Kupinga ya Kiprotestanti

newcovenantpublicationsintl
from newcovenantpublicationsintl More from this publisher
12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti kasirani yake. ” Ufunuo 16:19. Mvua ya mawe makubwa sana ikafanya kazi yake ya uharibifu. Miji yenye kiburi inaangushwa chini. Majumba ya fahari ambayo watu walitolea mali nyingi yao ikafunikwa na ikageuka mavumbi mbele ya macho yao. Kuta za gereza zimevunjika kwa vipande vipande, na watu wa Mungu wamewekwa huru. Makaburi yamefunguka, na “wengi wao wanaolala mavumbini mwa inchi wataamka, wengine wapate uzima wa milele, na wengine kwa haya na kuzarauliwa kwa milele”. “Na wale waliomuchoma”, wale ambao walichekelea maumivu makali ya kifo cha Kristo, na wapinzani (adui) wakali zaidi wa kweli yake, watafufuka kuona heshima inayowekwa kwa waaminifu na watiifu. Danieli 12:2; Ufunuo 1:7. Umeme kali utafunika dunia kwa shuka la ndimi ya moto. Juu ya ngurumo (radi), sauti za ajabu na hofu kubwa, zinatangaza mwisho wa waovu. Wale waliokuwa wenye kujisifu na wenye kutaka vita, wakali kwa wenye kushika amri za Mungu, sasa wanatetemeka kwa woga. Mashetani wanatetemeka wakati watu wanapoomba rehema. Siku ya Bwana Asema nabii Isaya: ” Kwa siku ile mtu atatupa sanamu yake ya feza, na sanamu yake ya zahabu, walizojifanyizia kuziabudu, kwa panya na kwa popo; waingie katika mapango ya miamba, na ndani ya pahali pa juu ya mawe yaliyo pasukapasuka, toka mbele ya hofu ya Bwana, na toka utukufu wa mamlaka yake, wakati atakaposimama kutikisatikisa sana dunia”. Isaya 2:20, 21. Wale waliotoa vyote kwa ajili ya Kristo sasa wanakuwa katika salama. Mbele ya ulimwengu nausoni kwa mauti wameonyesha uaminifu wao kwake yeye aliyekufa kwa ajili yao. Nyuso zao, juzijuzi zilikuwa zenye kufifia na zenye kukonda, sasa zinangaa kwa ajabu. Sauti zao zinainuka kwa wimbo wa ushindi: “Mungu ni kimbilio letu na nguvu yetu, Msaada aliye karibu sana wakati wa mateso. Kwa hivi hatutaogopa, hata inchi ikibadilika, na hata milima ikihamishwa moyoni mwa bahari; Hata maji yao yakinguruma na kuchafuka, hata milima ikitikisika kwa kiburi chake”. Zaburi 46:1-3. Wakati maneno haya ya tumaini takatifu yanapopanda kwa Mungu, utukufu wa mji wa mbinguni unapita kwa milango inayofunguka kidogo. Ndipo pale panatokea kinyume cha mawingu mkono unaoshika mbao mbili za mawe. Sheria ile takatifu, iliyotangazwa kwa Sinai, imefunuliwa sasa kama kanuni ya hukumu. Maneno yanakuwa wazi ili wote waweze kuyasoma. Ukumbusho umeamshwa. Giza ya imani ya mambo ya uchawi na uzushi imesafishwa kwa kila wazo. Ni vigumu kueleza hofu kuu na kukata tamaa kwa wale waliokanyanga sheria ya Mungu. Kwa kufanya urafiki na ulimwengu, wameweka kando maagizo yake na wakafundisha wengine kuzivunja. Sasa wamehukumiwa kwa sheria ile ambayo wameizarau. Wanaona ya kwamba wanakuwa bila kisingizio. Adui za sheria ya Mungu wanakuwa na wazo mpya juu ya kweli na mapashwa. Kuchelewa sana wanaona ya kwamba Sabato ni muhuri wa Mungu 260

