie mtu aliye na alama ile juu yake; na anzieni kwa pahali pangu patakatifu”, ‘’halafu wakaanza kwa wazee walio mbele ya nyumba, “wale waliojidai kuwa walinzi wa kiroho wa watu. Ezekieli 9:6. Walinzi wa uwongo wanakuwa wa kwanza kuanguka. “Kwa maana tazama, Bwana anakuja kutoka pahali pake kuazibu wenye kukaa duniani kwa sababu ya uovu wao; na dunia itafunua damu yake, na haitafunika tena watu wake waliouawa”. “Na itakuwa siku ile makelele makubwa toka kwa Bwana yatakuwa katikati yao; nao watakamata kila mtu mkono wa jirani yake, na mkono wake utanyanyuliwa juu ya mkono wa jirani yake” Isaya 26:21; Zekarai 14:13. Katika vita yenye wazimu ya tamaa kali zao wenyewe na kwa kumiminika kwa gazabu ya Mungu isiyo changanywa, wakuhani waovu wanaanguka, watawala, na watu. “Na waliouawa wa Bwana siku ile watakuwa toka mwisho wa dunia hata mwisho wa dunia”. Yeremia 25:33. Kwa kuja kwa Kristo waovu wataangamizwa kwa mwangaza wa utukufu wake. Kristo atachukua watu wake kwa mji wa Mungu, na dunia itafanyiwa utupu kwa wakaaji wake. “Tazama Bwana anafanya dunia kuwa utupu, na anaiharibu, na anaipindua, na kuwasambaza popote wakaaji wake... Inchi itafanywa kuwa utupu kabisa, na kuharibiwa kabisa; kwa maana Bwana amesema neno hili... kwa sababu wamevunja sheria, wamegeuza amri, wamevunja agano la milele. Kwa sababu hii laana imekula dunia, na watu wanaokaa ndani yake wanaonekana kuwa na laumu: kwa hivi wakaaji wa dunia wamechomwa”. Isaya 24:1,3,5,6. Dunia inaonekana kama jangwa lenye ukiwa. Miji imeharibiwa na tetemeko, miti kungolewa, miamba iliyopasuka duniani imetawanyika juu ya uso wa dunia. Mapango makubwa yanaonyesha alama mahali milima ilipasuka kutoka kwa misingi yao. Uhamisho wa Shetani Sasa matukio yamefanyika yaliyoonyesha mbele heshima ya kazi ya mwisho kwa Siku ya upatanisho. Wakati zambi za Israeli zilipoondolewa kutoka Pahali patakatifu kwa uwezo wa damu ya sadaka ya zambi, mbuzi wa Azazeli alionyeshwa hai mbele ya Bwana. Kuhani mkuu akaungama juu yake “maovu yote ya wana wa Israeli,... kuyaweka juu ya kichwa cha mbuzi”. Walawi 16:21. Vilevile, wakati kazi ya upatanisho katika Pahali patakatifu pa mbinguni itakapotimia, ndipo, mbele ya Mungu na malaika wa mbinguni na jeshi la waliookolewa, zambi za watu wa Mungu zitawekwa juu ya Shetani; atatangazwa kuwa na kosa ya uovu wote aliolazimisha wao kuufanya. Kama vile mbuzi wa Azazeli aliochukuliwa katika inchi isiyokaliwa na watu, vivyo hivyo Shetani atahamishwa kwa dunia yenye ukiwa. Baada ya kuonyesha mambo ya ajabu ya kuja kwa Bwana, mfunuaji anaendelea: “kisha nikaona malaika akishuka toka mbingu, mwenye ufunguo wa shimo lisilo na mwisho, na munyororo mkubwa katika mkono wake. Akamshika yule joka mkubwa, yule nyoka ya 268
Kupinga ya Kiprotestanti zamani, anayeitwa Diabolo na Shetani, akamufunga miaka elfu, na akamutupa katika shimo lisilo na mwisho, na kumufunga, na kutia muhuri juu yake, asipate kudanganya mataifa tena, hata ile miaka elfu itimie; na nyuma ya hayo inapashwa afunguliwe wakati kidogo”. Ufunuo 20:1-3. “Shimo lisilo na mwisho” ni mfano wa dunia katika machafuko na giza. Kutazamia siku kubwa ya Mungu, Yeremia anatangaza; “Niliangalia inchi, na tazama, ilikuwa ukiwa, haina watu; niliangalia mbingu, nazo hazikuwa na nuru. Niliangalia milima, na tazama, zilitetemeka, na vilima vyote vilitikisika polepole. Nikaangalia, na tazama, hakuna mtu hata mmoja, na ndege zote za mbingu wamekimbia. Nikaangalia, na tazama, shamba lililozaa sana limekuwa jangwa, na miji yake yote ilikuwa imebomoka”. Yeremia 4:23-26. Hapa ndipo makao ya Shetani pamoja na malaika wake waovu kwa miaka 1000. Amefungiwa kwa dunia hii, hatakuwa na ruhusa ya kuingia kwa dunia zingine kwakujaribu na kusumbua wale ambao