12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Mwokozi akamwongoza kwa mti wa uzima na akamwalika kula. Akatazama mkutano wa

jamaa yake waliokombolewa. Ndipo akatupa taji lake kwa miguu ya Yesu na kumkumbatia

Mkombozi. Akagusa kinubi, na sehemu ya juu pa mbingu ikarudisha mwitiko wa sauti za

wimbo wa ushindi: “Anastahili Mwana kondoo” aliyechinjwa”. Ufunuo 5:12. Jamaa ya

Adamu inatupa taji zao kwa miguu ya Mwokozi wanapoinama wakiabudu. Malaika walilia

kwa kuanguka kwa Adamu na wakafurahi wakati Yesu alipofungua kaburi kwa wote

walioamini kwa jina lake. Sasa wanatazama kazi ya ukombozi kutimizwa na kuunga sauti zao

kwa kusifu.

Kwa “bahari ya kioo iliyochanganyika na moto” wamekutanika kundi la watu ambao

“waliomshinda yule mnyama na sanamu na alama yake, na hesabu ya jina lake”. Wale elfu

mia moja na makumi ine na ine waliokombolewa katika watu, na wanaimba “wimbo mpya”

wimbo wa Musa na wimbo wa Mwana-Kondoo. Ufunuo 15:2,3. Hakuna mtu bali wale elfu

mia moja na makumi ine na ine watakaoweza kujifunza wimbo ule, kwa maana ni wimbo wa

mambo ya maisha ambayo hakuna jamii ingine walikuwa nayo”. Hawa ndio wanaofuata

Mwana-Kondoo kila pahali anapokwenda. “Hawa waliochukuliwa kutoka katikati ya wahai,

ni “malimbuko ya kwanza kwa Mungu na kwa Mwana-Kondoo”. Ufunuo 14:4,5.

Walipitia katika wakati wa mateso makubwa ambayo hayajakuwako tangu taifa

lilikuwako; walivumilia maumivu makuu ya wakati wa taabu ya Yakobo; walisimama pasipo

mwombezi katika kumiminwa kwa mwisho kwa hukumu za Mungu. “Wamefua mavazi yao

na kuyafanya meupe katika damu ya Mwana-Kondoo”. “Na katika vinywa vyao

haukuonekana uwongo; maana wao ni pasipo kilema” mbele ya Mungu. “Hawataona njaa

tena, wala hawataona kiu tena, wala jua halitawapiga, wala joto lo lote. Kwani Mwana-

Kondoo, aliye katikati ya kiti cha enzi atawachunga, naye atawaongoza hata chemchemi za

maji yenye uhai, na Mungu atapangusa machozi yote katika macho yao”. Ufunuo 7:14; 14:5;

7:16,17.

Waliokombolewa katika Utukufu

Katika vizazi vyote wateule wa Mwokozi wametembea katika njia nyembamba.

Wametakaswa katika tanuru ya mateso. Kwa ajili ya Yesu wakavumilia uchuki, masingizio,

kujinyima, na hasara za uchungu. Walijifunza ubaya wa zambi, uwezo wake, kosa yake,

msiba wake; wanaitazama na machukio makuu. Maana ya kafara isiyokuwa na mwisho

iliyofanywa kwa ajili ya dawa yake inawanyenyekeza na kujaza mioyo yao na shukrani.

Wanapenda sana kwa sababu walisamehewa sana. Tazama Luka 7:47. Washiriki wa mateso

ya Kristo, wanastahili kuwa washiriki wa utukufu wake.

Wariti wa Mungu wanatoka kwa vyjumba vya orofani, vibanda vibovu, gereza, mahali

wauaji wanaponyongwa kwa sheria, milimani, jangwani, mapangoni. Walikuwa “maskini,

wakiteswa, kusumbuliwa”. Mamilioni walienda kwa kaburi wakilemezwa na sifa mbaya kwa

sababu walikataa kujitoa kwa Shetani. Lakini sasa hawateseki tena, hawatawanyike tena, na

hawaonewe. Toka sasa wanasimama wanapovaa mavazi ya utajiri kuliko nguo watu

264

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!