12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

yote, na sura yake zaidi ya watoto wa watu”. Isaya 52:14. Juu ya vichwa vya washindaji Yesu

anaweka taji ya utukufu. Kwani kila mmoja kule kunataji ambalo lina “jina jipya” lake

mwenyewe (Ufunuo 2:17) na mwandiko “Utakatifu kwa Bwana”. Katika kila mkono

kumewekwa tawi la ngazi la ushindi na kinubi chenye kungaa. Ndipo, wakati malaika wenye

kuamrisha wanapopiga sauti, kila mkono unapiga juu ya nyuzi na mguso wa ufundi mzuri

sana, mkazo wa masauti. Kila sauti inainuliwa kwa sifa za shukrani: “Kwa yeye aliyetupenda

na kutuosha zambi zetu kwa damu yake, na kutufanya kuwa wafalme wa makuhani kwa

Mungu na Baba yake; kwa yeye ni utukufu na uwezo hata milele na milele”. Ufunuo 1:5,6.

Mbele ya makutano ya waliokombolewa ni Mji Mtakatifu. Yesu anafungua milango, na

mataifa yaliyolinda ukweli wanaingia ndani. Ndipo sauti yake imesikiwa, “Kujeni, ninyi

muliobarikiwa na Baba yangu, mriti ufalme muliotengenezewa tangu kuumbwa kwa

ulimwengu”. Matayo 25:34. Kristo anaonyesha kwa Baba yake ununuzi wa damu yake,

kusema; ‘’Tazama, mimi ni hapa pamoja na watoto ulionipa “Wale ulionipa niliwachunga”.

Waebrania 2:13; Yoane 17:12. Ee, furaha ya saa ile wakati Baba wa milele, kutazama kwa

waliokombolewa, watatazama mfano wake, uharibifu wa zambi ukisha ondolewa, na

binadamu mara ingine tena katika umoja na Mungu!

Furaha ya Mwokozi ni kwa kuona, katika ufalme wa utukufu, mioyo iliyookolewa kwa

maumivu yake makali na unyenyekevu. Mtu aliyeokolewa atashiriki katika furaha yake;

wanatazama wale waliopatikana kwa njia ya maombi yao, kazi, na kafara ya upendo.

Shangwe itajaa katika mioyo yao wakati wanapoona yule aliyeokoa wengine, na hawa zaidi

na wengine.

Wanadamu Wawili Wanakutana

Wakati waliookolewa wanapokaribishwa kwa mji wa Mungu, hapo kunakuwa kilio cha

shangwe nyingi. Wanadamu wawili ni karibu kukutana. Mwana wa Mungu anapashwa

kupokea baba wa taifa letu--aliyeumbwa, aliyefanya zambi, na kwa ajili ya zambi yake alama

za msalaba zinakuwa kwa sura ya Mwokozi. Wakati Adamu alipotambua alama za misumari,

kwa unyenyekevu anaanguka yeye mwenyewe kwa miguu ya Kristo. Mwokozi anamwinua

na kumwalika kutazama tena kwa makao ya Edeni ambapo amehamishwa kwa wakati mrefu.

Maisha ya Adamu yalijazwa na huzuni. Kila jani lililokufa, kila nyama wa kafara, kila doa

juu ya utakatifu wa mtu, ilikuwa ukumbusho wa zambi yake. Maumivu ya majuto yalikuwa

ya kutisha sana wakati alipokutana na laumu zilizotupwa juu yake mwenyewe kama sababu

ya zambi. Kwa uaminifu akatubu zambi yake, na alikufa katika tumaini la ufufuko. Sasa, kwa

njia ya upatanisho, Adamu amerudishiwa hali ya kwanza.

Alipojazwa na furaha, anatazama miti ambayo ilikuwa mara ya kwanza furaha yake,

matunda yake yeye mwenyewe alikuwa akikusanya mbele ya kuwa na hatia. Ameona

mizabibu ambayo mikono yake mwenyewe ilikomalisha, maua aliyoyapenda zamani kulinda.

Hii ni Edeni iliyorudishwa kweli!

263

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!