hawajaanguka kamwe. Kwa nia hii “amefungwa”. Hakuna anayebakia ambaye anaweza kutumia uwezo wake juu yake. Amekata kwa kazi ya mudanganyifu na uharibifu ambayo ilikuwa anasa yake ya pekee. Isaya alipokuwa akitazamia maangamizi ya Shetani, anapaza sauti: “Umeanguka toka mbinguni, namna gani, Ee, Lusifero, mwana wa asubui! Umekatwa hata kufika udongo, Wewe uliyeangusha mataifa! Nawe ulisema moyoni mwako: Nitapanda mbinguni, nitanyanyua kiti changu cha enzi juu kuliko nyota za Mungu: ... Nitafanana na Mkuu Sana. Kwani hivi utashushwa mpaka Hadeze, Kwa pande za mwisho za shimo. Wao wanaokuona watakutazama kwa kubanua sana; watakufikiria, wakisema: Huyu ndiye mtu aliyetetemesha dunia, aliyetikisa wafalme; aliyefanya dunia kama jangwa, na aliyeharibu miji yake; yule asiyefungua nyumba ya wafungwa wake? Isaya 14:12-17. Kwa mda wa miaka 6000, nyumba ya gereza ya Shetani imepokea watu wa Mungu, lakini Kristo amevunja vifungo vyake na kufungua wafungwa. Peke yake pamoja na malaika wake waovu anafahamu moyoni tokeo la zambi: “Wafalme wote wa mataifa, wao wote wanalala katika utukufu, Kila mmoja ndani ya nyumba yake mwenyewe (kaburi); Lakini wewe umetupwa inje kutoka kaburi lako, Kama tawi linalochukiza... Hutaungwa pamoja nao katika maziko: Kwa sababu umeiharibu inchi yako, na kuua watu wako.” Isaya 14:18-20. Kwa mda wa miaka 1000, Shetani ataona matokeo ya uasi wake juu ya sheria ya Mungu. Maumivu yake ni mingi sana. Sasa ameachwa kwa kufikiri sana sehemu aliyofanya tangu alipoasi na kutazamia mbele kwa hofu kubwa kwa wakati ujao wa kutisha wakati atakapopashwa kuazibiwa. Kwa mda wa miaka 1000 katikati ya ufufuo wa kwanza na wa pili, hukumu ya waovu itafanyika. Paulo anaonyesha kwa hii kama tukio linalofuata kurudi kwa Yesu. 1 Wakorinto 4:5. Wenye haki wanatawala kama wafalme na makuhani. Yoane anasema: “Nikaona viti vya 269
- Page 225 and 226: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 33. K
- Page 227 and 228: Kupinga ya Kiprotestanti yameenea p
- Page 229 and 230: Kupinga ya Kiprotestanti Je, wale a
- Page 231 and 232: Kupinga ya Kiprotestanti 4:1618. Ka
- Page 233 and 234: Kupinga ya Kiprotestanti juu ya dun
- Page 235 and 236: Kupinga ya Kiprotestanti anawashiki
- Page 237 and 238: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 35. U
- Page 239 and 240: Kupinga ya Kiprotestanti Wanaweka m
- Page 241 and 242: Kupinga ya Kiprotestanti la Wakrist
- Page 243 and 244: Kupinga ya Kiprotestanti nabii, “
- Page 245 and 246: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 36. M
- Page 247 and 248: Kupinga ya Kiprotestanti kuchangany
- Page 249 and 250: Kupinga ya Kiprotestanti “Joka ak
- Page 251 and 252: Kutukuza Mamlaka Ya Kibinadamu Kupi
- Page 253 and 254: Kupinga ya Kiprotestanti kweli atas
- Page 255 and 256: Kupinga ya Kiprotestanti Hakuna mmo
- Page 257 and 258: Kupinga ya Kiprotestanti Hakuna mtu
- Page 259 and 260: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 39. W
- Page 261 and 262: Kupinga ya Kiprotestanti Kwa namna
- Page 263 and 264: Kupinga ya Kiprotestanti Mwenyewe.
- Page 265 and 266: Kupinga ya Kiprotestanti wanamlio w
- Page 267 and 268: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 40. U
- Page 269 and 270: Kupinga ya Kiprotestanti mwenye uha
- Page 271 and 272: Kupinga ya Kiprotestanti yote, na s
- Page 273 and 274: Kupinga ya Kiprotestanti walioheshi
- Page 275: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 41. D
- Page 279 and 280: Kupinga ya Kiprotestanti Sura 42. V
- Page 281 and 282: Kupinga ya Kiprotestanti ambayo wal
- Page 283 and 284: Kupinga ya Kiprotestanti Kila swali
- Page 285 and 286: Kupinga ya Kiprotestanti Huko ni Ye
- Page 288: Kungojea Mwisho
Kupinga ya Kiprotestanti