Kupinga ya Kiprotestanti mwenye uhai. Ni kuchelewa sana wanaona msingi wa mchanga ambapo juu yake walijenga. Wamekuwa wakipigana kumpinga Mungu. Waalimu wa dini wameongoza roho kwa jehanum (kupotea milele) walipokuwa wakidai kuwaongoza kwa Paradiso. Ni madaraka makubwa ya namna gani ya watu katika kazi takatifu, matokeo ya kutisha namna gani kwa kutokuamini kwao! Mfalme wa Wafalme Anatokea Sauti ya Mungu imesikilika kutangaza siku na saa ya kuja kwa Yesu. Israeli wa Mungu anasimama kwa kusikiliza, nyuso zao zikaangaziwa na utukufu wake. Karibu pale kukatokea kwa upande wa mashariki wingu nyeusi dogo. Ni wingu linalomzunguka Mwokozi. Kwa utulivu wa heshima watu wa Mungu wakalitazama kwa namna lilikuwa likikaribia, hata linapokuwa wingu jeupe kubwa, upande wa chini wake ni utukufu kama moto unaoteketeza, na upande wa juu wake upindi wa mvua wa agano. Sasa si “Mtu wa huzuni”, Yesu anapanda (farasi) kama mshindi mkubwa. Malaika watakatifu, makutano makubwa yasiyohesabika, wanamtumikia, “elfu elfu, na elfu kumi mara elfu kumi”. Kila jicho linamwona Mfalme wa uzima. Taji la utukufu linakuwa katika kipaji cha uso wake. Uso wake unashinda (muangaza) wa jua la saa sita. “Naye ana jina llienya kuaandikwa katika vazi lake na paja lake, MFALME WA WAFALME NA BWANA WA MABWANA”. Ufunuo 19:16. Mufalme wa wafalme anashuka juu ya wingu, amefunikwa katika moto unaowaka. Dunia inatetemeka mbele yake: “Mungu wetu atakuja, wala hatanyamaza; Moto utakuia mbele yake, Na tufani inayovuma sana itamuzunguka. Ataita mbingu zilizo juu na inchi, ili apate kuhukumu watu wake”. Zaburi 50:3,4. “Na wafalme wa dunia, na watu mashuhuri, na matajiri, na kila mtumwa, na kila mtu mwenye uhuru wakajificha katika pango na chini ya miamba: Mutuangukie, mutufiche mbele ya uso wake yeye anayeketi juu ya kiti cha ufalme, na gazabu ya Mwana-Kondoo. Kwa maana siku kubwa ya gazabu yake imekuja na nani anayeweza kusimama”? Ufunuo 6:15-17. Mabishano ya mizaha yamekoma, midomo ya uwongo imenyamazishwa. Hakuna kitu kinachosikiwa lakini sauti ya maombi na sauti ya kilio. Waovu wanaomba kuzikwa chini ya miamba kuliko kukutana na uso wake yeye waliyezarau. Sauti ile iliyoingia kwa sikio la maiti, wanajua. Mara ngapi inakuwa sauti zile za upole ziliwaita kwa toba. Mara ngapi ilikuwa ikisikiwa katika maombi ya rafiki, ya ndugu, ya Mkombozi. Sauti ile inayoamsha ukumbusho wa maonyo yaliyozarauliwa na miito iliyokataliwa. Kunakuwa wale waliochekelea Kristo katika unyenyekevu wake. Alitangaza: “Tangu sasa mutaona Mwana wa watu akiketi kwa mkono wa kuume wa uwezo, na akija katikati ya mawingu ya mbingu”. Matayo 26:64. Sasa wanamutazama katika utukufu wake; wanapashwa sasa kumwona yeye kukaa kwa mkono wa kuume wa uwezo. Pale kunakuwa Herode mwenye kiburi aliyechekelea cheo chake cha ufalme. Pale panakuwa watu waliomvika taji la miiba juu ya kichwa chake na katika mkono wake fimbo ya kifalme ya kufananisha--wale 261

Kupinga ya Kiprotestanti

kasirani yake. ” Ufunuo 16:19. Mvua ya mawe makubwa sana ikafanya kazi yake ya

uharibifu. Miji yenye kiburi inaangushwa chini. Majumba ya fahari ambayo watu walitolea

mali nyingi yao ikafunikwa na ikageuka mavumbi mbele ya macho yao. Kuta za gereza

zimevunjika kwa vipande vipande, na watu wa Mungu wamewekwa huru.

