12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 40. Ukombozi Mkubwa

Wakati ulinzi wa sheria za kibinadamu zitakapoondolewa kutoka kwa wale

wanaoheshimu sheria ya Mungu, katika inchi mbalimbali kutakuwa mwendo wa namna moja

kwa ajili ya maangamizi yao. Kwa namna wakati ulioamriwa katika agizo unapokaribia, watu

watafanya shauri pamoja usiku mmoja shauri la kuangamiza kwa pigo litakalonyamazisha

washupavu na wasiotii.

Watu wa Mungu wengine wapo katika vyumba vya gereza, wengine mwituni na katika

milima--wanaomba ulinzi wa Mungu. Watu wenye silaha, wakilazimishwa na malaika

waovu, wanajitayarisha kwa kazi ya mauti. Sasa, kwa saa ya mwisho kabisa, Mungu atajitia

kati kati: “Mutakuwa na wimbo kama vile wakati wa usiku, wakati karamu takatifu

inapotakaswa; na furaha ya moyo kama vile mtu anavyokwenda... katika mlima wa Bwana,

aliye Mwamba wa Israeli. Na Bwana atafanya sauti yake ya utukufu kusikiwa, naye

ataonyesha kushuka kwa mkono wake, wa nuru, kwa gazabu ya kasirani yake, na ulimi wa

moto unaokula, pamoja na zoruba na garika na mvua ya mawe”: Isaya 30:29,30.

Makutano makubwa ya watu waovu yanakuwa karibu kushambulia juu ya mawindo yake,

wakati giza kubwa, nzito kuliko usiku, inaanguka duniani. Ndipo upindi wa mvua unazunguka

mbingu kuonekana kuzunguka kila kundi la maombi. Makutano yenye kasirani yamefungwa.

Makusudi ya hasira yao yamesahauliwa. Wanatazama kwa mfano wa agano la Mungu na

kutamani kulindwa kwa utukufu wake.

Kwa watu wa Mungu sauti imesikiwa, kusema, “Tazama”. Kama Stefano wanatazama na

wanaona utukufu wa Mungu na wa Mwana wa watu katika kiti chake cha enzi. Tazama

Matendo 7:55, 56. Wanatambua alama za unyenyekevu wake, na wanasikia ombi, “nataka

sana hawa ulionipa wakae pamoja nami pahali nilipo”. Yoane 17:24. Sauti imesikiwa ikisema,

“Wanakuja, watakatifu, wapole, na safi! Wameshika neno la uvumilivu wangu”.

Kwa usiku wa manane Mungu anaonyesha uwezo wake kwa ajili ya ukombozi wa watu

wake. Jua linatokea likingaa kwa nguvu zake. Alama na maajabu yanafuata. Waovu

wanatazama kwa hofu kuu kwa tokeo lile, huku wenye haki wakitazama alama za ukombozi

wao. Katikati ya mbingu zenye hasira kukaonekana nafasi moja wazi ya utukufu usioelezeka

na pale sauti ya Mungu ikatokea kama sauti ya maji mengi, ikisema, “imefanyika! ” Ufunuo

16:17.

Sauti inatetemesha mbingu na dunia. Hapo ni tetemeko kubwa la inchi, “hata tangu watu

walipokuwa juu ya dunia halikuwa namna ile, namna lilivyokuwa kubwa tetemeko hili. ”

Ufunuo 16:18. Miamba iliyopasuka ikatawanyika pande zote. Bahari ikatikisatikisa kwa

hasira kali. Hapo kunasikiwa mlio wa nguvu wa tufani kama sauti ya mashetani. Upande wa

juu wa inchi ukapasuka. Misingi yake yenyewe yaonekana kutoweka. Miji yenye bandari

iliyokuwa kama Sodomo kwa ajili ya uovu imemezwa kwa maji yenye hasira. “Babeli ule

mkubwa” ukakumbukwa mbele ya Mungu, “kupewa kikombe cha mvinyo ya gazabu ya

259

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!