12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Hakuna mtu anayeweza kutumikia Mungu pasipo kujiweka kwa kosa yeye mwenyewe

kinyume cha ushindani wa majeshi ya giza. Malaika waovu watamshambulia, kukilisha hatari

ya kuwa mvuto wake unapata mawindo kutoka mikononi mwao. Waovu watatafuta kumtenga

kwa Mungu kwa njia ya majaribu ya kutamanisha. Wakati haya hayafaulu, uwezo hutumiwa

kwa kushurutisha zamiri.

Lakini kwa namna Yesu anavyodumu kuwa Muombezi wa mtu katika pahali patakatufu

juu, mvuto unaozuia wa Roho Mtakatifu huonekana kwa watawala na watu. Wakati watawala

wetu wengi wanapokuwa wajumbe wa nguvu wa Shetani, Mungu vivyo hivyo anakuwa na

wajumbe wake miongoni mwa watu wanaongoja katika taifa. Watu wachache watadumu kwa

kuzuia maendeleo ya nguvu ya uovu. Ushindaji wa adui wa ukweli utazuiwa ili ujumbe wa

malaika wa tatu uweze kufanya kazi yake. Onyo la mwisho litasimamisha uangalifu wa watu

hawa waongozi, na wengine watalikubali nakusimama pamoja na watu wa Mungu kwa wakati

wa taabu.

Mvua Ya Mwisho Na Kilio Cha Nguvu

Malaika anayeungana na malaika wa tatu ni kwa kuangazia dunia yote na utukufu wake.

Ujumbe wa malaika wa kwanza ulipelekwa kwa makao yote ya utumishi ulimwenguni, na

katika inchi zingine kulikuwa na usikizi wa dini kubwa sasa ulioshuhudiwa tangu wakati wa

matengenezo. Lakini hizi zinapashwa kupita kwa onyo la mwisho la malaika wa tatu.

Kazi itakuwa ya namna moja na ile ya Siku ya Pentecote. “Mvua ya kwanza” ilitolewa

kwa kufungua wa habari njema kuwezesha kuotesha mbegu ya damani; vivyo hivyo “mvua

ya mwisho” itatolewa kwa mwisho wake wa kuivya kwa mavuno. Hosea 6:3; Yoeli 2:23.

Kazi kubwa ya habari njema si ya kufunga na onyesho ndogo zaidi la uwezo wa Mungu kuliko

kutazama mwanzo wake. Unabii uliotimia katika kumiminiwa kwa mvua ya kwanza kwa

kufungua kwa habari njema yanapashwa kutimia vile vile katika mvua ya mwisho wake. Hapo

ndipo panakuwa “nyakati za ufufuko” ambazo mtume Petro alikuwa akitazamia mbele.

Matendo 3:19, 20.

Watumishi wa Mungu, nyuso zao kungaa na utakaso mtakatifu, wataharikisha toka mahali

mbali mbali kutangaza habari njema kutoka mbinguni. Miujiza itafanyika, wagonjwa

wataponyeshwa. Shetani vivyo hivyo anatumika na maajabu ya kudanganya, hata kushusha

moto kutoka mbinguni. Ufunuo 13:13. Kwa hivyo wakaaji wa dunia watashawishiwa

kuchagua upandeunao kuwa wao.

Ujumbe huu utachukuliwa si kwa mabishano sana ni kwa tendo lauhakikisho wa ndani wa

Roho ya Mungu. Mabishano yameonyeshwa, vitabu vilitumia mvuto wavyo, lakini wengi

wamezuiwa kwa kufahamu kabisa ukweli. Sasa ukweli umeonekana wazi kabisa. Mahusiano

ya ujamaa, mahusiano ya kanisa ni zaifu kudumu kuwa waana waaminifu wa Mungu sasa.

Lakini wajumbe waliochanganyika kupinga ukweli, hesabu kubwa huchukua kituo chao kwa

upande wa Bwana.

249

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!