12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Mwenyewe. Watafanya maajabu ya kuponya na kujifanya kuwa na mambo ya ufunuo kutoka

mbinguni kupinga Maandiko.

Kama tendo la kutukuzwa katika ukubwa hadithi iliotungwamakusudi ya kuingizwa kama

mchezo mbele ya watu wa madanganyo, Shetani mwenyewe atajifanya kuwa Kristo. Kanisa

lilitazamia wakati mrefu kuja kwa Mwokozi kama utimilizo wa matumaini yake. Sasa

mshawishi mkubwa atafanya kuonekana kwake ya kwamba Kristo amekuja. Shetani

atajionyesha mwenyewe kama kiumbe chenye utukufu cha wangavu wa kushangaza,

kufanana na sifa ya Mwana wa Mungu katika Ufunuo. Ufunuo 1:13-15.

Utukufu unaomzunguka unapita kila kitu ambacho macho ya kibinadamu (wanaokufa)

hayajaona kamwe. Shangwe ya ushindi italia, “Kristo amekuja!” Watu watamsujudia .

Atanyosha mikono yake juu na kuwabariki. Sauti yake itakuwa ya kupendeza, lakini inapojaa

na sauti tamu zinazofuatana. Kwa sauti ya huruma ataonyesha mambo mengine ya kweli ya

‘’mbinguni yaliotamkwa na Mwokozi. Ataponyesha magonjwa, na baadaye, katika tabia yake

ya kujitia kwa mamlaka ya Kristo, anajidai kuweza kubadili Sabato na kuiweka kwa siku ya

kwanza (dimanche). Anatangaza ya kwamba wale wanaoshika siku ya saba kuwa takatifu

wanatukana jina lake. Hii ni madanganyo ya nguvu isiyoweza kuzuiwa na mtu. Watu wengi

wanatoa usikizi kwa mambo haya ya uchawi, wakisema, Huu ni “uwezo mkubwa wa Mungu”,

Matendo 8:10.

Watu wa Mungu Hawataongozwa Vibaya

Lakini watu wa Mungu hawataongozwa vibaya. Mafundisho ya kristo huyu wa uwongo

hayaako kwa mapatano na Maandiko. Baraka yake itatamkwa juu ya waabuduo wa mnyama

na sanamu yake, ni kundi kabisa ambalo Biblia inatangaza ya Kwamba gazabu ya Mungu

pasipo kuchanganywa itamiminwa.

Tena zaidi, Shetani hakuruhusiwa kuiga namna ya majilio ya Kristo. Mwokozi ameonya

watu wake juu ya madanganyo kwa jambo hili. “Kwa sababu Wakristo wa uwongo

watasimama, na manabii za uwongo, nao wataonyesha alama kubwa na maajabu wapate

kudanganya kama ikiwezekana, hata wachaguliwa... Basi kama wakiwaambia ninyi: Tazama

yeye ni jangwani; musitoke; Tazama, yeye ni katika vyumba vya ndani nyumbani, musisadiki.

Kwa maana kama umeme unavyokuja toka mashariki na unaangaza hata mangaribi; hivi kuja

kwa Mwana wa watu kutakavyokuwa vile”. Matayo 24:24-27. Utazame vilevile Matayo

25:31; Ufunuo 1:7; 1 Watesalonika 4:16,17. Kuja huku, hapo hakuna namna ya kuiga.

Itashuhudiwa kwa ulimwengu wote mzima.

Ila wanafunzi wa juhudi tu wa Maandiko waliokubali upendo wa kweli watakaolindwa

kwa madanganyo ya nguvu yanayofanya dunia kuwa mateka. Kwa ushuhuda wa Biblia hawa

watavumbua mdanganyi huyu kwa umbo la uwongo wake. Je, watu wa Mungu sasa

wanakuwa wenye imara sana kwa Neno lake ili wasingejitoa kwa ushuhuda wa mashauri yao?

Je, katika shida ya namna hii, wangeshikamana kwa Biblia, na kwa Biblia pekee?

255

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!