Makaburi yamefunguka, na “wengi wao wanaolala mavumbini mwa inchi wataamka,

wengine wapate uzima wa milele, na wengine kwa haya na kuzarauliwa kwa milele”. “Na

wale waliomuchoma”, wale ambao walichekelea maumivu makali ya kifo cha Kristo, na

wapinzani (adui) wakali zaidi wa kweli yake, watafufuka kuona heshima inayowekwa kwa

waaminifu na watiifu. Danieli 12:2; Ufunuo 1:7.

Umeme kali utafunika dunia kwa shuka la ndimi ya moto. Juu ya ngurumo (radi), sauti za

ajabu na hofu kubwa, zinatangaza mwisho wa waovu. Wale waliokuwa wenye kujisifu na

wenye kutaka vita, wakali kwa wenye kushika amri za Mungu, sasa wanatetemeka kwa woga.

Mashetani wanatetemeka wakati watu wanapoomba rehema.

Siku ya Bwana

Asema nabii Isaya: ” Kwa siku ile mtu atatupa sanamu yake ya feza, na sanamu yake ya

zahabu, walizojifanyizia kuziabudu, kwa panya na kwa popo; waingie katika mapango ya

miamba, na ndani ya pahali pa juu ya mawe yaliyo pasukapasuka, toka mbele ya hofu ya

Bwana, na toka utukufu wa mamlaka yake, wakati atakaposimama kutikisatikisa sana dunia”.

Isaya 2:20, 21.

Wale waliotoa vyote kwa ajili ya Kristo sasa wanakuwa katika salama. Mbele ya

ulimwengu nausoni kwa mauti wameonyesha uaminifu wao kwake yeye aliyekufa kwa ajili

yao. Nyuso zao, juzijuzi zilikuwa zenye kufifia na zenye kukonda, sasa zinangaa kwa ajabu.

Sauti zao zinainuka kwa wimbo wa ushindi: “Mungu ni kimbilio letu na nguvu yetu, Msaada

aliye karibu sana wakati wa mateso. Kwa hivi hatutaogopa, hata inchi ikibadilika, na hata

milima ikihamishwa moyoni mwa bahari; Hata maji yao yakinguruma na kuchafuka, hata

milima ikitikisika kwa kiburi chake”. Zaburi 46:1-3.

Wakati maneno haya ya tumaini takatifu yanapopanda kwa Mungu, utukufu wa mji wa

mbinguni unapita kwa milango inayofunguka kidogo. Ndipo pale panatokea kinyume cha

mawingu mkono unaoshika mbao mbili za mawe. Sheria ile takatifu, iliyotangazwa kwa Sinai,

imefunuliwa sasa kama kanuni ya hukumu. Maneno yanakuwa wazi ili wote waweze

kuyasoma. Ukumbusho umeamshwa. Giza ya imani ya mambo ya uchawi na uzushi

imesafishwa kwa kila wazo.

Ni vigumu kueleza hofu kuu na kukata tamaa kwa wale waliokanyanga sheria ya Mungu.

Kwa kufanya urafiki na ulimwengu, wameweka kando maagizo yake na wakafundisha

wengine kuzivunja. Sasa wamehukumiwa kwa sheria ile ambayo wameizarau. Wanaona ya

kwamba wanakuwa bila kisingizio. Adui za sheria ya Mungu wanakuwa na wazo mpya juu

ya kweli na mapashwa. Kuchelewa sana wanaona ya kwamba Sabato ni muhuri wa Mungu

260

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!