12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

walioheshimiwa sana wa dunia waliyovaa, kuvikwa na mataji ya utukufu zaidi kuliko yale

yaliyovikwa kwa paji la uso ya wafalme wa dunia. Mfalme wa utukufu amepanguza machozi

kwa nyuso zote. Wanatoa wimbo wa sifa, wazi, tamu, na wakupatana. Wimbo wa furaha

ukaenea katika miruko ya mbinguni: “Wokovu kwa Mungu wetu anayeketi juu ya kiti cha

enzi, na kwa Mwana-Kondoo”. Na wote wakaitika, “Amina: Baraka na utukufu, na hekima,

na shukrani, na heshima, na uwezo, na nguvu kwa Mungu wetu hata milele na milele”. Ufunuo

7:10,12.

Katika maisha haya tunaweza tu kuanza kufahamu asili ya ajabu ya wokovu. Kwa

ufahamu wetu wenye mpaka tungeweza kufikiri zaidi kwa kweli haya na utukufu, uzima

(maisha) na mauti, haki na rehema, yanayokutana katika msalaba; lakini kwa mvuto zaidi wa

nguvu za akili yetu tunashindwa kuelewa maana yake kamili. Urefu na upana, urefu wa

kwenda chini na urefu wa kwenda juu, wa upendo wa ukombozi unafahamika kidogo tu.

Shauri la wokovu halitafahamika kamili, hata wakati waliokombolewa wanapoona kama

wanavyoonwa na kujua kama wanavyojulikana; lakini katika vizazi vya milele kweli mpya

itaendelea kufunuliwa akili ya ajabu na furaha. Ijapo masikitiko na maumivu na majaribu ya

dunia yanapomalizika na sababu imeondolewa, watu wa Mungu watakuwa na maarifa ya

kupambanua, na akili ya kufahamu bei ya wokovu wao. Msalaba utakuwa ni wimbo wa

waliookolewa milele.

Katika Kristo aliyetukuzwa wanamtazama Kristo aliyesulibiwa. Haitasahauliwa kamwe

ya kwamba Mwenye Enzi wa mbinguni alijinyenyekeza mwenyewe kwa kuinua mtu

aliyeanguka, ili achukue kosa na haya ya zambi na kuficha uso wa Baba yake hata misiba ya

ulimwengu uliopotea unapovunja moyo wake na kuangamiza maisha yake. Muumba wa dunia

yote akaweka pembeni utukufu wake sababu ya upendo kwa mtu--hii itaamsha milele

mshangao wa viumbe vyote. Wakati mataifa ya waliookolewa wanapomtazama Mkombozi

wao na kujua ya kwamba ufalme wake ni wa kutokuwa na mwisho, wanaendelea katika

wimbo: “Anastahili Mwana-Kondoo aliyechinjwa, na aliyetukomboa kwa Mungu kwa damu

yake mwenyewe ya damani!”

Siri ya msalaba inaeleza siri zote. Itaonekana ya kwamba yeye anayekuwa pasipo mwisho

kwa hekima hangefanya shauri lingine kwa ajili ya wokovu wetu isipokuwa kafara ya Mwana

wake. Malipo kwa ajili ya kafara hii ni furaha ya kujaza dunia na viumbe vilivyokombolewa,

vitakatifu, vya furaha, na vya milele. Hii ni damani ya nafsi ambayo Baba anatoshelewa kwa

bei iliyolipwa. Na Kristo mwenyewe, kwa kutazama matunda ya kafara yake kubwa,

anatoshelewa.

265

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!