Sasa malaika wa mauti anaenda mbele, anaonyeshwa katika ndoto ya Ezekieli kwa watu

wanaokuwa na silaha za kuchinja, kwao agizo limetolewa: “Ueni kabisa mzee na kijana, na

wote wawili wasichana, na watoto wadogo, na wanawake, lakini musikaribie mtu aliye na

alama ile juu yake; na anzieni kwa pahali pangu patakatifu”, ‘’halafu wakaanza kwa wazee

walio mbele ya nyumba, “wale waliojidai kuwa walinzi wa kiroho wa watu. Ezekieli 9:6.

Walinzi wa uwongo wanakuwa wa kwanza kuanguka. “Kwa maana tazama, Bwana

anakuja kutoka pahali pake kuazibu wenye kukaa duniani kwa sababu ya uovu wao; na dunia

itafunua damu yake, na haitafunika tena watu wake waliouawa”. “Na itakuwa siku ile

makelele makubwa toka kwa Bwana yatakuwa katikati yao; nao watakamata kila mtu mkono

wa jirani yake, na mkono wake utanyanyuliwa juu ya mkono wa jirani yake” Isaya 26:21;

Zekarai 14:13.

Katika vita yenye wazimu ya tamaa kali zao wenyewe na kwa kumiminika kwa gazabu ya

Mungu isiyo changanywa, wakuhani waovu wanaanguka, watawala, na watu. “Na waliouawa

wa Bwana siku ile watakuwa toka mwisho wa dunia hata mwisho wa dunia”. Yeremia 25:33.

Kwa kuja kwa Kristo waovu wataangamizwa kwa mwangaza wa utukufu wake. Kristo

atachukua watu wake kwa mji wa Mungu, na dunia itafanyiwa utupu kwa wakaaji wake.

“Tazama Bwana anafanya dunia kuwa utupu, na anaiharibu, na anaipindua, na kuwasambaza

popote wakaaji wake... Inchi itafanywa kuwa utupu kabisa, na kuharibiwa kabisa; kwa maana

Bwana amesema neno hili... kwa sababu wamevunja sheria, wamegeuza amri, wamevunja

agano la milele. Kwa sababu hii laana imekula dunia, na watu wanaokaa ndani yake

wanaonekana kuwa na laumu: kwa hivi wakaaji wa dunia wamechomwa”. Isaya 24:1,3,5,6.

Dunia inaonekana kama jangwa lenye ukiwa. Miji imeharibiwa na tetemeko, miti

kungolewa, miamba iliyopasuka duniani imetawanyika juu ya uso wa dunia. Mapango

makubwa yanaonyesha alama mahali milima ilipasuka kutoka kwa misingi yao.

Uhamisho wa Shetani

Sasa matukio yamefanyika yaliyoonyesha mbele heshima ya kazi ya mwisho kwa Siku ya

upatanisho. Wakati zambi za Israeli zilipoondolewa kutoka Pahali patakatifu kwa uwezo wa

damu ya sadaka ya zambi, mbuzi wa Azazeli alionyeshwa hai mbele ya Bwana. Kuhani mkuu

akaungama juu yake “maovu yote ya wana wa Israeli,... kuyaweka juu ya kichwa cha mbuzi”.

Walawi 16:21. Vilevile, wakati kazi ya upatanisho katika Pahali patakatifu pa mbinguni

itakapotimia, ndipo, mbele ya Mungu na malaika wa mbinguni na jeshi la waliookolewa,

zambi za watu wa Mungu zitawekwa juu ya Shetani; atatangazwa kuwa na kosa ya uovu wote

aliolazimisha wao kuufanya. Kama vile mbuzi wa Azazeli aliochukuliwa katika inchi

isiyokaliwa na watu, vivyo hivyo Shetani atahamishwa kwa dunia yenye ukiwa.

Baada ya kuonyesha mambo ya ajabu ya kuja kwa Bwana, mfunuaji anaendelea: “kisha

nikaona malaika akishuka toka mbingu, mwenye ufunguo wa shimo lisilo na mwisho, na

munyororo mkubwa katika mkono wake. Akamshika yule joka mkubwa, yule nyoka ya

268