Kupinga ya Kiprotestanti

newcovenantpublicationsintl
from newcovenantpublicationsintl More from this publisher
12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti Wakati watawala wa Kikristo watakapotangaza agizo juu ya wenye kushika amri kuondolewa kwa ulinzi wa serkali na kuwaacha kwa wale wanaotaka maangamizi yao, watu wa Mungu watakimbia kutoka katika miji na vijiji na kushirikiana pamoja katika makundi, kukaa katika mahali pa ukiwa sana na pa upekee. Wengi watapata kimbilio katika ngome za milima, kama Wakristo wa mabonde ya Piedmont (Vaudois). (Tazama sura ya ine). Lakini wengi katika mataifa yote na makundi yote, wa juu na chini, watajiri na maskini, weusi na weupe, watatupwa katika utumwa usio na haki kabisa na wa jeuri. Wapenzi wa Mungu watapitia kwa siku za taabu kufungiwa ndani ya gereza ya fito za chuma, kupewa hukumu ya kuuawa, labda kuachiwa kufa katika giza, gereza la kuchukiza mno. Je, Bwana atasahau watu wake kwa saa hii ya majaribu? Je, alimsahau muaminifu Nuhu, Loti, Yusufu, Elia, Yeremia, ao Danieli? Ingawa adui wakiwasukuma kwa nguvu katika gereza, lakini kuta za gereza haziwezi kukata habari kati ya nafsi zao na Kristo. Malaika watakuja kwao katika vyumba vya kifungo vya kipekee. Gereza itakuwa kama jumba la mfalme, na kuta za giza zitaangaziwa kama vile Paulo na Sila walipokuwa wakiimba usiku wa manane katika gereza ya Wafilipi. Hukumu za Mungu zitajia wale wanaotaka kuangamiza watu wake. Kwa Mungu, azabu ni “tendo la kigeni”. Isaya 28:21; utazame vilevile Ezekieli 23:11. Bwana ni mwenye”rehema na mwenye neema, si mwepesi kwa hasira, mwema na kweli nyingi, ... akisamehe uovu na makosa na zambi”. Lakini “hataachilia wenye zambi hata kidogo”. Kutoka 34:6, 7; Nahamu 1:3. Taifa inalostahimili wakati mrefu, na linalojaza kipimo cha uovu wake, mwishoni litakunywa kikombe cha hasira pasipo kuchanganywa na rehema. Wakati Kristo anapomaliza uombezi wake katika Pahali patakatifu, hasira (ghazabu) pasipo kuchanganywa itahofishwa juu ya wale wanaoabudu mnyama itamiminwa. Mapigo kwa Misri yalikuwa ya namna moja na hukumu zenye eneo kubwa zaidi zile ambazo zinapaswa kuanguka duniani mbele kabisa ya wokovu wa mwisho wa watu wa Mungu. Asema mfumbuzi: “Ikaanguka jipu mbaya, zito, juu ya watu wenye chapa ya mnyama, na wale walioabudu sanamu yake. “Bahari “ikakuwa damu kama damu ya mfu”. Na “mito na chemchemi za maji; zikakuwa damu”. Malaika anatangaza: “Wewe mwenye haki, Bwana, ... kwa sababu umehukumu hivi. Kwani walimwaga damu ya watakatifu na ya manabii, nawe umewapa damu kunywa; nao wamestahili”. Ufunuo 16:2-6. Kwa kuhukumu watu wa Mungu hukumu ya mauti, kwa kweli wamehesabiwa makosa ya damu yao kama ingemwagika na mikono yao. Kristo alitangaza kwa Wayahudi wa wakati wake kosa ya damu yote ya watu watakatifu iliyomwagika tangu siku za Abeli (Matayo 23:34-36). Kwani walikuwa na roho ya namna moja kama wauaji hawa wa manabii. Kwa pigo linalofuata, uwezo unatolewa kwa jua “kuunguza watu kwa moto”. Ufunua 16:8,9. Manabii wanaeleza wakati huu wakutisha: “Mavuno ya shamba yameharibiwa... miti yote ya shamba imekauka kwa sababu furaha imekauka katika wana wa watu”. “Wanyama 256

