12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Wakati watawala wa Kikristo watakapotangaza agizo juu ya wenye kushika amri

kuondolewa kwa ulinzi wa serkali na kuwaacha kwa wale wanaotaka maangamizi yao, watu

wa Mungu watakimbia kutoka katika miji na vijiji na kushirikiana pamoja katika makundi,

kukaa katika mahali pa ukiwa sana na pa upekee. Wengi watapata kimbilio katika ngome za

milima, kama Wakristo wa mabonde ya Piedmont (Vaudois). (Tazama sura ya ine). Lakini

wengi katika mataifa yote na makundi yote, wa juu na chini, watajiri na maskini, weusi na

weupe, watatupwa katika utumwa usio na haki kabisa na wa jeuri. Wapenzi wa Mungu

watapitia kwa siku za taabu kufungiwa ndani ya gereza ya fito za chuma, kupewa hukumu ya

kuuawa, labda kuachiwa kufa katika giza, gereza la kuchukiza mno.

Je, Bwana atasahau watu wake kwa saa hii ya majaribu? Je, alimsahau muaminifu Nuhu,

Loti, Yusufu, Elia, Yeremia, ao Danieli? Ingawa adui wakiwasukuma kwa nguvu katika

gereza, lakini kuta za gereza haziwezi kukata habari kati ya nafsi zao na Kristo. Malaika

watakuja kwao katika vyumba vya kifungo vya kipekee. Gereza itakuwa kama jumba la

mfalme, na kuta za giza zitaangaziwa kama vile Paulo na Sila walipokuwa wakiimba usiku

wa manane katika gereza ya Wafilipi.

Hukumu za Mungu zitajia wale wanaotaka kuangamiza watu wake. Kwa Mungu, azabu

ni “tendo la kigeni”. Isaya 28:21; utazame vilevile Ezekieli 23:11. Bwana ni mwenye”rehema

na mwenye neema, si mwepesi kwa hasira, mwema na kweli nyingi, ... akisamehe uovu na

makosa na zambi”. Lakini “hataachilia wenye zambi hata kidogo”. Kutoka 34:6, 7; Nahamu

1:3. Taifa inalostahimili wakati mrefu, na linalojaza kipimo cha uovu wake, mwishoni

litakunywa kikombe cha hasira pasipo kuchanganywa na rehema.

Wakati Kristo anapomaliza uombezi wake katika Pahali patakatifu, hasira (ghazabu)

pasipo kuchanganywa itahofishwa juu ya wale wanaoabudu mnyama itamiminwa. Mapigo

kwa Misri yalikuwa ya namna moja na hukumu zenye eneo kubwa zaidi zile ambazo

zinapaswa kuanguka duniani mbele kabisa ya wokovu wa mwisho wa watu wa Mungu.

Asema mfumbuzi: “Ikaanguka jipu mbaya, zito, juu ya watu wenye chapa ya mnyama, na

wale walioabudu sanamu yake. “Bahari “ikakuwa damu kama damu ya mfu”. Na “mito na

chemchemi za maji; zikakuwa damu”. Malaika anatangaza: “Wewe mwenye haki, Bwana, ...

kwa sababu umehukumu hivi. Kwani walimwaga damu ya watakatifu na ya manabii, nawe

umewapa damu kunywa; nao wamestahili”. Ufunuo 16:2-6. Kwa kuhukumu watu wa Mungu

hukumu ya mauti, kwa kweli wamehesabiwa makosa ya damu yao kama ingemwagika na

mikono yao. Kristo alitangaza kwa Wayahudi wa wakati wake kosa ya damu yote ya watu

watakatifu iliyomwagika tangu siku za Abeli (Matayo 23:34-36). Kwani walikuwa na roho

ya namna moja kama wauaji hawa wa manabii.

Kwa pigo linalofuata, uwezo unatolewa kwa jua “kuunguza watu kwa moto”. Ufunua

16:8,9. Manabii wanaeleza wakati huu wakutisha: “Mavuno ya shamba yameharibiwa... miti

yote ya shamba imekauka kwa sababu furaha imekauka katika wana wa watu”. “Wanyama

256

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!