12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

mwenye uhai. Ni kuchelewa sana wanaona msingi wa mchanga ambapo juu yake walijenga.

Wamekuwa wakipigana kumpinga Mungu. Waalimu wa dini wameongoza roho kwa jehanum

(kupotea milele) walipokuwa wakidai kuwaongoza kwa Paradiso. Ni madaraka makubwa ya

namna gani ya watu katika kazi takatifu, matokeo ya kutisha namna gani kwa kutokuamini

kwao!

Mfalme wa Wafalme Anatokea

Sauti ya Mungu imesikilika kutangaza siku na saa ya kuja kwa Yesu. Israeli wa Mungu

anasimama kwa kusikiliza, nyuso zao zikaangaziwa na utukufu wake. Karibu pale kukatokea

kwa upande wa mashariki wingu nyeusi dogo. Ni wingu linalomzunguka Mwokozi. Kwa

utulivu wa heshima watu wa Mungu wakalitazama kwa namna lilikuwa likikaribia, hata

linapokuwa wingu jeupe kubwa, upande wa chini wake ni utukufu kama moto unaoteketeza,

na upande wa juu wake upindi wa mvua wa agano. Sasa si “Mtu wa huzuni”, Yesu anapanda

(farasi) kama mshindi mkubwa. Malaika watakatifu, makutano makubwa yasiyohesabika,

wanamtumikia, “elfu elfu, na elfu kumi mara elfu kumi”. Kila jicho linamwona Mfalme wa

uzima. Taji la utukufu linakuwa katika kipaji cha uso wake. Uso wake unashinda (muangaza)

wa jua la saa sita. “Naye ana jina llienya kuaandikwa katika vazi lake na paja lake, MFALME

WA WAFALME NA BWANA WA MABWANA”. Ufunuo 19:16.

Mufalme wa wafalme anashuka juu ya wingu, amefunikwa katika moto unaowaka. Dunia

inatetemeka mbele yake: “Mungu wetu atakuja, wala hatanyamaza; Moto utakuia mbele yake,

Na tufani inayovuma sana itamuzunguka. Ataita mbingu zilizo juu na inchi, ili apate

kuhukumu watu wake”. Zaburi 50:3,4.

“Na wafalme wa dunia, na watu mashuhuri, na matajiri, na kila mtumwa, na kila mtu

mwenye uhuru wakajificha katika pango na chini ya miamba: Mutuangukie, mutufiche mbele

ya uso wake yeye anayeketi juu ya kiti cha ufalme, na gazabu ya Mwana-Kondoo. Kwa maana

siku kubwa ya gazabu yake imekuja na nani anayeweza kusimama”? Ufunuo 6:15-17.

Mabishano ya mizaha yamekoma, midomo ya uwongo imenyamazishwa. Hakuna kitu

kinachosikiwa lakini sauti ya maombi na sauti ya kilio. Waovu wanaomba kuzikwa chini ya

miamba kuliko kukutana na uso wake yeye waliyezarau. Sauti ile iliyoingia kwa sikio la maiti,

wanajua. Mara ngapi inakuwa sauti zile za upole ziliwaita kwa toba. Mara ngapi ilikuwa

ikisikiwa katika maombi ya rafiki, ya ndugu, ya Mkombozi. Sauti ile inayoamsha ukumbusho

wa maonyo yaliyozarauliwa na miito iliyokataliwa.

Kunakuwa wale waliochekelea Kristo katika unyenyekevu wake. Alitangaza: “Tangu sasa

mutaona Mwana wa watu akiketi kwa mkono wa kuume wa uwezo, na akija katikati ya

mawingu ya mbingu”. Matayo 26:64. Sasa wanamutazama katika utukufu wake; wanapashwa

sasa kumwona yeye kukaa kwa mkono wa kuume wa uwezo. Pale kunakuwa Herode mwenye

kiburi aliyechekelea cheo chake cha ufalme. Pale panakuwa watu waliomvika taji la miiba

juu ya kichwa chake na katika mkono wake fimbo ya kifalme ya kufananisha--wale

261

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!