Kupinga ya Kiprotestanti wanamlio wa huzuni makundi ya mifungo yanafzaika, sababu nawana malisho.... Maji ya mito yamekauka, na moto umekula malisho ya jangwa”. Joel 1:11,12, 18-20. Mapigo haya si ya mahali pote, lakini yatakuwa mapigo ya kutisha zaidi isiyofahamika kamwe. Hukumu zote zilizotangulia kufungwa kwa rehema zilikuwa zikichanganyika na rehema. Damu ya Kristo imelinda mwenye zambi kwa kiasi kamili cha kosa lake; lakini kwa hukumu ya mwisho, hasira si ya kuchanganywa na rehema. Wengi watatamani ulinzi wa rehema ya Mungu ambayo walikuwa wakiizarau. Wakati wanapoteseka na kusumbuliwa, wakati wanapoteseka na njaa, watu wa Mungu hawataachwa kuangamizwa. Malaika watawatolea mahitaji yao. “Atapewa chakula chake; maji yake hayatakosekana”. “Mimi, Bwana, nitawasikia, mimi, Mungu wa Israeli, sitawaacha”. Isaya 33:16; 41:17. Lakini kwa maonyo ya kibinadamu itaonekana ya kwamba watu wa Mungu wangepashwa upesi kutia muhuri kwa ushuhuda wao kwa damu yao, kama walivyofanya wafia dini mbele yao. Ni wakati wa maumivu makuu ya kutisha. Waovu wameshangilia. “Imani yenu inakuwa wapi sasa? Sababu gani Mungu hawaokoi kwa mikono yetu kama munakuwa kweli watu wake”? Lakini wanaongojea wanakumbuka Kristo alipokufa juu ya msalaba wa Kalvari. Kama Yakobo, wote wanashindana na Mungu. Makundi ya Malaika Wanalinda Malaika wanatua kwa wale waliolinda neno la uvumilivu la Kristo. Wameshuhudia shida yao na wamesikia maombi yao. Wanangojea neno la Mkuu wao kuwanyakua kwa hatari yao. Lakini wanapashwa kungojea wakati mrefu kidogo. Watu wa Mungu wanapashwa kunywa kikombe na kubatizwa kwa ubatizo. Matayo 20:20-23. Lakini kwa ajili ya wateule wakati wa taabu utafupishwa. Mwisho utakuja upesi kuliko watu wanavyotazamia. Ingawa amri ya kawaida imeweka wakati washika amri wanapoweza kuuawa, adui zao kwa sababu zingine wataharakisha amri na kujaribu kuondoa maisha yao. Lakini hakuna mtu anayeweza kupita walinzi waliotua kuzunguka kila nafsi aminifu. Wengine walishambuliwa wakati wa kukimbia kwao kutoka mijini, lakini panga zilizoinuliwa juu yao zikavunjika kama majani makavu. Wengine wakalindwa na malaika katika hali ya watu wa vita. Katika vizazi vyote viumbe vya mbinguni wamekamata sehemu ya juhudi katika mambo ya watu. Wamekubali kukaribisha na wanadamu, kutenda kama viongozi kwa wasafiri wajinga, wakafungua milango ya gereza na kuweka huru watumishi wa Bwana. Wakaja kusukuma jiwe kwa kaburi la Mwokozi. Malaika wanazuru mikutano ya waovu, kama walivyokwenda Sodomo, kuhakikisha kama wamepitisha mpaka wa uvumilivu wa Mungu. Bwana, kwa ajili ya wachache wanamtumikia kwa kweli, anazuia misiba na anazidisha utulivu wa makutano. Wenye zambi wanafahamu 257

Kupinga ya Kiprotestanti

wanamlio wa huzuni makundi ya mifungo yanafzaika, sababu nawana malisho.... Maji ya

mito yamekauka, na moto umekula malisho ya jangwa”. Joel 1:11,12, 18-20.

Mapigo haya si ya mahali pote, lakini yatakuwa mapigo ya kutisha zaidi isiyofahamika

kamwe. Hukumu zote zilizotangulia kufungwa kwa rehema zilikuwa zikichanganyika na

rehema. Damu ya Kristo imelinda mwenye zambi kwa kiasi kamili cha kosa lake; lakini kwa

hukumu ya mwisho, hasira si ya kuchanganywa na rehema. Wengi watatamani ulinzi wa

rehema ya Mungu ambayo walikuwa wakiizarau.

Wakati wanapoteseka na kusumbuliwa, wakati wanapoteseka na njaa, watu wa Mungu

hawataachwa kuangamizwa. Malaika watawatolea mahitaji yao. “Atapewa chakula chake;

maji yake hayatakosekana”. “Mimi, Bwana, nitawasikia, mimi, Mungu wa Israeli,

sitawaacha”. Isaya 33:16; 41:17.

Lakini kwa maonyo ya kibinadamu itaonekana ya kwamba watu wa Mungu wangepashwa

upesi kutia muhuri kwa ushuhuda wao kwa damu yao, kama walivyofanya wafia dini mbele

yao. Ni wakati wa maumivu makuu ya kutisha. Waovu wameshangilia. “Imani yenu inakuwa

wapi sasa? Sababu gani Mungu hawaokoi kwa mikono yetu kama munakuwa kweli watu

wake”? Lakini wanaongojea wanakumbuka Kristo alipokufa juu ya msalaba wa Kalvari.

Kama Yakobo, wote wanashindana na Mungu.

Makundi ya Malaika Wanalinda

Malaika wanatua kwa wale waliolinda neno la uvumilivu la Kristo. Wameshuhudia shida

yao na wamesikia maombi yao. Wanangojea neno la Mkuu wao kuwanyakua kwa hatari yao.

Lakini wanapashwa kungojea wakati mrefu kidogo. Watu wa Mungu wanapashwa kunywa

kikombe na kubatizwa kwa ubatizo. Matayo 20:20-23. Lakini kwa ajili ya wateule wakati wa

taabu utafupishwa. Mwisho utakuja upesi kuliko watu wanavyotazamia.

Ingawa amri ya kawaida imeweka wakati washika amri wanapoweza kuuawa, adui zao

kwa sababu zingine wataharakisha amri na kujaribu kuondoa maisha yao. Lakini hakuna mtu

anayeweza kupita walinzi waliotua kuzunguka kila nafsi aminifu. Wengine walishambuliwa

wakati wa kukimbia kwao kutoka mijini, lakini panga zilizoinuliwa juu yao zikavunjika kama

majani makavu. Wengine wakalindwa na malaika katika hali ya watu wa vita.

Katika vizazi vyote viumbe vya mbinguni wamekamata sehemu ya juhudi katika mambo

ya watu. Wamekubali kukaribisha na wanadamu, kutenda kama viongozi kwa wasafiri

wajinga, wakafungua milango ya gereza na kuweka huru watumishi wa Bwana. Wakaja

kusukuma jiwe kwa kaburi la Mwokozi.

Malaika wanazuru mikutano ya waovu, kama walivyokwenda Sodomo, kuhakikisha kama

wamepitisha mpaka wa uvumilivu wa Mungu. Bwana, kwa ajili ya wachache wanamtumikia

kwa kweli, anazuia misiba na anazidisha utulivu wa makutano. Wenye zambi wanafahamu

257

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!