12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Injili ilisahauliwa na watu wakalemewa na azabu kali. Walifundishwa kutumainia kazi zao

wenyewe kwa malipo ya zambi zao. Safari ndefu za kwenda kuzuru patakatifu, matendo ya

kitubio, ibada ya masalio ya mambo ya watakatifu wa kale, majengo ya makanisa, na

mazabahu, malipo ya mali mingi kwa kanisa-haya yalilazimishwa kwa kutuliza hasira ya

Mungu ao kujipatia upendeleo wake.

Karibu ya mwisho wa karne ya mnane, wafuasi wa Papa wa Roma wakaendelea

kulazimisha kwamba katika siku za kwanza za kanisa maaskofu wa Roma walikuwa na uwezo

wa kiroho sawa sawa na ule ambao wanachukuwa sasa. Maandiko ya uwongo yakaandikwa

na watawa wakidanganya kwamba ni ya zamani sana. Maagizo ya baraza ambayo

hayakusikiwa mbele ya kuimarisha ukubwa wa Papa tangu nyakati za kwanza,

yakavumbuliwa (Tazama Nyonge 20).

Waaminifu wachache waliojenga juu ya msingi wa kweli. (1 Wakorinto 3:10,11)

wakafazaika. Kuchoka kwa ajili ya kupigana na mateso, udanagnyifu, kila kizuizi kingine

ambacho Shetani angevumbua, watu fulani ambao walikuwa waaminifu wakakata tamaa.

Kwa ajili ya upendo wa amani na salama kwa mali yao na maisha yao, wakaacha msingi wa

kweli. Wengine hawakuongopeshwa na upinzani wa adui zao.

Ibada ya sanamu ikawa kawaida. Mishumaa (bougies) iliwashwa mbele ya masanamu, na

maombi yakatolewa kwao. Desturi zisizo za maana na kuabudu uchawi zikawa na uwezo.

Hata hakili yenyewe ikaonekana kupoteza nguvu zake. Kwa sababu mapadri na maaskofu

wao wenyewe walikuwa wenye kupenda anasa, na rushwa, watu waliotazamia uongozi kwao

wakatazamia katika ujinga na makosa.

Katika karne ya kumi na moja, Papa Gregoire VII akatangaza kwamba kanisa halijakosa

kamwe, na halitakosa kamwe, kwa kutokana na Maandiko. Lakini hakika za Maandiko

hazikufuatana na maneno yale. Askofu mwenye kiburi alidai pia uwezo wa kuondoa wafalme.

Mfano moja wa tabia ya uonevu huyu anaotetea madai ya kutoweza kukosa ni jambo

alilotendea mfalme wa Ujeremani, Henry IV. Kwa sababu alijaribu kuzarau mamlaka ya Papa,

mfalme huyu akatengwa kwa kanisa na akatoshwa kwa kiti chake cha ufalme. Watoto wake

wenyewe wa kifalme wakashawishiwa na mamlaka ya Papa katika uasi juu ya baba yake.

Henry akaona lazima ya kufanya amani pamoja na Roma. Pamoja na mke wake na

mtumishi wake mwaminifu akavuka milima mirefu (Alpes) katika siku za baridi kali, ili apate

kujinyenyekea mbele ya Papa. Alipofikia ngome ya Gregoire, akapelekwa katika uwanja wa

inje. Kule, katika baridi kali ya wakati wa majira ya baridi, na kichwa wazi na vikanyagio,

alingoja ruhusa ya Papa kuja mbele yake. Ni baada ya siku tatu za kufunga na kuungama,

ndipo askofu akamtolea rehema. Na hivyo ni katika hali ya kwamba mfalme alipaswa kungoja

ruhusa ya Papa kwa kupata tena alama za cheo ao kutumia uwezo wa kifalme. Gregoire,

alipofurahia ushindi wake, akatangaza ya kwamba kazi yake ilikuwa ni kuangusha kiburi cha

wafalme.

19

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!