You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Kupinga ya Kiprotestanti

Wakati wa Taabu ya Yakobo

Kwa namna Sabato inavyokuwa jambo la upekee la ushindani po pote katika jamii ya

Wakristo wote, italazimishwa ya kwamba wachache wanaosimama katika upinzani kwa

kanisa na serekali hawapashwi kuvumiliwa, ya kwamba ni bora kwao kuteswa kuliko mataifa

yote kutupwa katika fujo. “Inafaa kwetu kayafa akasema mtu mmoja afe kwa ajili ya watu,

na kwa hiyo taifa lote lisiangamie”, Yoane 11:50. Neno hili litaonekana la kutibitisha; amri

mwishoni itatolewa juu ya wale wanaotukuza Sabato ya amri ya ine, kuwashitaki na kutoa

uhuru kwa watu baada ya wakati fulani kuwaua. Kanisa la Roma kwa wakati wa ulimwengu

wa mkufuru wa Kiprotestanti katika ulimwengu wa sasa atafuata njia ileilne. Watu wa zamani

na Mungu watatumbukuzwa katika musukosuko hiyo ya taabu inaonyesha kama wakati wa

taabu yake yakobo. Yeremia 30:5-7.

Usiku wa Yakobo wa uchungu, wakati alipo shindana katika maombi kwa kuokolewa

kutoka kwa Esau (Mwanzo 32:24-31) inaonyesha tendo la watu wa Munguwakati wa taabu.

Sababu ya udanganyifu uliotumiwa kwa kupatabaraka kutoka kwa baba yakeambayo

ilikuwaya Esau, Yakobo alikimbia, alipojulishwajuu ya vitisho vya kifo vilivyofanywa na

ndugu yake. Baada ya kukaa miaka nyingi mbali na kwao, akachagua kurudi inchini yake ya

asili. Alipofikamipakani akajazwa na hofu kwa habari ya kumkaribia Esau, akahakikisha

kuwa nduguye atalipisha kisasi. Tumaini pekee la Yakobo lilikuwa ni rehema za Mungu;

ulinzi wake wa kipekee ulipashwa kuwa ni maombi.

Peke yake pamoja na Mungu, akaungama zambi zake kwa unyenyekevu sana. Taabu

katika maisha yake ilifika. Katika giza akaendelea kuomba. Gafula mkono ukawekwa juu ya

bega lake. Akafikiri kwamba adui ndiye alikuwa akitafuta maisha yake. Kwa nguvu zote za

kukata tamaa akapigana kwa nguvu na adui wake. Wakati siku ilipoanza kucha, mgeni

akatumia nguvu zisizokuwa za kibinadamu. Yakobo akaonekana kukauka na akaanguka,

muombaji zaifu, mwenye kulia kwa shingo la mshindani wake wa siri. Akajua nyuma ya

kwamba alikuwa malaika wa agano aliyekuwa akigombana naye. Alidumu katika majuto

wakati mrefu kwa ajili ya zambi yake; sasa anapashwa kuwa na matumaini ya kwamba

alisamehewa. Malaika akasihi sana, “Uniache niende, ni mapambazuko”, lakini mzee mkuu

akapandisha sauti, “Sitakuacha kwenda mpaka utakaponibariki”. Yakobo akaungama uzaifu

wake na kutostahili kwake, huku akatumainia rehema za Mungu mwenye kulinda maagano.

Kwa njia ya toba na kujitoa, kiumbe hiki cha mauti na mwenye zambi akashindana na

Mtukufu wa mbinguni.

Shetani akamshitaki Yakobo mbele ya Mungu kwa sababu ya zambi yake; akashawishi

Esau kusafiri na kinyume chake. Wakati wa usiku wa mzee mkuu wa kushindana, Shetani

akajaribu kumkatisha tamaa na kuvunja tumaini lake kwa Mungu. Alivutwa karibu kukata

tamaa; lakini akatubu kwa kweli juu ya zambi yake na kushikilia Malaika imara nakaendelea

na maoni yake pamoja na vilio vya juhudi hata akashinda.

252